Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Kwisha jeuri yake, alfajiri alikua ana mtongoza King'asti na sound poli, eti atamuagizia gari la dhahabu
Yuko na mining'inio?
Last edited by a moderator:
Yuko na mining'inio?
Hehehehee Madame B hakuna vyumba labda upande kule VIP ndiko unaweza kujificha na kushtua vya faster km mkizidiwa
Uje bhana
Hivi ushatoka church?
Erickb52 umesahau kumkaribisha MziziMkavu.Miniletee juice ya Uwatu na muwa mweusi na bites za unga wa habbat sawdaa.
me kwa jina naitwa Arabela. Karibu maziwa na kahawa. Jisikie huru
Heheeee mwache ahangaike mkewe huku anaibwa
Heheheee hii ni danganya toto!
Chukua darubini uniangalie!
Unajisafisha, mie hapa nakuona.
Nani kamdaka aisee?
Embu kuja nae kwa upande huu