Kariakoo: Kiongozi wa Wafanyabiashara azomewa

Kariakoo: Kiongozi wa Wafanyabiashara azomewa

Ally Hassan Mwinyi
Aboud Jumbe Mwinyi

Edward Lowassa
Prof Simon mbilinyi
Iddy Simba

ni wengi sana wamejiuzulu, hata Lazaro Nyalandu alishajiuzulu ubunge kupinga utawala wa JPM
Vipi mbowe mwenyeketi 20+,akipewa nchi ataachia kweli madaraka?
 
Akizungumza na Wafanyabiashara wenzake wa Kariakoo, Ndugu Mbwana ambaye anatajwa kama kiongozi wa wafanyabiashara hao amewaasa Wafanyabiashara wote wafungue maduka yao kwa vile Waziri Mkuu alielekeza hivyo na kwamba Jumatano kutakuwa na Kikao kati ya Viongozi wa wafanyabiashara na Waziri Mkuu.

Baada ya kauli yake hiyo Ndugu Mbwana AMEZOMEWA KWA KISHINDO KIKUBWA hadi sauti ya wazomeaji kufika Magomeni na Feri, kuzomewa ni Ishara ya kukataliwa na ni aibu kwa aliyezomewa na kwa uungwana, ukishazomewa namna kama alivyozomewa Mbwana unapaswa kujiuzulu.

Ushauri wangu kwenye sakata hili ni huu hapa, Waliofunga maduka yao kusubiri kauli ya mwisho ya Serikali ambao ni 98.9 % waache wafunge hadi wanachosubiri kitimie lakini hao 1.1% ambao wamefungua maduka yao wasisumbuliwe

Namshauri RPC Murilo asijaribu kuwatisha waliofunga kwa sababu vitisho vyake vitachafua zaidi hali ya hewa na akifanya mchezo tutahakikisha anahamishwa kabla ya asubuhi kama tulivyohakikisha Pedeshee Amos Makalla anatimuliwa kabla ya asubuhi, Mgogoro huu umeishavuka level ya Polisi, aache ngazi za juu ziutatue kwa weledi, Yeye anachopaswa kukifanya ni kuimarisha Ulinzi Baaaaasi.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Tunamuhitaji Magufuli arudi haraka sana, hawa wafanyabiashara wanakuwa na nguvu gani kuisusia serikali?
 
Ikitokea bidhaa hazipatikani wafanyabiashara wa mikoani nao watashindwa kulipa kodi

Hao tra wakubali tu wapunguze kodi huwezi mtishia mfanyabiashara mwenye mtaji kariakoo ikifa itaathiri ata mabank ikifikia hatua hii kila nchi itaanza kufirisika

Tutumie hekima na busara kutatua mgogoro huu mfanyabiashara sio machinga au mwalimu kwamba akitishiwa anakuwa mpole
 
Sometimes wanawaendekeza tu

Wangewaacha wafunge, tena wafunge mwaka mzima then tuone Nani atapata hasara

Malalamiko Yao yamesikika, waziri mkuu ameenda, amewaomba, na bado wamegoma, wanataka rais aende kariakoo, kama wanashindwa kumsikiliza alie tumwa na rais watamsikiliza Nani.?

Waachwe wafunge mwaka mzima
Yaani unaongea kama unakula kiazi Cha moto!
Kariakoo ni sehemu ya kuangaliwa kwa jicho la kipekee.
Mngekuwa na akili mngeitangaza Kariakoo kuwa kitovu Cha utalii wa shopping (duty_free).
Lakini kwa kuwa mnatenda kwa wivu, chuki na manyanyaso mnashindwa kufikiria miaka mingi mbele!!
 
HaMna wakifunga siku moja lazika tukawaombe. Maaana wanajua ndo mkoa unaogoza kikodi
 
Unaafikiria karia koo ni wafanya biashara maskini;Bila Karia koo dar ingekuwa kama Morogoro. Mitaji ya hao wafanyabishara ni zaidi ya 1 bilion. Unafikiri kwanini majaliwa kawahi haraka kwenda kusikiliza. Anyways ukiajiriwa muda mrefu akili ina lala.
Chief mbona unawa underestimate hapo kkoo kuna mitaji ya zaidi ya tillion moja
 
Yaani unaongea kama unakula kiazi Cha moto!
Kariakoo ni sehemu ya kuangaliwa kwa jicho la kipekee.
Mngekuwa na akili mngeitangaza Kariakoo kuwa kitovu Cha utalii wa shopping (duty_free).
Lakini kwa kuwa mnatenda kwa wivu, chuki na manyanyaso mnashindwa kufikiria miaka mingi mbele!!

Kuna secta nyingi zinafanya vizuri kama kariakoo au zaidi ya kariakoo

But kariakoo kuwa na hayo yote mnayosema hayawapi authority ya kugomea Agizo la waziri mkuu wa inchi
 
Kuna secta nyingi zinafanya vizuri kama kariakoo au zaidi ya kariakoo

But kariakoo kuwa na hayo yote mnayosema hayawapi authority ya kugomea Agizo la waziri mkuu wa inchi
Kugomea ni option nzuri sana. Ni haki yao
 
Kuna secta nyingi zinafanya vizuri kama kariakoo au zaidi ya kariakoo

But kariakoo kuwa na hayo yote mnayosema hayawapi authority ya kugomea Agizo la waziri mkuu wa inchi
Huyo waziri mkuu wako na yeye afanye biashara hata wiki tu ili aone chamoto.

Wafanyabiashara sio watu wakuwachezea, kuna kipindi walikuwa wanaendesha nchi na kulipa mishahara ya umma.
 
Back
Top Bottom