Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Watoto wa siku izi kwa kujidai wakubwa
Anatafuta wakubwa wenzie
Hehehehee hebu muite@c6
Anatafuta wakubwa wenzie
Hehehehee hebu muite@c6
Kwani wewe mkubwa kama mimi'
Mi mkubwa kweli... Nakuzidi umri, umbo, urefu na hata rangi.....
![]()
Hahahahaaa
Nimcopy nani?
Hehehee Amyner kaniruhusu kunywa mbili tu
Mbona sijaona usafiri!? Mm nina bodaboda zangu toa ramani nije kusafirisha watakaolewa
Mi mkubwa kweli... Nakuzidi umri, umbo, urefu na hata rangi.....
![]()
Heheeee
Mbona sijaona usafiri!? Mm nina bodaboda zangu toa ramani nije kusafirisha watakaolewa
Heheee unataka kesi Ben Mugashe ?
Wakilewa then bodaboda lazma abiria ale mweleka akuache kwenye pikipiki