Mhudumu eeeeehhhhhh leta kama hizi tafadhali........ nina kiu mbaya!!!!!!!!!
![]()
Mhudumu eeeeehhhhhh leta kama hizi tafadhali........ nina kiu mbaya!!!!!!!!!
![]()
Smiling St unadhani nina taabu baasi? Kama Filipo alivyokuhabarisha, nikiwa mmoja wa wapishi wakuu ina maana vyombo lazima tu nitaosha. Upishi shurti uoshe na vyombo. Lol
Hata mimi nimeona dalili. Juzi kaniagiza malimao!
Heheheiya.............
Kwani wewe, alama hazibakigi?
Embu ngoja kwanza!!! Hujui alipolala au ulipolala!?
Ili mambo yakienda kombo ni kujisevia????
Hahahaaaa ukiachika manoah atakuchukua