Kapteni Komba: Tundu Lissu aende Jeshini

Kapteni Komba: Tundu Lissu aende Jeshini

297146_2385598368042_1104571727_n.jpg

Viti vitatu kwa wakati mmoja wakati vimetengenezwa kukaliwa kimoja kwa wakati.....duh inawezekana hayo ndiyo mambo ya jeshini kuwa selfish kukalia viti vitatu peke yake.
 
nakubaliana kabisa na komba, kuna wabunge ni mzigo sana katika bunge hili, hii aina ya kina tundu lissu kila siku kuibua kituko juu ya kituko haikubaliki hata kidogo
 
Tujiulize Lowasa, Kikwete, Kinana, Shimbo hawakupita jeshini hata kidogo...

huo uzalendo anaouzungumzia mbona hatuuoni kwao, wote wanaoliangamiza taifa hili sasa wamepitia jeshini hivyo tuache ushabiki huo wa kijinga na usiokuwa na mantiki yoyote, uzalendo ni moyo wa mtu, hivi mwalimu alipitia JKT?????????? Sokoine je????????????????????????????
 
Hivi komba anaogopa nini kuandikwa kwa habari? Na uchafu anaoufanya tutauandika akae makini. Na aelewe hakuna jeshi tena siku hizi wao wenyewe ndo wameliua sasa anataka jeshi gani la miezi mitatu?
 
Heri Lissu ambaye hakwenda jeshini kuliko waliokwenda jeshini kujifunza usaliti kwa wananchi na ulinzi wa mafisadi wanaoimaliza nchi yetu.
 
Komba ameshauri wabunge wanaochochea vurugu hapa nchini waende jeshini wakajifunze uzalendo waache kuhubiri siasa za ubaguzi. akatolea mfano wa mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni tundu lissu ambaye mara kadhaa amekuwa akiingia katika mgogoro na bunge kwa kusababisha vurugu na kutoweka kwa amani katika chombo hicho cha kutungia sheria za nchi.

Akaenda mbali na kusema kuna wabunge wanapenda kuuza sura na ndio wanahabari wanawapenda sana kuuzia habari zao.

Amevikemea vyombo vya habari kwa kuwa chanzo cha kukosekana kwa amani ya nchi kwa kuandika habari za udaku na vurugu na badala ya kuandika habari za maendeleo.

hahahahaha JESHINI KUNA UZALENDO AU NIDHAMU ZA WOGAA??MAFISADI WA LEO NANI HAJAPITIA HUKO JESHINI,WEZI WOTE WANAOLIIBIA TAIFA HILI HAWAJAPITIA JESHINI?..YEYE KOMBA ANAUZALENDO GANI KWA TANZANIA?WANANCHI WAKE WANAKUFA HUKO YEYE ANAKALIA KUIMBA KYAYA AFU LEO ANAJIFANYA MZALENDO??TUMBO LIMEMZIDI HUYU JAMAA SIO BURE
 
Nyambafu zake......lile jambaz ndo limeomgea hivo.....
 
Akaenda mbali na kusema kuna wabunge wanapenda kuuza sura na ndio wanahabari wanawapenda sana kuuzia habari zao.

Amevikemea vyombo vya habari kwa kuwa chanzo cha kukosekana kwa amani ya nchiza udaku kwa kuandika habari na vurugu na badala ya kuandika habari za maendeleo.[/QUOTE] habari za maendeleo zitatoka wapi kama maendeleo hamna
 
Kwa nini asimshauri LULU aende shule kwanza kuliko kumuharibu?

images

Komba, huu ndi uzalendo wa jeshini??

Jf kuna mambo tena mambo yake makubwa,kazi kwako mzee wa ccm nambari...ulisahau kuwa ukiishi kwenye nyumba ya vioo usianzishe varangati/fujo?
 
Yeye komba katumwa na watu wa Nyasa kuja kulala bungeni. Ndio maana hata jimbo lake limelala, we fikiria juzi wametoa picha kwenye magazeti wakionyesha watoto wa shule za msingi hawana hata viatu. Wengi wanasumbuliwa na safura na kichocho. Kakalia eti "uchochezi" yeye anajua maana ya kuchochea?
 
Nakubaliana na taarifa fulani kuwa komba alithibitisha kuwa alizaliwa tarehe 13/5/1978.
 
Back
Top Bottom