Kaniwekea dawa za kulevya kwenye wine na kunibaka

Ww msamehe, vuta mshiko na endelea kula tunda ukisubiri jamaa yako akuoe.
 
Majibu sahii ya vipimo ni miezi mitatu na kuendelea... kwa hiyo sikushauri kuwa na mahusiano ya kimwili na mchumba wako kwenye hii window ambayo huna uhakika...
Huyo mbakaji kama ame-repent kiukweli (ingawa kwa tabia za namna hii ni ngumu) akubali umchukue akapime yeye, hiyo ndo njia ya kuwa na uhakika kwa kipindi hiki, japokuwa pia kutokana na tabia yake hii anaweza kuwa amepitia sehemu ambayo si salama ndani ya hiyo december, kwa hiyo vipimo havitaonyesha pia kwa kipindi hiki...
...ubakaji ni kosa la jinai, victim anaathirika kimwili na kisaikolojia, na mbakaji mwenyewe tayari ana tatizo la kisaikolojia na kwa hiyo upo uwezekano wa yeye kuwa ameshafanya hivyo before, na kwamba ataendelea kufanya hivyo akipata chance... Dada,
-mwambie mchumba wako ukweli wa yaliyotokea
-shughulikia afya yako
-chukua hatua kwa mbakaji

...these three steps will set you free in the long run.
TOGETHER WE STAND, niko nawe kwenye mawazo hayo.
 
POLE DADA YANGU....NAOMBA MAJIBU KATIKA MASWALI YANGU ILI NIWEZE KUKUPA USHAURI SAHIHI...
1- KWANINI UNAJUA UNA MCHUMBA NA BADO UNATOKA OUT ZA USIKU MKUBWA NA WANAUME WENGINE?
2- UNADHANI MCHUMBA WAKO ALIYEKO NJE AKIJUA ULIBAKWA ATAENDELEA KUWA NAWE?
3- UNADHANI UKIMSHTAKI NA AKAFUNGWA JELA MAISHA UTAPATA AMANI ROHONI MWAKO NA UTAKUWA HURU?
4- HAUONI KAMA NI KWELI JAMAA ALIYEKUBAKA ANAHISIA ZA MAPENZI KWAKO?...MAANA KILA SIKU ANAKUPITIA NA KUKUPELEKA KAZINI NA OBVIOUS ANAKURUDISHA NYUMBANI MUKITOKA KAZINI.
5- JE HUONI KUWA NI KWELI ALISHINDWA KUKUAMBIA KUWA ANAKUPENDA JAPO MATENDO YAKE YOTE ANAYOKUFANYIA YANAONYESHA KUWA ANA-HISIA ZA MAPENZI KWAKO.
6- JE UPO TAYARI KUOLEWA NA HUYU ALIYEKUBAKA?.....UPO TAYARI KUMSAMEHE NA KUANZA NAYE MAISHA YA KIMAPENZI NA AWE MUMEO WA MAISHA?
NIJIBU NIKUPE USHAURI.

laaah! yani kama anampenda hivyo ndo' amuwekee madawa ya kulevya!?
 
msamehe kwa nia moja kwamba umesamehe alkini si kwa kutegemea return ya kuolewa na huyo mbakaji neno kali hayanihusu.......

ila kama ikitokea anataka kuoa its okey japo mie singekubali hata chembe....

bado naswali embu nijibu unampenda huyo aliyekubaka ?
Hajabakwa mpnz..
 
kaka hawa waoaji wa siku hizi wana visa, akiambiwa tu anamwaga manyanga. Atakwambia kuwa hayuko tayari kula makombo, atajifanya kususa kama vile hajawahi kula makombo.

Wengi wazushi, ila wapo wenye utu na uelewa pia. Kama huyo jamaa ni mmojawapo kati ya wazushi, huu ndio muda muafaka wa kumjua kama atamaanisha "for better or worse". Kama wamefikia hatua ya mwisho kabisa (uchumba), kabla ya kuwa mwili mmoja, then trust ni kitu muhimu sana. Haiwezekani kumficha jamaa issue sensitive kama hii.

Binafsi manzi wangu akifanyiwa kitendo kama hiki, akanificha na nikaja kujua kutoka sources nyingine, I'd walk away no brainer.
 
Mwishoni mwa mwezi December baadhi ya wafanyakazi tulikubaliana weekend moja tukae pamoja kama party get together, tukachagua hotel moja tukaenda, tulikua kama 18 hivi, kila mtu alijigharamia mwenyewe kula na kunywa, kuna mkaka mmoja huwa napanda sana lift yake kwenda kazini karibu kila siku, anaishi Tegeta, hivyo huwa nasimama Bamaga ananipitia hapo, siku ya get together alinipitia pia tukaenda wote.

