Kariakoo: Kiongozi wa Wafanyabiashara azomewa

Kariakoo: Kiongozi wa Wafanyabiashara azomewa

Kuna mijitu mnapenda sifa sana eti "Namshauri RPC Murilo asijaribu kuwatisha waliofunga kwa sababu vitisho vyake vitachafua zaidi hali ya hewa na akifanya mchezo tutahakikisha anahamishwa kabla ya asubuhi kama tulivyohakikisha Pedeshee Amos Makalla anatimuliwa kabla ya asubuhi" ufanye nini wewe kiraka masikini wa Mungu!
yuko wapi Makalla leo ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Taasisi zote zina kero, kuna watu wanapasua wagonjwa hawana hata vifaa vya kujikinga mpaka na wao wanapata magonjwa mengine je hiyo sio shida kubwa? Tukigoma kufanya kazi si wagonjwa wengi watakufa ?

Sasa Rais kamtuma waziri mkuu, amekuja na amewaomba, na mkutano mkubwa ni kesho, then mpaka Leo mnagoma for what?

Kama hamuamini kauli ya waziri mkuu how mtaamini kauli ya Rais ?

Wazo Bora ni kuachwa wagome hata miaka 2 then tuone

Na Rais ikimpendeza maduka yote yavunjwe kuwe open space, kuna shida Sana ya parking mjini

Au tufuge samaki tu
Sekta ya afya waliopo makazini wakigoma kuna uwezekano wa kuajiri wasomi kibao waka replace nafasi hizo na kila kitu kikaemda sawa.

Sasa wafanyabishara wakigoma uta replace nini ili biashara ziendelee?

Wewe hapo ulipo una hata kodi ya kulipia fremu Kariakoo kwa miezi mitatu tu?

Mfanyabiashara sio mtu wa mchezo watu wamewekeza billions of money halafu unadhani kirahisi tu serikali iwaache wafunge.

Wakifunga hata wiki tu pato la serikali litayumba sana.
 
Angeenda kuwekeza kwenye migodi huko basi kama yy ni mtu muhimu sana

Au angeenda kuwekeza kwenye maviwanda makubwa, why Yuko kariakoo?

Na kuwa mtu muhimu sio ndio kuwa na kiburi,

Hamna uwezo wa kumwita Rais aje kuwasililiza nyie ni nani?

Msipokuwepo hapo kariakoo inchi inasimama?

Mnajipa ukubwa for nothing

Fungueni maduka nyie mpate na serikali ipate win win situation sio mnaleta mambo ya kijinga
 
Hata kama kuna security base, hiyo security base si ya serikali?

Nyie Nani mpaka muwe na nguvu ya kumwita Rais?

Mnadekezwa sana
Wafanyabishara wana nguvu sana tofauti na nyie manesi na walimu hata mkigoma tunaajiri wengine wanaosota mtaani hawana ajira.

Usifanye masihara na mitaji ya watu wewe usidhani ni mtaji wa laki tatu kama wewe nesi ulivyowekeza kwenye biashara ya kusaga juice nyumbani kwako.
 
Kuna mijitu mnapenda sifa sana eti "Namshauri RPC Murilo asijaribu kuwatisha waliofunga kwa sababu vitisho vyake vitachafua zaidi hali ya hewa na akifanya mchezo tutahakikisha anahamishwa kabla ya asubuhi kama tulivyohakikisha Pedeshee Amos Makalla anatimuliwa kabla ya asubuhi" ufanye nini wewe kiraka masikini wa Mungu!
Huyu unayemuita kiraka ndiyo amesababisha Makalla akahamishwa ambaye ni boss wa huyo RPC wako unayemuina ni wa maana.
 
Huyu unayemuita kiraka ndiyo amesababisha Makalla akahamishwa ambaye ni boss wa huyo RPC wako unayemuina ni wa maana.
Huyo mchimba viazi tu hawezi kuwa bosi wa Makalla.
 
Wafanyabishara wana nguvu sana tofauti na nyie manesi na walimu hata mkigoma tunaajiri wengine wanaosota mtaani hawana ajira.

Usifanye masihara na mitaji ya watu wewe usidhani ni mtaji wa laki tatu kama wewe nesi ulivyowekeza kwenye biashara ya kusaga juice nyumbani kwako.

Haijalishi ni maitaji ya Bilion ngapi, but hamna uwezo wa kumwita Rais aje hapo

So kwa vile nyie mnamitaji mikubwa serikali inatakiwa kusimama Kwa ajili yenu?

Yan me ningekuwa ni rais ningewaacha mgome na wala nisingefanya kikao chochote na nyinyi

Then tungeona
 
Kariakoo mnatoa Bilion almost 300 Kwa mwaka

Tutapata sehemu zingine,

Nyie endeleeni kugoma
Bilioni 300 kwa mwaka?

Oh my rib... Hiyo pesa inapatikana ndani ya mzunguko wa biashara wa wiki moja Kariakoo halafu unazungumzia mwaka?

Watu wanaotoka mikoani pekee wanakuja kufungasha mizigo ya bilioni kadhaa kwa siku achilia mbali wanaotoka nje ya nchi kama Rwanda, Uganda, Zambia, Congo DR, Burundi na kadhalika.
 
Hiyo ni Kodi Kwa serikali,

Nenda kaulize vizuri wakubwa zako wakwambie

Kama ujui mambo usije jf nenda Facebook
 
Dawa ni kuambiwa mmegoma tumewaomba mfungue hamtaki.
Sasa miezi mi 3 hamna frem hizo kufunguliwa.
Uone km hawajaenda wenyewe kuomba poo
 
Dawa yao Rais awanyamazie kimya ili aone mwisho wao kama hawajafungua wenyewe,serikali ikishaanza kukubali kupangiwa na wapuuzi wachache watavuruga kila eneo nchi sasa itakuwa ni migomo na kila anayegoma atadai kuonana na Rais.
Mbona siku zilizopita walifanyiwa kila aina ya dhuluma lakini hatukuwahi kumuona mjusi yeyote akibinua makalio yake na kubana pua eti anagoma leo Rais amewaondolea adha chungu nzima ikiwemo madeni ya kodi ya mchongo bado mnataka kumchukulia poa!
 
Hata kama kuna security base, hiyo security base si ya serikali?

Nyie Nani mpaka muwe na nguvu ya kumwita Rais?

Mnadekezwa sana
Unajua biashara ya kariakoo ndo inavalisha nguo nchi nzima kwa asilimia 95%???au hujui ikilia kaliakoo hata hapo kwako kigoma maduka yanatoa mzigo hapa ???
 
Back
Top Bottom