KANUNI ZA KUJILINDA ZA NGAO SELF DEFENSE

KANUNI ZA KUJILINDA ZA NGAO SELF DEFENSE

Jenerali Ken

Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
85
Reaction score
74
KANUNI ZA KUJILINDA ZA NGAO - SELF DEFENSE
1. .awereness - utambuzi, kuona hatari mapema kabla haijatokea.
2. avoidence - kuepuka, kuiepuka hatari mapema baada ya kuitambua.
.3.fighting - kupigana na adui abaye ni hatari kwa maisha, kanuni hii hutumika wakati utakapoweza kuiepuka hatari kwa kushindwa, kujificha au kuomba msaada kwa watu. Hapo nilazima kuPigana kwa akili, kama ni jambazi, kibaka, mbakaji, mteka nyara au muaji piga mapigo ya kuangamiza. Piga shingo, spinal code, pua, macho, floating rib area au korodani, hii itamfanya adui ashindwe kuendelea na pambano na kufulia na utapata nafasi ya kurudi na kurudi.

.to beg - kuomba msaada, kanuni hii hutumika zaidi pindi shujaa wa ngao self defense anapokua hana njia ya kujitetea dhidi ya hatari inayomkabili kwa muda huo. Anapaswa kupiga kelele kwa sauti kubwa sana ya kushtukiza ya kuomba msaada katika jamii ambayo ipo katika eneo hilo la tukio ili watu waje haraka kutoa msaada, wahalifu wakiona umetibuwa mpango wao kwa ukelele mkuumbwa, mara nyingi sana wahalifu hukimbia au hu haraka haraka eneo hilo, wahalifu wengi huwa wanaogopa watu. Utatoa sauti hii ( MSAADAA !!! ) au ( MOTOO !!! ) watu watakuja haraka sana kuomba, usiogope kupiga kelele ya msaada - kwa sababu tambua sauti yako ni ulinzi wako mkubwa wakati utapokuwa huna namna injini ya kujitetea kama ilivyo kanuni ya ( fighting ) ukiona huna njia ya kukimbia, kujificha, wala uwezo wa kupigana na wahalifu wanaokukabili kwa huo muda.
.
1639254021916.jpg
 

Attachments

  • pencil_sketch_1646116066867.jpg
    pencil_sketch_1646116066867.jpg
    8.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom