Karibu Chit-Chat Pub And Restaurant

Karibu Chit-Chat Pub And Restaurant

asante sana Arabela ngoja usiondoke basi mbona unanionea aibu eeh! Basi nenda kawaudumie hao wengine alafu uje hapa, sawa mtoto mzuri?

We nitakutoa nje sasahivi naona unaleta mazoea.............. hapa ni kunywa chapa mwendo.................. afu Arabela kama manoah anakusumbua mpe namba za chooni sawa!
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 waambie wahudumu waniletee gines, viroba 4 vya konyagi, ndyofu 2 baridi, wine nyekundu glass 1, maji makubwa baridi, grants double 4. CHAKULA.. ugali maharage, wali kuku, ndizi za kukaanga, pilau, biriani, kuku choma nk. alete Amyner plz

Heheeeeee Arushaone mke wangu Amyner sio muhudumu huyu ni mmiliki wa hii pub
 
Last edited by a moderator:
Nakupenda kama ringtone huna maringo we binti mtamutamu,
sura iko simple hupendi bingo,hauniishi hamuhamu ,,,,

utaambiwa sina mapenzi,utaambiwa sina umuhimu kwako,utaambiwa sina
subiraaaaaaaaaa

Naomba nimjue Aunt yangu, kwa Anko Fang, maana kama umeishia kati vile........
 
Last edited by a moderator:
Nakupenda kama ringtone huna maringo we binti mtamutamu,
sura iko simple hupendi bingo,hauniishi hamuhamu ,,,,

utaambiwa sina mapenzi,utaambiwa sina umuhimu kwako,utaambiwa sina
subiraaaaaaaaaa

Copy kwa Amyner
 
Last edited by a moderator:
NIMECHELEWA, NILIKUWA NAMFANYIA MASSAGE mteja mmoja mfadhili wa maphotos kule chini. karibuni wageni niwahudumie nini tafadhali, hubby amesema nipo kwenye probation ya ndoa, jamani hii kazi ya bar maid nitaweza!?

Asavali umekuja shost angu... Wahudumu wa hapa wana wivu kweli na ubaguzi. Nimekaa hapa wananitizama kama Kombe la mpira wa mezani. Hebu niletee km nilivyoo hii makituuuuu!!!!!!!!

Absolut-Mandarin.jpg
 
Safi sana Erickb52.... Wapi suggestion box nataka kutupia masuggestion yangu.

"Wahudumu wa hapa wana maringo sana, wakati sie ndo maboss wao.... Wanadhani wewe ndio boss wao???? Kwa taarifa yao bila sisi kunywa hawapati mshahara... Pia waambie kuwa wanarinfa kunihudumia hawajui mimi Firstlady Au kwa vile sikuja na mh. jeyikeyi?????? Hebu washike adabu zao na adabu ziwashike"
 
Halafu hawajui kuwa we ni mdau mkubwa kuliko hata na The secretary
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom