hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,907
- 9,698
Daaah we jamaa kkoo ikiwa imefungwa serikali hakuna inachopoteza?? Unaona waziri kaenda nanutaona raisi kaenda hapo ndo uchumi ulipo mkuu...!!!! Serikali inajua inachopata apo ndo sababu serikali macho yapo hapo....!!!! Jaribu kugoma hapo ulipo alafu utaipata habari yako..!!!!
Mm nikigoma kwenye office yangu watu wengi watakufa
Na sio kwamba kwenye office yangu hakuna changamoto zipo kibao tu
Sasa waziri mkuu amekuja, amewaomba Kwa dhati kabisa but mpaka Leo mnagoma huo ni utovu wa nidham
Rais akiamua anabomoa maduka yote hayo then panakuwa bwawa la samaki Tu,
Muhimu ni kuheshimu viongozi