Kanumba ndani ya Big Brother House 2009

Mimi sidhani kwamba Richard was the best English Language speaker in the previous BBA lakini aliweza kunyakuwa kitita. So kwa Kanumba kutofahamu vyema Kingereza kwangu it is not a big deal provided anaweza ku deliver. Kwasababu sisi siyo judges, its better we accord him our support. Waliomchagua kuingia in the house no better than us what is within Mr Kanumba
 
Dah! Ila kuna vigezo gani vya kuita watu kama hawajui lugha kama kingereza?

Ni kwa mujibu wa utashi wako. Kanumba ameitwa na wao na wala si kwa vigezo mnavyovijua nyie. Mbona mmemwita Max...mo kuwafundisha wachezaji wenu ilhali hata kiingereza chake matata. Nafikiri wanaodhani kujua kiingereza ndo usomi mmechemsha. Tena mjue kuwa Kiingereza ni sawa na lugha yoyote duniani, ni kwa ajili ya kuwasiliana zaidi. Iwapo angeenda bubu mngesemaje?
 
KANUMBA,consult your lawyer.wapeleke kizimbani akina Baraka Shelukindo huku wakijua mapungufu yako yet wakakutosa in the lions den in the due process you have become a laughing stock,a subject of radicule in the BB FORUMS,and in the process you have dragged the name of the motherland down.Action on your part will ensure such mistakes are confined to history and only individuals who fit the bill will be tossed to the lions
 
Mwana wa Alaska;

Mi naishia.

Kanumba katoka.

Topic imeshaingiliwa na watoto. Mara wameanza sijui kusoma sio kujua kiingereza (wakati hakuna aliyekataa)

Jamani anzeni kusoma toka mwanzo wa thread, mtaokoa maoni mengi mnayotoa ambayo ni kurudiarudia na mengi wala hayana maana, maana ni kama mnajipinga wenyewe.
 
Ni kwa mujibu wa utashi wako. Kanumba ameitwa na wao na wala si kwa vigezo mnavyovijua nyie. Mbona mmemwita Max...mo kuwafundisha wachezaji wenu ilhali hata kiingereza chake matata. Nafikiri wanaodhani kujua kiingereza ndo usomi mmechemsha. Tena mjue kuwa Kiingereza ni sawa na lugha yoyote duniani, ni kwa ajili ya kuwasiliana zaidi. Iwapo angeenda bubu mngesemaje?

DUh!!!!!!!!!!!!!! OMG. Anajitungia kisha anajijibu! Haya Kanumba
 
Mimi sidhani kwamba Richard was the best English Language speaker in the previous BBA lakini aliweza kunyakuwa kitita. So kwa Kanumba kutofahamu vyema Kingereza kwangu it is not a big deal provided anaweza ku deliver. Kwasababu sisi siyo judges, its better we accord him our support. Waliomchagua kuingia in the house no better than us what is within Mr Kanumba
Ninavyojua mimi pale BBA siyo uwanja wa mashindano ya kuongea Kiingereza, lakini mtu anayepelekwa pale anategemewa awe na uwezo wa kawaida wa kuongea lugha hiyo ili wenzake wamwelewe na sisi tulio kwenye runinga tuweze kumwelewa. Yaani awe na uwezo wa kuwasiliana vizuri kwa kuongea (na ujue hii ndiyo njia kuu ya mawasiliano - oral communication). Mtu anaposhindwa kuwasiliana kwa kuongea (na kwa hapa Kiingereza) basi anakuwa ameshindwa kwa kiwango cha hali ya juu kufikisha ujumbe wake (maarifa/ujuzi/elimu/ufahamu wake).

Haya ndiyo yalimkuta Kanumba. Hakuweza kudeliver kwa sababu ya language barrier, si kwa sababu mambo hayafahamu lakini kwa sababu hawezi ku-transmit hiyo knowledge kwa wengine hata kama anaifahamu. Ndiyo maana tunamshangaa kwa nini alikubali mwaliko huo! Na wale waliompeleka hawakujua shida yake hiyo?
 