Kwenye saa nne tukaanza kutawanyika, yule jamaa akadai nisubiri nisiwe na haraka atanifikisha hadi nyumbani, mwisho tukabaki watatu, jamaa yake mwingine, yeye na mimi, muda wote nilikua nakunywa non alcoholic drinks, mimi ni mnywaji wa pombe kwa muda mrefu, wine, savana etc, ila siku hiyo sikutaka kabisa kuonja pombe, jamaa akanibembeleza sana ninywe hata glass moja ya wine inatosha, nikakubali, cha kushangaza akaenda kuifuata yeye mwenyewe kaunta.Baada ya trip tatu hivi nikasikia usingizi mzito sana, nimekuja kushtuka saa saba mchana kesho yake, Tegeta nyumbani kwa yule jamaa, nikiwa na kizungu zungu, sina nguvu, malaria si malaria.

Kibaya zaidi nipo uchi kitandani, nikiwa nimechafuka, nilikua peke yangu, nikajiuliza glass moja ya wine inaweza kunifanya hivi? Nikavuta picha nikagundua kuna kitu nimefanyiwa, yule bwana akaingia na supu kwenye hotpot na kuniomba nioge ninywe supu, nikavaa nguo bila kuoga na nikakodi bajaj hadi nyumbani, sikupata nafuu kabisa, kichwa kilikua kinauma mno, nikalazwa hospital siku tatu ndipo nikapona, yule bwana kwa siku tatu zote alikua na mm hospital, wazazi wanaishi mkoa, mm nimepanga bamaga mwenge, nilikua na PF3 na report ya doctor, ambayo ilionesha wazi nilikua na kiwango kingi cha dawa za kulevya mwilini, na nimeingiliwa

Kuna maelezo mengi sana ila naomba nifupishe.

Kazini hawajui chochote kuhusu hili suala, nilihofia maneno ya watu, maana mimi na yule alienibaka tunafanya kazi pamoja ila yeye ni manager ni bosi, report zote ninazo na mpelelezi wa kesi ana copy pia, nilimuomba mpelelezi asubiri kwanza, kama aendelee au la, sababu ni kuwa, huyu jamaa ameniomba na kunibembeleza sana nisiendelee na kesi hiyo, kwamba nitamuharibia kazi na future yake, kwamba alinipenda siku nyingi na alishindwa tu kuniambia ndio maana alifanya vile, ili kuthibitisha hilo twende wote mkoani akafanye taratibu zote za ndoa tufunge ndoa.

Hata hivyo mimi nina mtu wangu wa miaka 3 sasa, ambae alishapeleka uchumba mwaka jana July, akadai bado anajipanga tumpe muda, yeye haishi Dar huwa anakuja kunitembelea na kuondoka na yeye hajui chochote kuhusu yaliyonipata.

Nipo njia panda nahitaji msaada wenu

Asanteni
njia panda ya kuelekea wapi ww ukimwi, mimba na kwanini akubake !???
unamwekea mtu dawa za kulevya... halafu unakuja na utetezi wa kimaandazi
peleka polisi akaeleze dawa kapata wapi anahitajika awe behind bars now🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁
 
Last edited:
Atleast he showed that he care... Alienda kumbakia kwake na asubuhi akakuta bwashee kaingia jikoni kumwandalia supu..

Labda ndio ingekuwa chapter mpya ya mapenzi yao... Angetaka kumfanyia mbaya angeweza hata kumpeleka Hotel alafu asubuhi akamkimbia... Kumbuka tu, sio kila mwanaume ana ujasiri wa kutamka neno nakupenda kwa mwanamke anayempenda kweli.. Wengine huwa wanaogopa sana lile jibu hasi...

Hivi mtu anaitwa mwanaume aliekamilika anaweza mbaka binti anaempenda?

Kwa hiyo kitendo cha kuandakiwa chai ndio kimekuchanganya?

Hujui thamani ya mwanamke

Ndio maana unamlinganisha chai
 
Sio kila mwanamke anathamani...
 
Hivi mtu anaitwa mwanaume aliekamilika anaweza mbaka binti anaempenda?

Kwa hiyo kitendo cha kuandakiwa chai ndio kimekuchanganya?

Hujui thamani ya mwanamke

Ndio maana unamlinganisha chai
Hujakielewa hata nilichokiandika... Siku njema
 
Mwishoni mwa mwezi December baadhi ya wafanyakazi tulikubaliana weekend moja tukae pamoja kama party get together, tukachagua hotel moja tukaenda, tulikua kama 18 hivi, kila mtu alijigharamia mwenyewe kula na kunywa, kuna mkaka mmoja huwa napanda sana lift yake kwenda kazini karibu kila siku, anaishi Tegeta, hivyo huwa nasimama Bamaga ananipitia hapo, siku ya get together alinipitia pia tukaenda wote.

