Karia umeyaona Matokeo ya Endowsoments, Acha kulia hatwendi uwanjani NG'OO

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
16,227
Reaction score
22,841
Nilikuona jana kupitia Azam tv Ukiweweseka kuwaita watu uwanjani bila shaka hujui. Acha nikupasue na kukupa ukweli

1. kwakuwa wewe ni mwana CCM, ulifanya figisu hata kuwakataza wagombea wengine wasigombee kwa kuchukua endowsments zote bila haya wala AIBU jambo likapita na sasa wasubiri uchafuzi tu.

2. Karia wewe ulitumiwa na wana CCM kuahirisha mechi ya simba na Yanga hapo March 8 hili nina uhakika nalo 100% . ilikuwaje ilikuwa siku ambayo SAMIA alikuwa anahutubia Mwanza. LISU alikuwa mlimani city. alikuwa anazungumza juu ya NO REFORMS NO ELECTION, ili lisu ASISIKIKE Ukaahirisha mechi ili kwahamisha WATANZANIA na kweli ulifanikiwa hadi leo Lisu yupo ndani kwa kesi ambayo wewe na wana CCM wenzako mnaijua chanzo chake (ipo siku ukweli huu utawekwa wazi na kina MGOE). Hili nalo ni chanzo cha watu kutohudhuria mechi za CHAN kama huamini sikiliza miguno ya MASHABIKI WA YANGA kwa timu yao kuchangie lile tamasha la rushwa pale mlimani city juzi

3. figisu za uchaguzi hili nalo linasababisha, watu wanakuona wewe kama mtu mbinafsi uliyejawa na kiburi na tamaa ya madaraka (unawezaje kuwambia wanaokupinga wakacheze sinema zetu? ) kwani wanaocheza sinema zetu siyo watu? sasa nenda mwenyewe uwanjani watu hawaendi NG'OOOO

Ati unasema mpira unachezwa muda mbaya? TUMBO LAKO

Watanzania hawa wa leo siyo wale wa 1970
NO REFORMS NO ELECTI
 
Wewe ni mpuuzi.
 
Kati ya yote hili la endorsements ni upumbavu wa hali ya juu, na nina imani mahakama itabatilisha na kutoa haki na nafasi sawa kwa wagombea wote
 
Hakuna lolote watanzania kutojaa viwanjani kwenye hizi mechi ni jambo la kawaida wala sio ajabu kwani hakuna asiyejua watanzania ni wapenzi wa simba na yanga tu wala sio wapenzi wa mpira wenyewe
 
Nikusahihishe mkuu; ilikuwa siku mkuu ya wanawake hafla ilifanyika Arusha na mgeni rasmi alikuwa Samia. Wakafanya figsu wakakansel derby ili mama kesho yake a make headline. Nakweli walifanikiwa
 
Sababu za watu kutojitokeza kwa wingi kushabikia Taifa Stars zinatajwa nyingi ila ishu ya endorsement inaweza kuwa ndio sababu isiyokuwa na uhalisia hata kidogo.

Kwanza ifahamike ni asili yetu sisi kama watanzania kutokuwa na mwamko linapokuja swala la timu ya Taifa. Hili ni tatizo la miaka mingi.

Lakini sababu zingine ambazo zinaweza kuwa na mashiko ni swala la siasa kwenye mpira wetu, timu ikishinda pongezi anapewa Mama.

Watu hii hawaipendi kwasababu ya utofauti wa kiitikadi wanaaamua bora watulie tu maskani waangalie kwenye runinga.
 
Sijaelewa kwa nini wasizwa wamesusia kwenda kuangalia gemu nzuri za CHAN wamekua kama wazulu wao na ligi yao tu mechi za Club Bingwa hata uwape tiketi bure hawaendi FNB..
 
Nilikuona jana kupitia Azam tv Ukiweweseka kuwaita watu uwanjani bila shaka hujui. Acha nikupasue na kukupa ukweli

1. kwakuwa wewe ni mwana CCM, ulifanya figisu hata kuwakataza wagombea wengine wasigombee kwa kuchukua endowsments zote bila haya wala AIBU jambo likapita na sasa wasubiri uchafuzi tu.

2. Karia wewe ulitumiwa na wana CCM kuahirisha mechi ya simba na Yanga hapo March 8 hili nina uhakika nalo 100% . ilikuwaje ilikuwa siku ambayo SAMIA alikuwa anahutubia Mwanza. LISU alikuwa mlimani city. alikuwa anazungumza juu ya NO REFORMS NO ELECTION, ili lisu ASISIKIKE Ukaahirisha mechi ili kwahamisha WATANZANIA na kweli ulifanikiwa hadi leo Lisu yupo ndani kwa kesi ambayo wewe na wana CCM wenzako mnaijua chanzo chake (ipo siku ukweli huu utawekwa wazi na kina MGOE). Hili nalo ni chanzo cha watu kutohudhuria mechi za CHAN kama huamini sikiliza miguno ya MASHABIKI WA YANGA kwa timu yao kuchangie lile tamasha la rushwa pale mlimani city juzi

3. figisu za uchaguzi hili nalo linasababisha, watu wanakuona wewe kama mtu mbinafsi uliyejawa na kiburi na tamaa ya madaraka (unawezaje kuwambia wanaokupinga wakacheze sinema zetu? ) kwani wanaocheza sinema zetu siyo watu? sasa nenda mwenyewe uwanjani watu hawaendi NG'OOOO

Ati unasema mpira unachezwa muda mbaya? TUMBO LAKO

Watanzania hawa wa leo siyo wale wa 1970
NO REFORMS NO ELECTI
Hakuna historia ya wewe kwenda kuangalia mechi Kwa Mkapa. Wanapenda wataenda!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom