Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,014
Najua humu jamvini haya mambo yapo sana,
1. Usifanye hii kitu kama una huruma sana maana unaweza shindwa kumtosa mtu ambaye hajakuridhisha.
2. Kama ni mwanaume inatakiwa kuwahi kuliko mwanamke. Utaonekana serious pia inakuongezea ujasiri.
3. Mwanamke haitakiwi kuwahi kuliko mwanaume. Hii itakufanya uonekane desperate na pia tunapenda unavyokuja tusaminishe matiti, umbo na ukuu wa wilaya. Tukikukuta umeisha kaa hatuwezi jua kama ni flat screen au lah.
4. Mwanaume unatakiwa kuvaa neutral. Usiruhusu mavazi yakudefine.
5. Mwanamke dress tu impress. Kama unatafuta ndoa vaa ki wife wife. Kama unatafuta kugegedwa tu vaa hivyo pia.
6. Epuka maneno kama nakupenda au ntakuoa kabla ya kukutana.
7. Kama haujaridhishwa na huyo uliemkuta usionyeshe kuwa disappointed hapohapo jaribu kuficha hisia. Pia usionyeshe kudata sana.
8. Kama ni mwanaume ni vema ukawa na gazeti ila lisiwe uwazi au risasi.