Kwenye saa nne tukaanza kutawanyika, yule jamaa akadai nisubiri nisiwe na haraka atanifikisha hadi nyumbani, mwisho tukabaki watatu, jamaa yake mwingine, yeye na mimi, muda wote nilikua nakunywa non alcoholic drinks, mimi ni mnywaji wa pombe kwa muda mrefu, wine, savana etc, ila siku hiyo sikutaka kabisa kuonja pombe, jamaa akanibembeleza sana ninywe hata glass moja ya wine inatosha, nikakubali, cha kushangaza akaenda kuifuata yeye mwenyewe kaunta.Baada ya trip tatu hivi nikasikia usingizi mzito sana, nimekuja kushtuka saa saba mchana kesho yake, Tegeta nyumbani kwa yule jamaa, nikiwa na kizungu zungu, sina nguvu, malaria si malaria.

Kibaya zaidi nipo uchi kitandani, nikiwa nimechafuka, nilikua peke yangu, nikajiuliza glass moja ya wine inaweza kunifanya hivi? Nikavuta picha nikagundua kuna kitu nimefanyiwa, yule bwana akaingia na supu kwenye hotpot na kuniomba nioge ninywe supu, nikavaa nguo bila kuoga na nikakodi bajaj hadi nyumbani, sikupata nafuu kabisa, kichwa kilikua kinauma mno, nikalazwa hospital siku tatu ndipo nikapona, yule bwana kwa siku tatu zote alikua na mm hospital, wazazi wanaishi mkoa, mm nimepanga bamaga mwenge, nilikua na PF3 na report ya doctor, ambayo ilionesha wazi nilikua na kiwango kingi cha dawa za kulevya mwilini, na nimeingiliwa

Kuna maelezo mengi sana ila naomba nifupishe.

Kazini hawajui chochote kuhusu hili suala, nilihofia maneno ya watu, maana mimi na yule alienibaka tunafanya kazi pamoja ila yeye ni manager ni bosi, report zote ninazo na mpelelezi wa kesi ana copy pia, nilimuomba mpelelezi asubiri kwanza, kama aendelee au la, sababu ni kuwa, huyu jamaa ameniomba na kunibembeleza sana nisiendelee na kesi hiyo, kwamba nitamuharibia kazi na future yake, kwamba alinipenda siku nyingi na alishindwa tu kuniambia ndio maana alifanya vile, ili kuthibitisha hilo twende wote mkoani akafanye taratibu zote za ndoa tufunge ndoa.

Hata hivyo mimi nina mtu wangu wa miaka 3 sasa, ambae alishapeleka uchumba mwaka jana July, akadai bado anajipanga tumpe muda, yeye haishi Dar huwa anakuja kunitembelea na kuondoka na yeye hajui chochote kuhusu yaliyonipata.

Nipo njia panda nahitaji msaada wenu

Asanteni
Okoa janga lingine atakalomfanyia mwanamke mwingine Kama alivyokufanyia wewe, peleka Polisi huyo mbakaji. Mweleze mchumba wako kilichokutokea, akisepa, anza upya!. Linda na uthamini utu wako!. Angeku-overdose si ungekuwa marehemu sasa hivi!.
 
Nadhani kwenye hii issue, mchumba ni moja kati ya watu muhimu zaidi pia. Besides, kilichomtokea hakikuwa kwa ridhaa yake, so haina haja ya kumficha mchumba wake. Jamaa kama anampenda kweli na ni mwelewa, atamsaidia kufuta hiyo nightmare mapema.

Na ushirikiano wa dhati kutoka kwa huyo mchumba ake ndo kipimo hasa cha mapenzi aliyonayo huyo mchumba ake kwake....
 
Mwishoni mwa mwezi December baadhi ya wafanyakazi tulikubaliana weekend moja tukae pamoja kama party get together, tukachagua hotel moja tukaenda, tulikua kama 18 hivi, kila mtu alijigharamia mwenyewe kula na kunywa, kuna mkaka mmoja huwa napanda sana lift yake kwenda kazini karibu kila siku, anaishi Tegeta, hivyo huwa nasimama Bamaga ananipitia hapo, siku ya get together alinipitia pia tukaenda wote.

Kwenye saa nne tukaanza kutawanyika, yule jamaa akadai nisubiri nisiwe na haraka atanifikisha hadi nyumbani, mwisho tukabaki watatu, jamaa yake mwingine, yeye na mimi, muda wote nilikua nakunywa non alcoholic drinks, mimi ni mnywaji wa pombe kwa muda mrefu, wine, savana etc, ila siku hiyo sikutaka kabisa kuonja pombe, jamaa akanibembeleza sana ninywe hata glass moja ya wine inatosha, nikakubali, cha kushangaza akaenda kuifuata yeye mwenyewe kaunta.Baada ya trip tatu hivi nikasikia usingizi mzito sana, nimekuja kushtuka saa saba mchana kesho yake, Tegeta nyumbani kwa yule jamaa, nikiwa na kizungu zungu, sina nguvu, malaria si malaria.

Kibaya zaidi nipo uchi kitandani, nikiwa nimechafuka, nilikua peke yangu, nikajiuliza glass moja ya wine inaweza kunifanya hivi? Nikavuta picha nikagundua kuna kitu nimefanyiwa, yule bwana akaingia na supu kwenye hotpot na kuniomba nioge ninywe supu, nikavaa nguo bila kuoga na nikakodi bajaj hadi nyumbani, sikupata nafuu kabisa, kichwa kilikua kinauma mno, nikalazwa hospital siku tatu ndipo nikapona, yule bwana kwa siku tatu zote alikua na mm hospital, wazazi wanaishi mkoa, mm nimepanga bamaga mwenge, nilikua na PF3 na report ya doctor, ambayo ilionesha wazi nilikua na kiwango kingi cha dawa za kulevya mwilini, na nimeingiliwa

Kuna maelezo mengi sana ila naomba nifupishe.

Kazini hawajui chochote kuhusu hili suala, nilihofia maneno ya watu, maana mimi na yule alienibaka tunafanya kazi pamoja ila yeye ni manager ni bosi, report zote ninazo na mpelelezi wa kesi ana copy pia, nilimuomba mpelelezi asubiri kwanza, kama aendelee au la, sababu ni kuwa, huyu jamaa ameniomba na kunibembeleza sana nisiendelee na kesi hiyo, kwamba nitamuharibia kazi na future yake, kwamba alinipenda siku nyingi na alishindwa tu kuniambia ndio maana alifanya vile, ili kuthibitisha hilo twende wote mkoani akafanye taratibu zote za ndoa tufunge ndoa.

Hata hivyo mimi nina mtu wangu wa miaka 3 sasa, ambae alishapeleka uchumba mwaka jana July, akadai bado anajipanga tumpe muda, yeye haishi Dar huwa anakuja kunitembelea na kuondoka na yeye hajui chochote kuhusu yaliyonipata.

Nipo njia panda nahitaji msaada wenu

Asanteni
Pamoja na maelezeo yako yenye degree fulani ya uchungu...huyo jamaa inaonyesha kabisa anakupenda sema tu ametumia primitive method kuku-approach. Naomba umsamehe tu! Hata wewe unaonyesha kabisa kuwa unampenda huyo, laa sivyo, hukutakiwa kumpa upenyo wa kujua kuwa una RB yake mkononi.

Ngoja nikupe ushauri kama Dada yangu(If you have true feeling na huyo mkaka wa benki).....Usipoteze muda na huyo jamaa yako aliyetoa posa kwenu mwezi July mwaka jana....mimi ni mwanaume nimeona mengi....wanaume sisi anatujua MUNGU TU wala wewe mwanamke hutakaa utujue vyema!!!! Huyo jamaa wa benki kaa naye chini(ikibidi mtoke out), but this time muwe descent(msiwekeane dawa za kulevya kwa vinywaji). Mwambie kama kweli anakupenda then akupe LOVE PLAN yake. Then ichuje kwenye vigezo vyako wewe to know if it will fit well kwa upande wako. Tena huyo kaka wa benki asiyejua kutongoza anafaa sana zama hizi! Be open to him and yeye vilevile awe muwazi kwako.
 
Mkamate kama unauhakika ni madawa c unakua hapa kaxi tuu anavita na wauza madawa ya kulevya atasaidia polis vip kayapata na itakuwa umesaidia uma mkubwa.. But what goes around comes around.... So it depends kuna namna nyingi za mtu kuonesha hisia zake nakama angekujali angetumia protectives lakin hakuwa na nia mzury na wewe thus y.. Kama angetaka u appreciate his efforts usiku wote huo angekufkisha kwako salama.. Na angekujulia hali siku inayofuata... But u have to face the reality kwan endapo mwenzio akigundua atakupenda lakin wanaume ni wazee wa visasi mostly ni wachache ambao husamee kweli na kusahau so deep down your soul utakuwa na uamuz just umekuja kujirdhisha na kile ulicho taka fanya.. Ni hayo tuu omba Mungu akusimamie hta kama uta achika kwa ulie kuwa nae na huyo akiwa jela uwe tyr kuface hyo hali na ujielew umefanya hivo kwa minajil gan etc...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom