Kanuni saba za maisha! Zisome zitakusaidia

IMG_20170729_104311_198.JPG
 
Mm nko bize na kanuni za hesabu za maisha ni za uongo
 
Trick kwenye hii maneno ni hiyo alama inayoitwa ya Freemason, mchawi anayeruka na maneno ya database ya uchawi
Tunajifunza nini hapa? Badala ya kuhangaika na msingi wa kitu tunahabgaika na urembo.... Ukiachana na hivyo vya ziada msingi wa post hii vilivyoandikwa ndio tunahubiriwa daily kwenye nyumba za ibada

Sent using Jamii Forums mobile app
hapa wabongo huwa nawashangaa sana kwakujifanya wanageza sijui freemason mara devil worshipers lakini ukiwaambia wakupeukweli wahayo wanayoyapinga utagundua udhaifu wao wa kufatilia mambo utakuta mtu kasikia umbea tu redioni au kwenye daladala hajafatilia tayaei unakuta kashatengeneza mawazo yake hasi,wala hataki tena kujifunza.Nadhani hapa watu weupe ndio wanapotushindia kwakupenda kuwa wa dadisi hata kwayale wanayoona ni hatari kwa uhai wao,leo hii wale tunaowaita wachawi mara hatuamini na kushiriki katika uchawi wao ndio wametutengenezea hzi trchnologia na vizuri vingine tuvipendavyo sasa kwa unafiki wetu utasikia tunajisemesha mara tunapinga freemason mara kile lakini kiuhalisia tunaishi kwenye dunia yao kila siku
 
Nakubaliana nawe kwa asilimia mia moja, wengi hubebwa na kuamini maneno ya redio mbao! Mbaya zaidi hii ni mpaka hapa JF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom