Kaitampunu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,319
- 1,167
Kwahiyo huwa unaenda kugonga pia?Huyu baba ni mzinzi sijawahi ona..mara nyingi huwa tunagongana pale sinza blue rose inn hahaha
Kwahiyo huwa unaenda kugonga pia?Huyu baba ni mzinzi sijawahi ona..mara nyingi huwa tunagongana pale sinza blue rose inn hahaha
Jamani sikusudii kuudhi mtu.Kwani uzalendo ni upi hasa? Mbona yeye anasahau kusemea matatizo ya watu wake anauchapa usingizi bungeni? Huo ndo uzalendo? Kupokea malipo ya kazi usizofanya? Ningefarijika kama angeongea mwingine, siyo Komba.
Kwa kifupi mi siyo mfuasi mzuri wa unafiki. Ifikie wakati tuamue kuwa waadilifu, au tuache kuongea kwa kujipendekezapendekeza. When it comes to maslahi ya waTanzania tuache upuuzi wa itikadi tuangalie ukweli. Its a shame kuendelea kukubatia uchafu bila haya then unataka watu wakuheshimu. Its a shame.
Kusema ukweli kabisa, huyu namwona ni msanii bora sana.wabunge wanapenda kuuza sura na ndio wanahabari wanawapenda sana kuuzia habari zao.
Uongo kwa mpumbavu ni ukweli. Tafakari kwa kina.
Hiivi KOMBA ni kepteni wa jeshi au ni KEPTEN WA KWAYA NA TAARAB.
Komba ameshauri wabunge wanaochochea vurugu hapa nchini waende jeshini wakajifunze uzalendo waache kuhubiri siasa za ubaguzi. akatolea mfano wa mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni tundu lissu ambaye mara kadhaa amekuwa akiingia katika mgogoro na bunge kwa kusababisha vurugu na kutoweka kwa amani katika chombo hicho cha kutungia sheria za nchi.
Akaenda mbali na kusema kuna wabunge wanapenda kuuza sura na ndio wanahabari wanawapenda sana kuuzia habari zao.
Amevikemea vyombo vya habari kwa kuwa chanzo cha kukosekana kwa amani ya nchi kwa kuandika habari za udaku na vurugu na badala ya kuandika habari za maendeleo.
Kusema ukweli kabisa, huyu namwona ni msanii bora sana.![]()
Kuimba na kucheza ngoma.
![]()
![]()
Mambo ya leisure
![]()
Kuwa active bungeni
HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE alishawahi kumwambia Capt. Komba kuwa jeshini sio mahali pa kuimba na kukata viuno, bali ni UKAKAMAVU, NIDHAMU na bidii KATIKA KUJENGA TAIFA ( UZALENDO ), kOMBA AKACHUKIA, NDIO MAANA ALIVYOKUFA SOKOINE, KOMBA HAKUMTUNGIA NYIMBO KAMA ALIVYOFANYA KWA VIONGOZI WENGINE.
Kweli kajitahidi kuliko kusinzia
![]()
Huyo Komba kachoka kusinzia na ku..j....a..mb,......a hovyo humo mjengoni kaamua aongee hatakama ni pumba. hivi mafisadi wote na wang'oa meno yatembo si walikuwa jeshini na vyeoo vya juu sasa kwanini wanafanya ufisadi mchana kweupe au ndio uzalendo mpya wa macccm? VIVA CDMbwanyeye hapo ni mish** tu! Kwel mzalendo
Jamani inatosha. Zihurumieni zetu
Haya, Mheshimiwa umeanzisha vita kwa kutumia mawe, ilhali unaishi kwenye nyumba ya vioo. Ngoja sasa umiminiwe mawe, ndio uzalendo huo wa kutumia kodi ya Watz, halafu unabadilisha kiti za mjengoni kuwa kitanda ? Kwanda wewe unatakiwa kulipia hapo uko Lodge.