Kanuni za blind dating

Kanuni za blind dating

Mwanamke dont talk too much let him be the leader and watch how it goes
 
Sema all in all blind dating huwaga ni ngumu.Nakumbuka myaka ya nyuma huko nshawahi kuwa na dating ya aina hiyo.

Nakumbuka siku tunakutana,bibie aliwahi kufika kabla yangu na akanielekeza sehem aliyokaa.Mwanaume nkawa nasogea kwa madaha but ile kupiga jicho eneo husika nkakutana na particle moja matata sana.

Yule bibie alivaa top flan hivi ambayo iliacha mikono na mabega yake wazi.Nakumbuka bega la kushoto alikuwa na tatoo ya NG'E alaf kulia kachora NANGA pia alikua kashaagiza konyagi maana nilikuta bapa limelazwa mezani.Aliponiona tu akahisi kuwa ni mimi,nkashindwa kumkimbia tukapiga story kadhaa ila tulivyoachana cku ile cjawasiliana nae tena mpka leo.
 
Naomba namba ake kakaa
 
Nimecheka sana mkuu
 
Ha ha ha asante kwa uzoefu mnategemea makubwa zaidi ha ha ha kazi ipo mbona
 
Kuna dada mmoja nilikutana naye darhotwire enzi hizo. Tukaanza kulonga kwenye simu wee kama miezi 2 hivi.

Kuka kukutan naye sikuvutiwa naye kabisa. Yaani alikiwa hunde. Sikuonyesha dissapointment ila nikaamua tu angalau ni mlambe hata mara moja.

Nilivyo muonja...alikuwa mtamu sijaoata kuona. Hadi leo tukikutana tuna kumbushiaga. Ingawa alisha olewa na ana watoto wa 3 sasa.
 
10. Hakikisha at least unajua maneno machache ya inglishi ili kukuongezea uthamani kwenye kutaniko hilo....
 
Kuna dada mmoja nilikutana naye darhotwire enzi hizo. Tukaanza kulonga kwenye simu wee kama miezi 2 hivi.

Kuka kukutan naye sikuvutiwa naye kabisa. Yaani alikiwa hunde. Sikuonyesha dissapointment ila nikaamua tu angalau ni mlambe hata mara moja.

Nilivyo muonja...alikuwa mtamu sijaoata kuona. Hadi leo tukikutana tuna kumbushiaga. Ingawa alisha olewa na ana watoto wa 3 sasa.

Mim kuna demu ananipenda ila mim simpendi na njia nimeshabadilisha mawazo yanapo nijia nimgegede bahati mbaya nikimpiga mimba sindiyo balaa
 
Back
Top Bottom