Karibu Chit-Chat Pub And Restaurant

Karibu Chit-Chat Pub And Restaurant

Sijaona huduma muhimu kwa wale ambao ndyofu huanza kulewesha majukwaa ya chini, vipi watoa huduma ni nani na nani!?
 
NIMECHELEWA, NILIKUWA NAMFANYIA MASSAGE mteja mmoja mfadhili wa maphotos kule chini. karibuni wageni niwahudumie nini tafadhali, hubby amesema nipo kwenye probation ya ndoa, jamani hii kazi ya bar maid nitaweza!?
 
Heheheeee hebu hiyo huduma ni private Dr.zero ila mbona mambo yanajipa tu
 
Last edited by a moderator:
NIMECHELEWA, NILIKUWA NAMFANYIA MASSAGE mteja mmoja mfadhili wa maphotos kule chini. karibuni wageni niwahudumie nini tafadhali, hubby amesema nipo kwenye probation ya ndoa, jamani hii kazi ya bar maid nitaweza!?
Lol hujachelewa bado haya gonga ndovu
 
Erickb52 waambie wahudumu waniletee gines, viroba 4 vya konyagi, ndyofu 2 baridi, wine nyekundu glass 1, maji makubwa baridi, grants double 4. CHAKULA.. ugali maharage, wali kuku, ndizi za kukaanga, pilau, biriani, kuku choma nk. alete Amyner plz
 
Last edited by a moderator:
Shem hili swali unapenda lijibiwe?

Back
Top Bottom