Karibu Chit-Chat Pub And Restaurant

Karibu Chit-Chat Pub And Restaurant

Tangu ameanza Erickb52 mi namuangalia tu, anakunywa maji akilamiza anaagiza Grandmalt mara Red bull ngoja nione awamu hii atakunywa nini!

ewaaa hapo sawa, maana zile jamii zingine alisema ameacha yeye siku hizi ni mpendwa hata ukisafiri waweza mkabidhi hata familia yako yote aitunze, Erickb52 sasa hivi unatunza ya nani?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom