yale mafuriko ya masasi tandahimba mtama etc ni mbeya na arusha?
hujajua tu watu wengi sana wanapata bahati ya kuona chopa kwenye mafuriko ya lowasa
yale mafuriko ya masasi tandahimba mtama etc ni mbeya na arusha?
Hata kama asipopata nafuu ya kuyafanya hayo maendeleo,sis tulishasema na mwl alisema, watanzania wanahitaji mabadiliko, na muda wa mabadiliko ndio huu. LOWASA IKULU TUTAMPELEKA IVOIVO NA UGONJWA WAKE!
angalia mahojiano ya wananchi wa lindi vijijini na ITV tar.23/9/15.
Sisi ni Magufuli tu.UKAWA ni balaa kubwa kwa nchi.nani asiyejua?
Mkuu, hata wajumbe wa lililokuwa Bunge la KATIBA ( Tanzania Kwanza) waliikataa Rasimu ya 2 ya Jaji Warioba kwa sababu ya idadi ndogo ya waliopiga kura. Mkuki kwa nguruwe kwa.....Nduguyangu tumia tu akili ndogo tu kuhusu utafiti wa Twaweza ,tume inasema wapiga kura ni m25 twaweza imehoji watu 1000+ achilia mbali vigezo vilivyotumika kuchagua hao watu . hivi watu1000 wanaweza toa taswira ya watu milion 25?
We ----- tu mijitu kama nyie mnafaa kutupw Ktk zina leny mamba...Bloody. ....hellSisi ni Magufuli tu.UKAWA ni balaa kubwa kwa nchi.nani asiyejua?
Pumba tu umeandikahawa si ndo aliowaahidi wataendelea kuwa wamachinga for the rest of their lives.
Tafiti zimeonesha kuwa Lowassa ANGALAU anapendwa mijini. Tatizo UKAWA hii mnafikiri Tanzania yooote ni Dar, Mbeya mjini na Arusha mjini, Tanzania kubwa sana! Na wapigaji kura wengi hawapo katika miji hii, oooo ooooh!
hawa si ndo aliowaahidi wataendelea kuwa wamachinga for the rest of their lives.
Tafiti zimeonesha kuwa Lowassa ANGALAU anapendwa mijini. Tatizo UKAWA hii mnafikiri Tanzania yooote ni Dar, Mbeya mjini na Arusha mjini, Tanzania kubwa sana! Na wapigaji kura wengi hawapo katika miji hii, oooo ooooh!
Watu siku hizi hawadanganyiki kariakoo wameonyesha mfano
Nawaona mnavyoufukuza upepo bila kuuona wala kuukamata Lowasa kuingia ikulu kwa kura za wanachi hilo msahahu kwasababu wananchi sasa hv wameamka washajua kwanza fisadi pili mgonjwa