Kanuni za blind dating

Kanuni za blind dating

semeni yote, ila blind dating is the starting of good or bad ending- jipange: FEMALE/MALE Nyota njema huonekana asubui!
 
Hii kitu ni hatari sana, inabidi uwe makini sana unapoifanya. Uchunguzi wangu niligundua most blind datings(hasa za siku hizi) hazifikii kabisa expectations zilizokuwepo kabla ya kuonana but zinalazimisha kupush forward relationship. Mtu anajikuta anajilazimisha kumpenda mtu kwa kutafuta sababu yoyote ile japokuwa havutiwi naye kabisa.

Ushauri wangu watu wajaribu kwa gharama yoyote ile kukwepa kabisa Blind dating na ikishindikana take it very simple, never be serious.

Ni hatari sana kuoa au kuolewa na mtu ambaye appearance yake initially haikuvutii.
 
okey. sasa hiyo ya kujichelewesha ili nisionekane desperate itanishinda. Kanuni yangu ni tukikubaliana saa 12.00 ni saa 12.00, hivyo naweza kufika hata robo saa kabla. Ukiniona desperate mi ntakuona mswahili.
 
Blind dating kimsingi ni nafasi ya nyie kuamua kama mngependa kwenda kwenye second date ama la, Period.
 
Poaaaa! Manak ni mtamu huo ubuyu wa pemba!

CARDINAL RULE YA BLIND DATING NI TANGULIZA PICHA YAKO, IKIFELI INTERVIEW USIJISUMBUE!!!!!!:lol:! Tusiishi kama zama za babu mambo ya DIGITALI YAKO, why take a maximum risk? Sema kwa sisi wahuni wa mjini ujihadhari na

1. Kanya boya! Unakuwa hujiamini so unamtafuta mtaalam wa haya mambo ankuwakilisha afu unakuwa mshika pembe kidesign, afu mtaalamu anajifanya hajakusoma, yule mpambe muhuska ndo anajiongeza, hapo baada ya kufikia viwango vya FIFA, ukiwa chini ya kiwango wanakuzingua tu.

2.Kupelembwa! Ile out of courtesy ili muhusika asijisikie vibaya kwamba hafikii viwango vya FIFA, anakuwa led along na fake relation kwa mda mfupi afu anatafutiwa sababu zisizo na tija za kutemwa ili kumpa moyo.

3.Mnaweza kupendana kimuonekano yeah, lakini CHEMISRTY ikagomaa kabisaa, mnajikuta tu hamna chemstry sasa yale mambo ya mechi za kirafiki ndo yanakoleaaa.

4.Swala la too much expectations. WE MBAYAAA AFU UNATEGEMEA MWENZIO AWE MZURI!!!!!!!!!! Hahahaaaa! Na unaweza kujihisi mzuri ukakuta mwenzio mzuri zaidiiii level za MONEY Stuna na Vin Diesel (Msije kuanza oooh Lara ashaanza kujitongozesha kwa Muhaya Money Stunna la hashaaa, kizuri lazima nisifie, japo ndio ya sio inaweza kuwa ndio ama sio kiundani. Vin Diesel chama langu all day every day!)

lara 1 hivi unajua warembo wote humu ndani wananitosa kisa wanaogopa mchambo wako, anyways tutabanana hivyo hivyo.....
 
Last edited by a moderator:
jipange cha kuongea!!angalia vitu vitavyomfanya nae acchangie au atoe yake maana unaweza jukuta umekua mwandsh wa habar
 
4. Mavazi siku zote yataku-define bruv.

6. Kabla ya kukutana hayo maneno utakuwa umeyatamka kwa nani?

8. Kwanini uigize, Can't you be yourself?

Katika initial encounter huwezi kuwa yourself kaka, sio kwa mwanamke!!!

Sisemi nakubaliana na mbinu alizotoa mleta mada ila ukimtaka mwanamke wa siku hizi lengo namba moja ni kugain access kwake, then ukishafanikiwa hilo you can show your true colors...ili kugain access you have to do what it takes

So kwa initial stage nakubali unaweza uka-divert from the norm kwa kuigiza kiasi!!!
 
okey. sasa hiyo ya kujichelewesha ili nisionekane desperate itanishinda. Kanuni yangu ni tukikubaliana saa 12.00 ni saa 12.00, hivyo naweza kufika hata robo saa kabla. Ukiniona desperate mi ntakuona mswahili.

nikii-like hii itakuwa understatement..I LOVE this comment!!!!
 
Ila ujue uta-fake kila kitu but class bruv.
'No matter where you go, you're what you're player'

Tell you what man..there was this gal who became my friend with the prospect of becoming my lover..during the initial stages I realized that she hated drinkers and smokers very much..she actually told me that she broke up with her boy cause he was drinking too much...I myself was no teetotaler and by that time I was taking both cigarettes and cannabis sativa + alcohol...So there was not much I could do but play along, pretending that I had never smoked and never taken alcohol..In the end I won her and little by little I let her "know" me..and guess what? before the year was over she was stealing some liquor from her father's collection and bringing them at my hole, and she was buying me cigarettes!!!!

and whenever she wanted a real "dose" she would suggest going to the beach first cause she knew I never missed the opportunity to light my spliff when enjoying the sea breeze!!! It was her way of saying "Inkhubu, have a smoke then lets go to bed"

You get my point sir?
 
hapa cha msingi ni kumake first impression nzuri. kumbuka hii ni blind date.

You make first impression you are smart and loaded,then in the long run you are rough and skint!
 
okey. sasa hiyo ya kujichelewesha ili nisionekane desperate itanishinda. Kanuni yangu ni tukikubaliana saa 12.00 ni saa 12.00, hivyo naweza kufika hata robo saa kabla. Ukiniona desperate mi ntakuona mswahili.

teh teh teh
 
Katika initial encounter huwezi kuwa yourself kaka, sio kwa mwanamke!!!

Sisemi nakubaliana na mbinu alizotoa mleta mada ila ukimtaka mwanamke wa siku hizi lengo namba moja ni kugain access kwake, then ukishafanikiwa hilo you can show your true colors...ili kugain access you have to do what it takes

So kwa initial stage nakubali unaweza uka-divert from the norm kwa kuigiza kiasi!!!
Hapo mi nakataa, ubaya wa kuigiza ni kwamba you'll run outta script at some point, and fall. Kuigiza inamaanisha mwenyewe hujikubali, tena kwa issue kama ya blind date ambayo unakuwa hujui utarajie nini ndio unajiachia tu kama ulivyo. Don't let out too much info about you, but never act.
 
Back
Top Bottom