Kanuni kuu za ngao combat

Kanuni kuu za ngao combat

Joined
Mar 30, 2020
Posts
61
Reaction score
103
Kanuni kuu za kujilinda za ngao combat nikama vile
1. Ufahamu - kutambua, kutambua hatari mapema kabla haijaja.
.
2. No panic no fury - usiwe na hofu wala usikasirike, baada ya kutambua au kuiona hatari au tatizo usiwe na hofu wala usikasirike.

3. avoidence - kuepuka, umeisha ona hatari au tatizo haujapanic wala hauja kasirika sasa katika hatua hii unatakiwa uepuke tatizo au hatari kabla haijatambulika au kumupata.

4. mapigano - kupigana kwa akili, kama tatizo au hatari tayari inakukabili , na hakuna njia ya kukimbia, kutoroka au kujificha hapo huna budi lazima upigane kufa au kupona ili kuokoa maisha yako.

5. to call help - kuomba msaada, kama tayari umeisha vamiwa na wahalifu na huwezi kuwezi kuweka nao hapo huna budi lazima uombe msaada kwa jamii iliyo karibu na maeneo hayo utapiga ukelele mkubwa ( MSAADA !! AU MOTOOO!! AU NAKUFAA MSAAADA!! )

jamii ikisikia sauti higk haraka watu watakuja kutambua na wahalifu watakimbia kwa sababu hawapendi kuonekana na watu.
 

Attachments

  • SGN_10_24_2026_1792857621482.png
    SGN_10_24_2026_1792857621482.png
    776.1 KB · Views: 3
Back
Top Bottom