Kaniwekea dawa za kulevya kwenye wine na kunibaka

Mwishoni mwa mwezi December baadhi ya wafanyakazi tulikubaliana weekend moja tukae pamoja kama party get together, tukachagua hotel moja tukaenda, tulikua kama 18 hivi, kila mtu alijigharamia mwenyewe kula na kunywa, kuna mkaka mmoja huwa napanda sana lift yake kwenda kazini karibu kila siku, anaishi Tegeta, hivyo huwa nasimama Bamaga ananipitia hapo, siku ya get together alinipitia pia tukaenda wote.

Kwenye saa nne tukaanza kutawanyika, yule jamaa akadai nisubiri nisiwe na haraka atanifikisha hadi nyumbani, mwisho tukabaki watatu, jamaa yake mwingine, yeye na mimi, muda wote nilikua nakunywa non alcoholic drinks, mimi ni mnywaji wa pombe kwa muda mrefu, wine, savana etc, ila siku hiyo sikutaka kabisa kuonja pombe, jamaa akanibembeleza sana ninywe hata glass moja ya wine inatosha, nikakubali, cha kushangaza akaenda kuifuata yeye mwenyewe kaunta.Baada ya trip tatu hivi nikasikia usingizi mzito sana, nimekuja kushtuka saa saba mchana kesho yake, Tegeta nyumbani kwa yule jamaa, nikiwa na kizungu zungu, sina nguvu, malaria si malaria.

Kibaya zaidi nipo uchi kitandani, nikiwa nimechafuka, nilikua peke yangu, nikajiuliza glass moja ya wine inaweza kunifanya hivi? Nikavuta picha nikagundua kuna kitu nimefanyiwa, yule bwana akaingia na supu kwenye hotpot na kuniomba nioge ninywe supu, nikavaa nguo bila kuoga na nikakodi bajaj hadi nyumbani, sikupata nafuu kabisa, kichwa kilikua kinauma mno, nikalazwa hospital siku tatu ndipo nikapona, yule bwana kwa siku tatu zote alikua na mm hospital, wazazi wanaishi mkoa, mm nimepanga bamaga mwenge, nilikua na PF3 na report ya doctor, ambayo ilionesha wazi nilikua na kiwango kingi cha dawa za kulevya mwilini, na nimeingiliwa

Kuna maelezo mengi sana ila naomba nifupishe.

Kazini hawajui chochote kuhusu hili suala, nilihofia maneno ya watu, maana mimi na yule alienibaka tunafanya kazi pamoja ila yeye ni manager ni bosi, report zote ninazo na mpelelezi wa kesi ana copy pia, nilimuomba mpelelezi asubiri kwanza, kama aendelee au la, sababu ni kuwa, huyu jamaa ameniomba na kunibembeleza sana nisiendelee na kesi hiyo, kwamba nitamuharibia kazi na future yake, kwamba alinipenda siku nyingi na alishindwa tu kuniambia ndio maana alifanya vile, ili kuthibitisha hilo twende wote mkoani akafanye taratibu zote za ndoa tufunge ndoa.

Hata hivyo mimi nina mtu wangu wa miaka 3 sasa, ambae alishapeleka uchumba mwaka jana July, akadai bado anajipanga tumpe muda, yeye haishi Dar huwa anakuja kunitembelea na kuondoka na yeye hajui chochote kuhusu yaliyonipata.

Nipo njia panda nahitaji msaada wenu

Asanteni
 
Yaani anibake halafu awe mume!!!!

Anaogopa jela ndio maana anahitaji ndoa

Na akisha kuoa tegemea mengi ni zaidi ya kubakwa
Unabakika? Usione mwenzAko kabakwa na wewe ukadhani kuwa unaweza kubakwa...
 
unaomba ushali kwa kubakwa? mtu anaye kupenda hakubaki? sasa jiloge ufunge naye ndoa ndipo mengine ujioneage ukiwa inside ya box!
 
