moto2012
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 2,303
- 1,530
Umekuja na korosho?
Karibu sana
hahaha! Nimekuja nazo, vipi mbona huulizi chips-panya?
Umekuja na korosho?
Karibu sana
Hahahahahaa sio chips panya wale sio panya ni SAMAKI NCHANGA lol
MmmMmmmmmmmmmmmmm
kakangu, kwa kifupi huyo Erickb52 hatuwezi dada zako wote...... baada ya mimi kumfungia vioo alihamiaga kwa Kipipi. kwa taarifa nilizoziacha ni kwamba naye alimtimua, sasa sijui aje athibitishe hapa kama nasema uongoShemeji wa mkopo samahan bhan nilikuwa huko REPUBLICA DE MAKONDE LAND, hakuna umeme kwa mwezi sasa, kasimu ka mchina kana zingua, sasa nipo mjini!
Nimeshakribia, dadangu FP sijawasiliana naye kitambo kidogo, ila najua humwezi coz shem wangu orijino anampa tender loving care, ila nimeumia kwa kushindwa kunialika pamoja na my wife Preta.
Chimbuvu sasa ivi anabembea mbea tu