Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,453
- 872,062
but useful to everyone
[emoji1]
Naamini unatambua utamu na faida za ndizi lakini kwenye kula huli pamoja na ganda lakeziko vizuri ila tatizo ni "from witchcraft database" zitumieni nyie wahusika tu
Utakosa mambo mazuri maishani kila kitu ukikitafsiri negativeUchawi uchawi tu...
Freemasonry.
Trick kwenye hii maneno ni hiyo alama inayoitwa ya Freemason, mchawi anayeruka na maneno ya database ya uchawinimeona kialama cha freemason
Nina PhD ya ulozi ila siitumii kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mshana bwana!
hahahaha, hiyo umepatia kwenye chuo ambacho ni miongoni mwa hivyo vilivyofungiwa udahili na TCU hahahahahahhaNina PhD ya ulozi ila siitumii kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app