Mimi sidhani kwamba Richard was the best English Language speaker in the previous BBA lakini aliweza kunyakuwa kitita. So kwa Kanumba kutofahamu vyema Kingereza kwangu it is not a big deal provided anaweza ku deliver. Kwasababu sisi siyo judges, its better we accord him our support. Waliomchagua kuingia in the house no better than us what is within Mr Kanumba

Mwingine......
.....Mungu awasaidie.

Unatoa madai ambayo wala hayapo kisha unajijibu madai yako ya uongo.

I am OUT!
 
Ninavyojua mimi pale BBA siyo uwanja wa mashindano ya kuongea Kiingereza, lakini mtu anayepelekwa pale anategemewa awe na uwezo wa kawaida wa kuongea lugha hiyo ili wenzake wamwelewe na sisi tulio kwenye runinga tuweze kumwelewa. Yaani awe na uwezo wa kuwasiliana vizuri kwa kuongea (na ujue hii ndiyo njia kuu ya mawasiliano - oral communication). Mtu anaposhindwa kuwasiliana kwa kuongea (na kwa hapa Kiingereza) basi anakuwa ameshindwa kwa kiwango cha hali ya juu kufikisha ujumbe wake (maarifa/ujuzi/elimu/ufahamu wake).

Haya ndiyo yalimkuta Kanumba. Hakuweza kudeliver kwa sababu ya language barrier, si kwa sababu mambo hayafahamu lakini kwa sababu hawezi ku-transmit hiyo knowledge kwa wengine hata kama anaifahamu. Ndiyo maana tunamshangaa kwa nini alikubali mwaliko huo! Na wale waliompeleka hawakujua shida yake hiyo?[/QUOTE]

They wanted to make him a laughing stock, remember its a reality TV show. So far they achieved their primary objective.

Kwanini unanirudisha humu? nilishasema naondoka. Ila watu kama nyie mnanifanya nirudi na kuchangia. Umeandika POINTS tupu kaka. Be blessed!
 
tanzanians,irrespective of what we think,the bottom line is WHOEVER is flying the flag,be it in beauty pageants,sports etc carries on his/her shoulders the image of the nation-now the moment we dismiss occurings which drag the flag at half mast we iare diong injustices to our selves and in the long run stalling our advancement in the given fields-it is having this in mind that every progressive minded tanzanian should condemn strongly KANUMBA presence albeit temporary in the BB house
 
Mitoto inatoa EXCUSES za kitoto eti sio lugha yetu sijui vile, kama unajua hujui unaenda kufanya nini?. Shame on all of you who supported Kanumba's presence in that House.
 
Mimi sidhani kwamba Richard was the best English Language speaker in the previous BBA lakini aliweza kunyakuwa kitita. So kwa Kanumba kutofahamu vyema Kingereza kwangu it is not a big deal provided anaweza ku deliver. Kwasababu sisi siyo judges, its better we accord him our support. Waliomchagua kuingia in the house no better than us what is within Mr Kanumba

Hakuna aliyesema lazima uongee kingereza fasaha au uwe ndo best english language speaker ndo uweze kushiriki, hapa tunazungumzia basic english, nahisi hujaangalia BBA ndo maana unadhani watu wanamshambulia kanumba. Richard alikuwa na uwezo wa kuwasiliana na akaeleweka, kanumba hata kujadili tu sentensi moja hawezi, akiulizwa swali anacheka tu maana haelewi ajibu nini

Mfano mzuri ni pale alipoitwa kwenye session na bigie, kila swali akiulizwa na bigie haelewi kila akiulizwa anasema what au ok, sasa hii nini jamani mpaka bigie akaamua amruhusu tu aondoke maana walikuwa hawaelewani kabisa, na mwisho anasema bigie "speak difficult word"

mh
 
Wacha azisake hizo dola bana, anaweza furukuta akazibeba kama Richard ati.... Mwampamba na Richard wote hawakuwa na cha maana lakini waliyawezea...mmmh humo jumbani pawenyewe bwana.... Kila la heri Kanumba.

Kanumba sio house mate alikkuwa celebrity mate na ameshatoka kwa hiyo kila la heri ya nini mzee
 
Kiingereza sio our mother tongue, tangu tunazaliwa tunazungumza kama si lugha ya baba na mama, basi ni kiswahili kwa kwenda mbele. Hapa ni vyema waandaaji wakaangalia vyema vigezo vyao vya mwakilishi katika shindano hilo, ila kwa ninavyowafahamu wabongo atagangamala mpaka kitaeleweka tuu.

big up mkuu...hata hivyo kanumba si mshiriki katika BBA bali alikuwa pale katika sherehe ya kufungua hiyo program na kukaribisha housemates....
 
Mitoto inatoa EXCUSES za kitoto eti sio lugha yetu sijui vile, kama unajua hujui unaenda kufanya nini?. Shame on all of you who supported Kanumba's presence in that House.

shame on you with a colonial master's thinking.......
 
Mitoto inatoa EXCUSES za kitoto eti sio lugha yetu sijui vile, kama unajua hujui unaenda kufanya nini?. Shame on all of you who supported Kanumba's presence in that House.

FP na wakuu wengine, heshima mbele!

Nasikitika kuwa kuna watu wanachanganya mambo hadi mjadala unarefushwa pasipo sababu. Elimu siyo lugha ila hakuna elimu bila lugha. Ndiyo maana vijana wengi wa bongo wanadunda mzigo vizuri tu kama wenzao wa nchi zinazojidai kuongea kiingereza vizuri ingawa wengi wetu lugha (namaanisha kizungu) ni mgogoro. Kama mtu unakaribishwa kwa heshima yako, basi hao waliokukaribisha lazima wahakikishe mnaweza kuwasiliana. Hapa unao uamuzi. Kuongea lugha yao (kama unaimudu) au kuwambia watafute mkalimani. Hakuna sababu ya kwenda kujichora kwa kuongea lugha ambayo huielewi vizuri na hasa hasa pale unapokuwa umepewa nafasi kwa heshima yako. Kufanya hivyo ni hatari kwani unaweza kutamka neno moja tu na kuiporomosha heshima yako yote.

Mbali na lugha, vijana wengi tuna tatizo la uelewa. Mtu (mfano kijana kamaliza kidato cha 6, HGE) anaulizwa tofauti kati ya Bukoba na Kagera, Songea na Ruvuma au Sumbawanga na Rukwa hajui! Kwa hiyo tunayo kazi kubwa sana ya kupanua uelewa wetu. Bahati mbaya vijana wengi hatupendi kujisomea, siyo lugha tu bali hata kutafuta maarifa ya kawaida!
 
shame on you with a colonial master's thinking.......

What's patriotic mentality then? To expose your ignorance before the TV screen? I have seen guys in Bongo who can't speak fluent swahili, what kind of thinking do they have? A spade will remain a spade sir; even if that pill is nothing to compare with!
 
I want to do that exercise that make you travel is it tempatation?" HA HA HA HA HAAAAAAAA - UWIIIIIIIIIII jamani simcheki Kanumba ila kuna watu wanachekesha sana humu jamvini - du! KWA KWELI MTU UKISHAKUWA CELEBRITY - JITAHIDI BASI UWE INTERNATIONAL kwenye mambo yako e.g. languages - ujue at least English, kifaransa etc. WATZ tumezidi uvivu - evening classes zipo za kujifunga lugha za ziada - badala ya mtu kufanya hivyo - anaenda viwanja kujirusha - HUWEZI KUJUA OPPORTUNITY GAN IKO MBELE YAKO YAPASA UJIANDAE - HATA KAMA SIO CELEBRITY KIHIVYO - UNAWEZA KUSAFIRI SIKU MOJA ETC TUWE NA INTEREST YA KUJIFUNZA JAMANI............ ILA NAMSHUKURU MUNGU KWA KUNIPA KICHEKO LEO!!!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom