fidelity
Member
- Apr 22, 2012
- 91
- 12
hahahaha umenivunja mbavu mkuuKomba mwenyewe anatakiwa aende jeshi kupunguza tumbo!
hv huyu baba hilo tumbo halioni mpaka kujiita mjeda????
hahahaha umenivunja mbavu mkuuKomba mwenyewe anatakiwa aende jeshi kupunguza tumbo!
hii mikao ya ki CCM bana yataka moyo kama my wife wako ni kada.
Hapana yeye alikuwa mwalimu wa shule ya msingi! Aidha alikuwa mwalimu mzuri sana wa kwaya na kuifanya shule aliyokuwa anafundisha kuwa inatoa burudani zuri sana katika sherehe za kitaifa, hivyo akaombwa na JKT kujiunga nao na kuanzisha kwaya. Hapo ndipo alipopewa cheo cha uluteni na baada ya kwaya yake kutia fora sana katika dhifa mbalimbali za kitaifa akapandishwa kuwa captain.mkuu alikuwa kapteni wa geshiiiiiii tatizo kula kula
Kwa nini asimshauri LULU aende shule kwanza kuliko kumuharibu?
![]()
Komba, huu ndi uzalendo wa jeshini??
kama ni kweli ni heri ya tundu lissu mara kumi kuliko wewe une lala na wajukuu zako,shame on you.
hivi uzalendo unafundishwa eeh????hawa mafisadi wa kileo hawakupitia JKT enzi za mwalimu??????mbona hatuoni huo uzalendo wanao uzungumzia ktk matendo yao?????????????
Hivi ni lazima kila mbunge achangie hoja? Sidhani hivyo kwa sababu wako ambao tangu bunge la awamu hii lianze wako wabunge ambao hawajachangia hoja yo yote. Sasa watu kama kina Komba et al hawana cha kuzungumza kuhusu majimbo yao si wanyamaze waendelee kuuchapa usingizi? Hivi yeye amefaidika nini kuwa mwanajeshi kama anaweza kuchukua vijukuu vyake? Na je, kama ikitokea vita huyu captain anaweza kukimbia? Ni afadhali mtu asiende jeshini kuliko kwenda halafu ukawa na nidhamu ya hovyo kama ya Komba. 1. Ya kula bila mpangilio na 2. Kuchukua watoto wadogo wa kike saizi ya wajukuu zake. Wakati mwingine badala ya kusikiliza matusi ya akina Serukamba, Mkamia na L. Lusinde napendekeza wabunge wawe wanashindanishwa kwenye kuimba.:A S-omg:
Komba unastahili sifa kwa kuwa mkweli
Hii nimeipenda mno!Kama uzalendo ni kutembea na watoto wadogo basi anao sana,
kuna siku polisi mabati walikamata machangudoa pale mtaani katika hao alikwepo kabinti flani kadogo halafu kalikua kachafu kwa muonekano kuliko wengine,
Asubuhi wakati ndugu na jamaa wamekuja kuwatoa ndugu zao hako kabinti akaulizwa na ww ndugu zako wako wapi, akasema nimeshampigia simu baby wangu anakuja kunitoa, hamadi baada ya kama dakika 15 akifika mzee wa TOT akajakumtoa akaondoka naye kwenye gari.....
Kweli kajitahidi kuliko kusinzia
![]()
hii mikao ya ki CCM bana yataka moyo kama my wife wako ni kada.