Karibu Chit-Chat Pub And Restaurant

Karibu Chit-Chat Pub And Restaurant

Dhuuuu mamito nimekosa neno la kuendelea mbele maana...................

Endelea tu mamito...

We Erickb52 mbona me sihudumiwi???? Wahudumu wako wanapenda kuhudumia wanaume tuuuuuu..... Ntahama mie...

Wapi Madame B na kati K'nino anipeleke "LEO TUPO HAPA PUB" Make hapa naona upendeleo wa wazi wazi!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Heheheee ntakuja leo!
Hizi moja mbili usihofu niko na bibie kwa usalama zaidi

Leo hapana usije hata,pendeza vya kutosha kesho ndo uje ukiwa fresh..halafu nieleweshe kitu hivi mtu akilewa anapoanza kuporomosha maneno ya ajabu ni kweli akilini mwake anakuwa hajui kama anaongea utumbo?
 
Endelea tu mamito...

We Erickb52 mbona me sihudumiwi???? Wahudumu wako wanapenda kuhudumia wanaume tuuuuuu..... Ntahama mie...

Wapi Madame B na kati K'nino anipeleke "LEO TUPO HAPA PUB" Make hapa naona upendeleo wa wazi wazi!!!!!
Tatizo mamanager Kipipi na Filipo wamelala au sijui wameenda kunatana lol
Hebu mwombe Kongosho akusaidie
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom