Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Live bila chenga utalipa madeni la sivyo wanakugawana
Wapiiiiiiiii.................!!!!!!!!!!!
Huyoooooooooooooooooo
Wapiiiiiiiii.................!!!!!!!!!!!
Huyoooooooooooooooooo
ok daddyMwanangu, twende kwa bibi kwanza badae utaludi
Watotovwadoho wanatafuta nini Pub & Restaurant???
Taratibu na mdomo wako! Mimi ni mume wa mtu humu. Usije nivunjia ndoa! Namheshimu sana wife wangu marejesho!
hahahaaa huyo ni Vin Diesel na mbibi wakeKama Hivi:
![]()
Kwani wewe unatafuta nini?
hahahaaa huyo ni Vin Diesel na mbibi wake
Nitaweka bandiko, na ujue nina mkanda unaonesha kila kitu mlichokua mnafanya. Au unabisha niiweke hapa?
HeheheeeNa ndo mana Vin Diesel siku hizi hapatikani hewani, kumbe yuko Nyetini...........kafichwa