Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Mi nadhani serikali ichukue hatua kali sana dhidi ya watu hawa wachache wanaotaka kuchezea amani ya nchi yetu kwa kivuli cha dini.hakuna kulea ujinga watu wengine kujifanya wako juu ya sheria.
 
.....watu wakikosa kazi huwa hawana focus,kwa maana hiyo tutashuhudia mengi sanaaa.Lakini swali la kujiuliza ni hili...TANZANIA KUNA SERIKALI? NA KAMA IPO INA MENO? JE INAWAJALI WATU WAKE?
 
Ni kweli nimepata taarifa tayari kariakoo waislamu wameshakinukisha, kuna mabom na helkopta ya polisi inatanda anga la kariakoo, cha muhimu ni kuchukua Tahadhali hapo ulipo, kuepuka vurugu hizo
 
samaki mkunje angali mdogo sasa amesha kakakmaa ni vigumu kumkunja tena.
hata rwanda ilianza kama utani mwisho wa siku ndio tukasikia mauaji ya kimbali
 
kuna tafrani kubwa hapa msikiti wa kinondoni mtambani polisi wakijaribu kuwatawanya wafuasi wa sheikh ponda waliokuwa wakitaka kuandamana
 
tupeni taarifa wanaelekea mitaa ipi,kwa hapa kariakoo lutheran tumesimama imara wao wenyewe watashangaa majibu watakayopata
 
Tutendeeni haki tunaoitegemea jf kama chombo pekee cha taarifa kwa dakika hizi wapendwa.
Tupeni taarifa iliyonyooka tafadhali.
 
Back
Top Bottom