Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Hahah usithubutu kukutwa na bwana pepsi!
Wewe utakuwa umeoshwa na maji ya ukili!
Hahah usithubutu kukutwa na bwana pepsi!
Maji ya Ukili yalikuwa matamu ajabu,
Full Vibration.
Afu shem, wifi ana Mimba nini, mbona kaadimika?
Kwani inaachaga Alama?
Yule Dereva, nilikuwa nae Jumamosi, Kula sana bata, mpaka kuku waliona wivu......!!!!
Ila alikolala hata sikukujua jamani.........lol
penda sana hii pub..Hahaaaaa sijui nikae meza gani......na manati yangu...lol
mezani kwako uko na nani mheshiwa...
Vyumba Vipo?