totlo masire
JF-Expert Member
- Nov 7, 2021
- 868
- 1,404
Kariakoo mnatoa Bilion almost 300 Kwa mwaka
Tutapata sehemu zingine,
Nyie endeleeni kugoma
Hicho unachosemq sio sawa kibunda kingi kinatoka hapa na tunahudumia watu wa karibu nchi nzima mkuu
Kariakoo mnatoa Bilion almost 300 Kwa mwaka
Tutapata sehemu zingine,
Nyie endeleeni kugoma
Alijuzulu kutokana na shinikizo la ndani ya vikaoAbdu Jumbe Mwinyi hakujiuzulu badi aliaondolewa kwa shinikizo
Makusanyo Kwa Nchi nzima bl 800, KARIAKOO pekee inachangia bl 300.Kariakoo mnatoa Bilion almost 300 Kwa mwaka
Tutapata sehemu zingine,
Nyie endeleeni kugoma
Kwani rais ni nani asiende? Si anaishi Kwa Kodi na mishahara yao? Hao ndio boss wa huyo rais unaemsema wewe jitambie kwanzaSometimes wanawaendekeza tu
Wangewaacha wafunge, tena wafunge mwaka mzima then tuone Nani atapata hasara
Malalamiko Yao yamesikika, waziri mkuu ameenda, amewaomba, na bado wamegoma, wanataka rais aende kariakoo, kama wanashindwa kumsikiliza alie tumwa na rais watamsikiliza Nani.?
Waachwe wafunge mwaka mzima
Sometimes wanawaendekeza tu

Ndio maana nakaimishwa uongozi jioni hii halafu kesho naingia kwenye kikao na PM , Patamu hapo !Mleta mada, Ulisema na Wewe ni mmoja wa wafanya Biashara hapo K/koo,kuwa Mwenyekiti wao hao wafanyabiashara ili upewe ulinzi kama ulivyoshauri!
Ungekua unajua uchumi usingeandika huu upumbavu
Hizo ni data zipo, kamati ya bunge si ilikuja hapo? Ww ndio ujui kitu
Kwani Serekali uwapatia wafanyabiashara mitaji?Tatizo la kufunga mwaka mzima serikali itapoteza chanzo kikubwa cha mapato yake ya kikodi.
Kila la heri. Waambie uwe Mwenyekiti kamili usikubali kukaimishwa, ili uwe na mamlaka kamili ya uwenyekiti.Ndio maana nakaimishwa uongozi jioni hii halafu kesho naingia kwenye kikao na PM , Patamu hapo !
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Ningekujibu ila huna unachojua acha nikuache na ujinga wako
Chukua ukweli toka kwangu.
Watanzania wa sasa ni wabovu wa mioyo sio ccm wala upinzani wote wabovu.
Katiba haitengenezi mioyo ya watu...
Rushwa itaendelea
Uonevu
Wizi
Ifisadi
Vitaendelea kuwepo tu
Rais mwinyi.Hebu nitajieni viongozi waliowahi kuachia ngazi
Ajiuzuru? Not in my country
Unaafikiria karia koo ni wafanya biashara maskini;Bila Karia koo dar ingekuwa kama Morogoro. Mitaji ya hao wafanyabishara ni zaidi ya 1 bilion. Unafikiri kwanini majaliwa kawahi haraka kwenda kusikiliza. Anyways ukiajiriwa muda mrefu akili ina lala.Sometimes wanawaendekeza tu
Wangewaacha wafunge, tena wafunge mwaka mzima then tuone Nani atapata hasara
Malalamiko Yao yamesikika, waziri mkuu ameenda, amewaomba, na bado wamegoma, wanataka rais aende kariakoo, kama wanashindwa kumsikiliza alie tumwa na rais watamsikiliza Nani.?
Waachwe wafunge mwaka mzima
LAbda tu hunifahamu vizuri mkuu.Siamini kama hii comment imetoka kwako mwana UFIPA kinda Kinyaki. Nini kimetokea braza? 😁😁😁🖐
Watafungua tu!Akizungumza na Wafanyabiashara wenzake wa Kariakoo, Ndugu Mbwana ambaye anatajwa kama kiongozi wa wafanyabiashara hao amewaasa Wafanyabiashara wote wafungue maduka yao kwa vile Waziri Mkuu alielekeza hivyo na kwamba Jumatano kutakuwa na Kikao kati ya Viongozi wa wafanyabiashara na Waziri Mkuu.
Baada ya kauli yake hiyo Ndugu Mbwana AMEZOMEWA KWA KISHINDO KIKUBWA hadi sauti ya wazomeaji kufika Magomeni na Feri, kuzomewa ni Ishara ya kukataliwa na ni aibu kwa aliyezomewa na kwa uungwana, ukishazomewa namna kama alivyozomewa Mbwana unapaswa kujiuzulu.
Ushauri wangu kwenye sakata hili ni huu hapa, Waliofunga maduka yao kusubiri kauli ya mwisho ya Serikali ambao ni 98.9 % waache wafunge hadi wanachosubiri kitimie lakini hao 1.1% ambao wamefungua maduka yao wasisumbuliwe
Namshauri RPC Murilo asijaribu kuwatisha waliofunga kwa sababu vitisho vyake vitachafua zaidi hali ya hewa na akifanya mchezo tutahakikisha anahamishwa kabla ya asubuhi kama tulivyohakikisha Pedeshee Amos Makalla anatimuliwa kabla ya asubuhi, Mgogoro huu umeishavuka level ya Polisi, aache ngazi za juu ziutatue kwa weledi, Yeye anachopaswa kukifanya ni kuimarisha Ulinzi Baaaaasi.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Unaafikiria karia koo ni wafanya biashara maskini;Bila Karia koo dar ingekuwa kama Morogoro. Mitaji ya hao wafanyabishara ni zaidi ya 1 bilion. Unafikiri kwanini majaliwa kawahi haraka kwenda kusikiliza. Anyways ukiajiriwa muda mrefu akili ina lala.

Mpumbavu huyo dada ndomana nimemwacha hana anachojua kabisa. Hajui impact ya kariakoo kwenye uchumi wa Tanzania