Mwishoni mwa mwezi December baadhi ya wafanyakazi tulikubaliana weekend moja tukae pamoja kama party get together, tukachagua hotel moja tukaenda, tulikua kama 18 hivi, kila mtu alijigharamia mwenyewe kula na kunywa, kuna mkaka mmoja huwa napanda sana lift yake kwenda kazini karibu kila siku, anaishi Tegeta, hivyo huwa nasimama Bamaga ananipitia hapo, siku ya get together alinipitia pia tukaenda wote.

Kwenye saa nne tukaanza kutawanyika, yule jamaa akadai nisubiri nisiwe na haraka atanifikisha hadi nyumbani, mwisho tukabaki watatu, jamaa yake mwingine, yeye na mimi, muda wote nilikua nakunywa non alcoholic drinks, mimi ni mnywaji wa pombe kwa muda mrefu, wine, savana etc, ila siku hiyo sikutaka kabisa kuonja pombe, jamaa akanibembeleza sana ninywe hata glass moja ya wine inatosha, nikakubali, cha kushangaza akaenda kuifuata yeye mwenyewe kaunta.Baada ya trip tatu hivi nikasikia usingizi mzito sana, nimekuja kushtuka saa saba mchana kesho yake, Tegeta nyumbani kwa yule jamaa, nikiwa na kizungu zungu, sina nguvu, malaria si malaria.

Kibaya zaidi nipo uchi kitandani, nikiwa nimechafuka, nilikua peke yangu, nikajiuliza glass moja ya wine inaweza kunifanya hivi? Nikavuta picha nikagundua kuna kitu nimefanyiwa, yule bwana akaingia na supu kwenye hotpot na kuniomba nioge ninywe supu, nikavaa nguo bila kuoga na nikakodi bajaj hadi nyumbani, sikupata nafuu kabisa, kichwa kilikua kinauma mno, nikalazwa hospital siku tatu ndipo nikapona, yule bwana kwa siku tatu zote alikua na mm hospital, wazazi wanaishi mkoa, mm nimepanga bamaga mwenge, nilikua na PF3 na report ya doctor, ambayo ilionesha wazi nilikua na kiwango kingi cha dawa za kulevya mwilini, na nimeingiliwa

Kuna maelezo mengi sana ila naomba nifupishe.

Kazini hawajui chochote kuhusu hili suala, nilihofia maneno ya watu, maana mimi na yule alienibaka tunafanya kazi pamoja ila yeye ni manager ni bosi, report zote ninazo na mpelelezi wa kesi ana copy pia, nilimuomba mpelelezi asubiri kwanza, kama aendelee au la, sababu ni kuwa, huyu jamaa ameniomba na kunibembeleza sana nisiendelee na kesi hiyo, kwamba nitamuharibia kazi na future yake, kwamba alinipenda siku nyingi na alishindwa tu kuniambia ndio maana alifanya vile, ili kuthibitisha hilo twende wote mkoani akafanye taratibu zote za ndoa tufunge ndoa.

Hata hivyo mimi nina mtu wangu wa miaka 3 sasa, ambae alishapeleka uchumba mwaka jana July, akadai bado anajipanga tumpe muda, yeye haishi Dar huwa anakuja kunitembelea na kuondoka na yeye hajui chochote kuhusu yaliyonipata.

Nipo njia panda nahitaji msaada wenu

Asanteni
Duh
Hapo hamna cha msamaha Mpeleke mahakamani
Udomo zege wake ndio akubake!!
Mshitaki iwe fundisho kwa wengine
 
Kama ukiamua kuendelea na kesi, ama lah, yote ni sawa utakavyoamua. But the truth is, jamaa hakupendi wala kukuheshimu.

Na mpaka sasa wewe ni threat kubwa sana kwake, so jiandae kuchezewa fouls ili kuku-neutralize.

Cha muhimu mshirikishe mchumba wako. Huwezi jua, ukute huyo jamaa ulipokuwa hujitambui alikufanyia vitu vya ajabu na kuku-record. Vuta picha baadaye umeolewa na mchumba wako wa sasa, halafu vina-surface vitu alivyokufanyia mshkaji. How will you explain that? Besides, kushirikisha watu wa karibu pia ni namna mojawapo ya kupona maumivu yako. All the best.
 
Pima afya kama hajakuambukiza magonjwa ya zinaa msamehe kwa moyo mmoja na usiendelee na ngono baka aliyoanzisha!Tunza uchumba na mchumba wako wa kwa miaka mitatu!
Ukome tabia ya kupenda wepesi lifti za watu acha na ujitunze!Kila siku unasubiri lifti ya mtu?!bure tuu!? na iwe fundisho na kwa vingine vya bure unavyotamani
 
Pole sana kwa yaliyokusibu , swala la kumsehehe ni moja katika maamuzi yako , we cant influence yur decision japokuwa umekuja kuomba msaada , pia huwa wanasema wa dada wengi hata umfanyie kosa gani ataenda kukaa chumbani na kulia ili kumaliza hasira sababu wana mioyo ya kusamehe , naomba kama mwana dada umsamehe jamaa nahsi naye pia alijiwekea kilevi ili ajitoe ufahamu na kukuingilia , hembu msililize tuone anasemaje si unajua nyege zikizidi unaweza fanya maamuzi sio sahihi
Aisayee kama vile unatujuwa kwa hilo...!! Bila karaha na papara haiendi!!!

pia wanaume wengine bila mapenzi ya fujo,karaha ,kukimbizana huwa hawajisikii yaani mpaka wakurupushane ndio anapata hamu

am doneeee
 
msamehe kwa nia moja kwamba umesamehe alkini si kwa kutegemea return ya kuolewa na huyo mbakaji neno kali hayanihusu.......

ila kama ikitokea anataka kuoa its okey japo mie singekubali hata chembe....

bado naswali embu nijibu unampenda huyo aliyekubaka ?
 
Kama ukiamua kuendelea na kesi, ama lah, yote ni sawa utakavyoamua. But the truth is, jamaa hakupendi wala kukuheshimu.

Na mpaka sasa wewe ni threat kubwa sana kwake, so jiandae kuchezewa fouls ili kuku-neutralize.

Cha muhimu mshirikishe mchumba wako. Huwezi jua, ukute huyo jamaa ulipokuwa hujitambui alikufanyia vitu vya ajabu na kuku-record. Vuta picha baadaye umeolewa na mchumba wako wa sasa, halafu vina-surface vitu alivyokufanyia mshkaji. How will you explain that? Besides, kushirikisha watu wa karibu pia ni namna mojawapo ya kupona maumivu yako. All the best.
Hapana mchumba asimshirikishe ila waandikishiane kwa mwanasheria makoteo yoyote ya tukio lile atawajibika.Awashirikishe watu muhimu juu ya tukio lile na jamaa awepo.Ni kweli jamaa hampendi na hamheshimu kabisa!
Chukua tahadhari anaweza hata kukuua kabisa akupoteze
 
Kwa
Mwishoni mwa mwezi December baadhi ya wafanyakazi tulikubaliana weekend moja tukae pamoja kama party get together, tukachagua hotel moja tukaenda, tulikua kama 18 hivi, kila mtu alijigharamia mwenyewe kula na kunywa, kuna mkaka mmoja huwa napanda sana lift yake kwenda kazini karibu kila siku, anaishi Tegeta, hivyo huwa nasimama Bamaga ananipitia hapo, siku ya get together alinipitia pia tukaenda wote.

