Kanuni za blind dating

Kanuni za blind dating

Hiz blind dates hiz!!! Acheni tu nna rafiki yangu alikutana na kijana kweny social network gani sijui....
Wakaanza kuchat ile kuchat wakakubaliana wakutane (blind date yenyewe hiyooo)
Bas bana kufika hko wakaongeeaa wee kaka anampa dada encouragement za kutosha abt life!!!!
Poor her maana ama kwa hakika usolijua ni sawa na ucku wa giza!!!

Ile imefika jion kijana akamwambia shost wahame waende sehemu kula shosti akakubali before hawajaondoka akaomba excuse aende msalani!!!
aahh si kashamwamin kijanaaa!!!! akawa ameacha her belongings kwa table.
Duh maskin ya mungu kumbe kaka ni kaka jambaz wa mitandaoni kurudi form washrum hamwoni kijana anaona purse yake tu kuangalia ndani hakuna pesa wala smart phone yake alonunuliwa na mzee wake like a week before hilo tukio.....
Alikuwa mdogo!!! fortunate enough kadi yake ya bank aliikuta ikabid aende kutoa pesa ya nauli

Asa anawaza hom atamwambiaje mzee wake kwamba kaibiwa?!!
She was brave enough tu cut herself na kiwembe ili aseme kaibiwa kwa kuporwa na vibaka!!!!....

Tumekaa ka miaka mitatu ndo anakuja kunipa ukwel wa jeraha lake nlicheka sanaa!!!
 
hii line nimeipenda
  • Kama ni mwanaume ni vema ukawa na gazeti ila lisiwe uwazi au risasi.
    ​





 
Back
Top Bottom