Kariakoo: Kiongozi wa Wafanyabiashara azomewa

Kariakoo: Kiongozi wa Wafanyabiashara azomewa

"Namshauri RPC Murilo asijaribu kuwatisha waliofunga kwa sababu vitisho vyake vitachafua zaidi hali ya hewa na akifanya mchezo tutahakikisha anahamishwa kabla ya asubuhi kama tulivyohakikisha Pedeshee Amos Makalla anatimuliwa kabla ya asubuhi , Mgogoro huu umeishavuka level ya Polisi , aache ngazi za juu ziutatue kwa weledi , Yeye anachopaswa kukifanya ni kuimarisha Ulinzi Baaaaasi"

Hapa umeandika kwa hisia za kiume haswa, zinajieleza wazi kwa mtu aliyepambana kuitafta mali halafu anatokea mtu mmoja hajui hata maana ya biashara anaanza kutolea maamuzi ya ambacho hajakitafta.
True,hatua ilipofikia hii inshu kuna baadhi ya wenye vyeo hawapaswi kunyanyua midomo yao,watulie tulii.

Achana kabisa na mtu anayepajua alipotoka na Alison na bado anataka kusonga mbele halafu mwingine analeta maneno mbovu utakatwa shingo
 
Anaeupiga mwingi'' ndo mtoza Kodi halisi, waziri wa pesa ni karani tu.-Lisu said jana while at katoro.

Usiwe mgumu kuelewa masuala Rahisi.
Kwa hivyo wewe Lissu ndiyo chanzo chako cha elimu na maarifa?
 
Sometimes wanawaendekeza tu

Wangewaacha wafunge, tena wafunge mwaka mzima then tuone Nani atapata hasara

Malalamiko Yao yamesikika, waziri mkuu ameenda, amewaomba, na bado wamegoma, wanataka rais aende kariakoo, kama wanashindwa kumsikiliza alie tumwa na rais watamsikiliza Nani.?

Waachwe wafunge mwaka mzima
Huelewi chochote wafanya biashara wanawateja wao na biashara inaendelea fresh sema wanaoumia ni wa mwisho huku
 
Ally Hassan Mwinyi
Aboud Jumbe Mwinyi

Edward Lowassa
Prof Simon mbilinyi
Iddy Simba

ni wengi sana wamejiuzulu, hata Lazaro Nyalandu alishajiuzulu ubunge kupinga utawala wa JPM
Asante sana
Ila sio tabia yetu kuacha kazi kwa aibu
Na hao hata 20 hawafiki tangu Uhuru
Mtu anatamani akae madarakani na akijua kabisa ni mwizi na tuhuma zote zipo wazi

Wenzetu hata kuambiwa tu ume cheat na kuwekwa hadharani anaachia ngazi
Hata kama ni waziri
 
Sometimes wanawaendekeza tu

Wangewaacha wafunge, tena wafunge mwaka mzima then tuone Nani atapata hasara

Malalamiko Yao yamesikika, waziri mkuu ameenda, amewaomba, na bado wamegoma, wanataka rais aende kariakoo, kama wanashindwa kumsikiliza alie tumwa na rais watamsikiliza Nani.?

Waachwe wafunge mwaka mzima
Tatizo la kufunga mwaka mzima serikali itapoteza chanzo kikubwa cha mapato yake ya kikodi.
 
Tatizo la kufunga mwaka mzima serikali itapoteza chanzo kikubwa cha mapato yake ya kikodi.

But serikali haiwez kufirisika just because ya kariakoo

Dawa pekee ni kuwacha wagome, then tuone Nani anapoteza zaidi ya mwenzake
 
Sometimes wanawaendekeza tu

Wangewaacha wafunge, tena wafunge mwaka mzima then tuone Nani atapata hasara

Malalamiko Yao yamesikika, waziri mkuu ameenda, amewaomba, na bado wamegoma, wanataka rais aende kariakoo, kama wanashindwa kumsikiliza alie tumwa na rais watamsikiliza Nani.?

Waachwe wafunge mwaka mzima
huwezi elewa maumivu ya wafanya biashar kam ww sio mfanya biasha na pia Sio lazima kila uzi uchangue kaka...
 
But serikali haiwez kufirisika just because ya kariakoo

Dawa pekee ni kuwacha wagome, then tuone Nani anapoteza zaidi ya mwenzake

Daaah we jamaa kkoo ikiwa imefungwa serikali hakuna inachopoteza?? Unaona waziri kaenda nanutaona raisi kaenda hapo ndo uchumi ulipo mkuu...!!!! Serikali inajua inachopata apo ndo sababu serikali macho yapo hapo....!!!! Jaribu kugoma hapo ulipo alafu utaipata habari yako..!!!!
 
huwezi elewa maumivu ya wafanya biashar kam ww sio mfanya biasha na pia Sio lazima kila uzi uchangue kaka...

Kila secta ina maumivu yake, hata mm sector yangu ina maumivu tena zaidi ya hayo ya wafanyabiashara

But kutotii sauti ya mamlaka ya waziri mkuu wa inchi ni utovu wa nidhamu

Sasa Bora wakaachwa wafunge hata miaka 2 then tuone Nani anapoteza
 
Back
Top Bottom