Kwenye saa nne tukaanza kutawanyika, yule jamaa akadai nisubiri nisiwe na haraka atanifikisha hadi nyumbani, mwisho tukabaki watatu, jamaa yake mwingine, yeye na mimi, muda wote nilikua nakunywa non alcoholic drinks, mimi ni mnywaji wa pombe kwa muda mrefu, wine, savana etc, ila siku hiyo sikutaka kabisa kuonja pombe, jamaa akanibembeleza sana ninywe hata glass moja ya wine inatosha, nikakubali, cha kushangaza akaenda kuifuata yeye mwenyewe kaunta.Baada ya trip tatu hivi nikasikia usingizi mzito sana, nimekuja kushtuka saa saba mchana kesho yake, Tegeta nyumbani kwa yule jamaa, nikiwa na kizungu zungu, sina nguvu, malaria si malaria.

Kibaya zaidi nipo uchi kitandani, nikiwa nimechafuka, nilikua peke yangu, nikajiuliza glass moja ya wine inaweza kunifanya hivi? Nikavuta picha nikagundua kuna kitu nimefanyiwa, yule bwana akaingia na supu kwenye hotpot na kuniomba nioge ninywe supu, nikavaa nguo bila kuoga na nikakodi bajaj hadi nyumbani, sikupata nafuu kabisa, kichwa kilikua kinauma mno, nikalazwa hospital siku tatu ndipo nikapona, yule bwana kwa siku tatu zote alikua na mm hospital, wazazi wanaishi mkoa, mm nimepanga bamaga mwenge, nilikua na PF3 na report ya doctor, ambayo ilionesha wazi nilikua na kiwango kingi cha dawa za kulevya mwilini, na nimeingiliwa

Kuna maelezo mengi sana ila naomba nifupishe.

Kazini hawajui chochote kuhusu hili suala, nilihofia maneno ya watu, maana mimi na yule alienibaka tunafanya kazi pamoja ila yeye ni manager ni bosi, report zote ninazo na mpelelezi wa kesi ana copy pia, nilimuomba mpelelezi asubiri kwanza, kama aendelee au la, sababu ni kuwa, huyu jamaa ameniomba na kunibembeleza sana nisiendelee na kesi hiyo, kwamba nitamuharibia kazi na future yake, kwamba alinipenda siku nyingi na alishindwa tu kuniambia ndio maana alifanya vile, ili kuthibitisha hilo twende wote mkoani akafanye taratibu zote za ndoa tufunge ndoa.

Hata hivyo mimi nina mtu wangu wa miaka 3 sasa, ambae alishapeleka uchumba mwaka jana July, akadai bado anajipanga tumpe muda, yeye haishi Dar huwa anakuja kunitembelea na kuondoka na yeye hajui chochote kuhusu yaliyonipata.

Nipo njia panda nahitaji msaada wenu

  1. Asanteni
  1. Kwanza pole sana kwa yote na mimi sipo kwenye kukulaumu kwa kutokuwa makini kwani kwa sssa haisaidii kitu kwani uneishabakwa.Jambo la msingi sasa ni je ufanyeje?Wajibu wetu sisi ni kukupa mawazo ili ukikaa chini ufanye maamuzi.Sasa basi miye nina mambo 3 ambayo yanajenga msingi wa mawazo yangu kwako.1 Usalama wa penzi lako na huyu mchumba wako uliyenae ukuzingatia siala hili,kwamba je ni kwa namna gani jbo hili linaweza kuharibu ama kujenga penzi lenu na hatimaye mkaoana.usalama wa kazi yako kwamba je ukisema au usiposema usalama wa kazi yako utakuwaje.3 je afya yako ikoje kimwili na kisaikolojia na itakuwaje utakaposema au kutosema.Hebu jiulize haya masuala utapata jibu ufanye nini

Hapana mchumba asimshirikishe ila waandikishiane kwa mwanasheria makoteo yoyote ya tukio lile atawajibika.Awashirikishe watu muhimu juu ya tukio lile na jamaa awepo.Ni kweli jamaa hampendi na hamheshimu kabisa!
Chukua tahadhari anaweza hata kukuua kabisa akupoteze

Nadhani kwenye hii issue, mchumba ni moja kati ya watu muhimu zaidi pia. Besides, kilichomtokea hakikuwa kwa ridhaa yake, so haina haja ya kumficha mchumba wake. Jamaa kama anampenda kweli na ni mwelewa, atamsaidia kufuta hiyo nightmare mapema.
 
Kwa
  1. Kwanza pole sana kwa yote na mimi sipo kwenye kukulaumu kwa kutokuwa makini kwani kwa sssa haisaidii kitu kwani uneishabakwa.Jambo la msingi sasa ni je ufanyeje?Wajibu wetu sisi ni kukupa mawazo ili ukikaa chini ufanye maamuzi.Sasa basi miye nina mambo 3 ambayo yanajenga msingi wa mawazo yangu kwako.1 Usalama wa penzi lako na huyu mchumba wako uliyenae ukuzingatia siala hili,kwamba je ni kwa namna gani jbo hili linaweza kuharibu ama kujenga penzi lenu na hatimaye mkaoana.usalama wa kazi yako kwamba je ukisema au usiposema usalama wa kazi yako utakuwaje.3 je afya yako ikoje kimwili na kisaikolojia na itakuwaje utakaposema au kutosema.Hebu jiulize haya masuala utapata jibu ufanye nin
Am sure hayuko sawa kisaikolojia. Kikubwa aendelee kukaa kimya, na wakati akiwa na kiu amendelee kumtafuta mbakaji wake ampe kimtindo. Kuhusu kuolewa yeye ndo aamue yupo alimsugua vizuri. Tatizo ni kuwa inawezekana a third guy anajua pia kuwa aliliwa kinguvu na jamaa, na inawezekana walim-record. sasa sijui itakuwaje na yeye akija kuomba kuwa apewe ili asitoe siri, sijui kama atampa au lah.
 
..Cha ajabu alienda kaunta kukufatia..

Ukaamka ukajikuta Mchafu.. Yaani kakuchafua.

HakukuFiraa..!?

Ukapanda Bajaji ukaondoka...

Msamehe bwana, Mungu atakusamehe pia.
 
Majibu sahii ya vipimo ni miezi mitatu na kuendelea... kwa hiyo sikushauri kuwa na mahusiano ya kimwili na mchumba wako kwenye hii window ambayo huna uhakika...
Huyo mbakaji kama ame-repent kiukweli (ingawa kwa tabia za namna hii ni ngumu) akubali umchukue akapime yeye, hiyo ndo njia ya kuwa na uhakika kwa kipindi hiki, japokuwa pia kutokana na tabia yake hii anaweza kuwa amepitia sehemu ambayo si salama ndani ya hiyo december, kwa hiyo vipimo havitaonyesha pia kwa kipindi hiki...
...ubakaji ni kosa la jinai, victim anaathirika kimwili na kisaikolojia, na mbakaji mwenyewe tayari ana tatizo la kisaikolojia na kwa hiyo upo uwezekano wa yeye kuwa ameshafanya hivyo before, na kwamba ataendelea kufanya hivyo akipata chance... Dada,
-mwambie mchumba wako ukweli wa yaliyotokea
-shughulikia afya yako
-chukua hatua kwa mbakaji

...these three steps will set you free in the long run.
 
Nadhani kwenye hii issue, mchumba ni moja kati ya watu muhimu zaidi pia. Besides, kilichomtokea hakikuwa kwa ridhaa yake, so haina haja ya kumficha mchumba wake. Jamaa kama anampenda kweli na ni mwelewa, atamsaidia kufuta hiyo nightmare mapema.
kaka hawa waoaji wa siku hizi wana visa, akiambiwa tu anamwaga manyanga. Atakwambia kuwa hayuko tayari kula makombo, atajifanya kususa kama vile hajawahi kula makombo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom