Kaniwekea dawa za kulevya kwenye wine na kunibaka

Kaniwekea dawa za kulevya kwenye wine na kunibaka

Inaonyesha jamaa ndo tabia yake,hvyo alikutamani toka ulipo anza kupanda gari lake.
Hata hvyo kwa maelezo yako inaonyeshs wewe pia ulikuwa ulisha anza kuwa na hisia nae na si shaka ulikuwa umesha anza kumpa second chance.
Kuwa mwangalifu na maamuzi utakayochukua maana mchumba wako akijua anaweza akakitema hata elewa haya unayoyasema
 
Sasa hapahapa dar hakuna hata alieisha unveil identity ya hawa wahusika?

Maana kama kuna wafanyakazi wenzao humu ni rahs ku connect dots

Boss - Tegeta
Mtendwa - Bamaga
Juzi kati - Sherehe
- bi dada kuumwa na kulazwa
- na lazima kazini hawako kwenye good terms

Hapa kama upo karibu nao hasa kiofisi lazima uwe umesha wajua, la sivo hii story ni shigongo type.
 
Pole sana kwa tukio baya hilo
  • Huyo ni mtu hatari. Keshawafanyia wangapi na ataendelea kuwafanyia wangapi kama wewe? hata mkishaoana kama anavyojaribu kukupooza.Ina maana alishapanga kwa muda mrefu. Amekubuhu huyo nduli
USHAURI WANGU:
  1. Pima kwanza vitu viwili. HIV na mimba
  2. Achana naye kabisa huyo jambazi wa miili ya watu. Ni mtu katili. Hafai hata kwa bure
  3. Kama namba 1 iko safi kwa maana huna mimba wala HIV,katoe sadaka kwa yatima na umshukuru muumba wako
  4. Kama namba 1 si safi,hiyo kitu ni kuhakikisha inafungwa jela ili kuepusha watu wengine wasiingie kwenye mtego huo. Mwache akakutane na wanaume wenzake huko
  5. Ukome kuhang na wanaume bila kuchukua tahadhari
  6. Usisahau Mungu kumshukuru sana maana ungeweza kuwa uko timu moja na akina John komba muda huu
Nakubaliana na TOWASHI. Ila wewe mdada sisi wanaume tukikutana na nyie mara zote au nyingi kama si ndugu wa karibu huwa ni kuwa-do tu. Hivyo jitahidi kutojisogeza sogeza kwa madume. Kitendo cha kukubembeleza unywe wine ilikuwa inamaana ya jiandaae ni ku-do. Pole sana kwa yaliyokupata na liwe somo kwa dada wengine.
 
Sasa hapahapa dar hakuna hata alieisha unveil identity ya hawa wahusika?

Maana kama kuna wafanyakazi wenzao humu ni rahs ku connect dots

Boss - Tegeta
Mtendwa - Bamaga
Juzi kati - Sherehe
- bi dada kuumwa na kulazwa
- na lazima kazini hawako kwenye good terms

Hapa kama upo karibu nao hasa kiofisi lazima uwe umesha wajua, la sivo hii story ni shigongo type.
Baadhi wamo humu na Wameshaanza kuchangia japo kwa kujificha mno
 
Yote kisa lift ya gari! Sina hata ushauri coz uliyataka mwenyewe!
 
Nifaida ya kupenda vya bure na ungekunywa na kuondoka ungeenda kujisifu umemchuna
Tena kakubaka kidogo
 
wasichana wengi wamekuwa wahanga sana kwa aina hii ya ukatili. Wengi wamejikuta wakikosa pa kusemea matatizo yao kwa kuogopa kuwa wataonekana ni wa ajabu sana katika Jamii Yetu.

Lakini wakati mwingine wao ndio huwa chanzo, chanzo Cha Unyanyaswaji huu.. Wasichana Wengi wamekuwa na Mazoea Ya kuzoeana na Watu pasipo kujua Walikotoka na kipi ambacho muhisika anafanya.

Mazoea Yamewafanya Wengi Kufanyiwa Vitu hivi lakini hunyamaza kutokana na mazingira Ya kitendo Chenyewe na jinsi wewe mwenyewe Mhanga ulivyojilinda kabla ya kitendo Hicho.

Kumuamini mtu kwa kuwa ni meneja wako ni Ujinga Uliopitiliza ambao mwisho wake ni Machozi na Kilio.

Utu wako unathamani kuliko ndoa

mwili wako unathamani kuliko lift na wine mnazokunywa.

Umuhimu wako kwenu ni wa thamani kuliko hata utajiri wa bakhresa.

Itambue thamani yako na Uilinde kwa gharama yoyote.... Usikubali wine na mazoea ya kipuuzi Ya haribu maisha Yako.

Bora Ibaki kubakwa tu kuliko ukipata maambukizi ya Virusi Vinavyosababisha Ukimwi.

Simama imara na Uanze sasa kuondoa Mazoea Yasio na Msingi. Pima Afya Yako hakikisha uko salama na Maisha Yatasonga.
 
Baadhi wamo humu na Wameshaanza kuchangia japo kwa kujificha mno

Sasa hawa wanaowafahamu ndio wana ushauri mzuri zaidi maana kumshauri mtu unaemfahamu, mienendo, tabia, haiba na mazingira yake ni rahsi kuliko sisi washauri wa juu juu. Kwanza ni ngumu kushauri kutoka katika story yenye mapungufu mengi kama hii, ina maswali kibao na bi dada hajawa tayari kuyajibu na kosa kubwa hapa nikutaka kushauriwa na umma, katika jukwaa hapa kuna majibu mazuri, na ya ovyo, yenye uchungu, kutia moyo na kuvunja kabisa, usishangae kusikia katika yote kaamua kujimaliza, hatuombei ila kuna makosa ya kiufundi kesha leta katika hili suala hasa kuleta jf

Maana hata huyo jamaa wenda yupo hapa jf na anasoma so anajipanga na msala
 
Pole kwanza kwakujikuta umechafuliwa pili wine inategemea niya aina gani.Tatu Kama upo salama,msamehe tubu kwa kukubali lifti na kukubali kupelekwa nyumbani wewe unakaa mbali unategemea lifti ya mwanaume bora angekuwa msichana mwenzako hila mwanaume ni mwanaume alafu isitoshe wewe sio dada yake inawezekana alikuchukua kwa huruma akakupeleka kwake na yeye akawa amelewa basi tena.Hivi wanasheria kwenye sheria mtu mlevi akifanya mapenzi na mtu katika hali yake ya ulevi sheria inasemaje.
 
Mbona una hasira sana?? Ulitaka kila mtu asimame upande wako?? Wewe ulishawahi kufanyiwa hivyo??

Mleta uzi kaleta hoja na anaomba ushauri, yeye, akili yake na moyo wake ndio utapima nini afanye.. Hakuna Guarantee kwa tunachoshauri hapa ndiyo kiwe lazima kifanywe na huyo dada. Na hata wewe unachoshauri sio lazima akifanye, na Psychologically mtu akifikia step ya kuomba ushauri ina maana ana two sides which are favorable na anaweza opt yeyote ile ambayo itampa haueni ya moyo wake... Hapa tunashauri tu kama anaweza kusamehe ni bora kufanya hivyo kuliko kupoteza muda na pesa zake. Kumbuka tu huyo kijana pamoja na aliyoyafanya inawezekana ana watu wanaomtegemea, kumfunga kunaweza haribu maisha ya watu walio nyuma yake na hata wewe uliyefunga ukaishia kusononeka au ukakumbwa na mikosi tu ya wale wanaosononeka juu ya ulichokifanya. Njia pekee ya kutatua mizozo kama hii ni kusameheana tu.. Ni wangapi mnalalwa kwa offer za Savanna tatu tu bila hata ridhaa yenu?? Tena wengine mpaka kukimbiwa mnakimbiwa mnajikuta asubuhi mko wenyewe...

Na wewe unayehukumu huyo jamaa ndiyo tabia yake umeyajulia wapi hayo?? Au na wewe alikubaka pia??


Grow up and act like a grown-a** woman...
Waweza onyesha katika mistari yangu hadira iko wapi?

Kwa hiyo wakosaji wasipewe hukumu ya kifungo eti kwa kuwa wana watu wanawategemea na kuepusha sononeko la moyoni? Mbakaji akifungwa moyo ukuume kwa sababu gani!!!!!!!!

Ulihitaji watu wote watoe mawazo yanayokupendeza wewe

Kwa maandishi yako utakuwa mbakaji mzoefu
 
Wanawake wanapenda sana fever burebure, na kuwaona wanao toa fever wajinga. Jifunze kuishi kwa kujitegemea mahusiano yenye viashiria vya mapenzi achana nayo, kama humhitaji huyo mtu. Lkn kama na wewe ulikuwa kwenye mipango sawa.
Lkn ana mke na umri wake wa kuishi bila mke, na sababu kama hana ninini alishawahi kuwa na mke sababu gani zilimfanya aachane na mkewe. Lkn kama hajaoa ni kwa nini hajaoa anaumri gani chunguza ukiona sababu za kuridhisha nenda mahakamani, ukiona mtu safi muoane
 
Mmmmh! Tafakari kwanza...hivi kama ameweza kufanya kitendo kama hiki kuna upendo kweli hapo?, maana kama unampenda mtu utahakikisha haumuumizi kwa njia yoyote ile labda bila kujua....lakini huyu alidhamilia...na pia kitendo cha kukuahidi kukuoa kwa kisingizio cha kuwa usimuharibie future yake ni ubinafsi....niamini anaogopa...ukiishaingizwa ndani tegemea mabaya zaidi na utakuwa huna la kufanya tena! Chukua hatua sasa....maana wakati ni sasa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom