Kaniwekea dawa za kulevya kwenye wine na kunibaka

Kaniwekea dawa za kulevya kwenye wine na kunibaka

POLE DADA YANGU....NAOMBA MAJIBU KATIKA MASWALI YANGU ILI NIWEZE KUKUPA USHAURI SAHIHI...
1- KWANINI UNAJUA UNA MCHUMBA NA BADO UNATOKA OUT ZA USIKU MKUBWA NA WANAUME WENGINE?
2- UNADHANI MCHUMBA WAKO ALIYEKO NJE AKIJUA ULIBAKWA ATAENDELEA KUWA NAWE?
3- UNADHANI UKIMSHTAKI NA AKAFUNGWA JELA MAISHA UTAPATA AMANI ROHONI MWAKO NA UTAKUWA HURU?
4- HAUONI KAMA NI KWELI JAMAA ALIYEKUBAKA ANAHISIA ZA MAPENZI KWAKO?...MAANA KILA SIKU ANAKUPITIA NA KUKUPELEKA KAZINI NA OBVIOUS ANAKURUDISHA NYUMBANI MUKITOKA KAZINI.
5- JE HUONI KUWA NI KWELI ALISHINDWA KUKUAMBIA KUWA ANAKUPENDA JAPO MATENDO YAKE YOTE ANAYOKUFANYIA YANAONYESHA KUWA ANA-HISIA ZA MAPENZI KWAKO.
6- JE UPO TAYARI KUOLEWA NA HUYU ALIYEKUBAKA?.....UPO TAYARI KUMSAMEHE NA KUANZA NAYE MAISHA YA KIMAPENZI NA AWE MUMEO WA MAISHA?
NIJIBU NIKUPE USHAURI.
 
Pole sana,
its your call ... lakini kwa Hali inavyoenekana nafasi ya kupata haki yako ni kidogo inapungua ... 1. Inavyo onekana hakuna mtu yoyote anafahamu kukusupport at 1st place, 2.ulitakiwa ku Preserve all physical evidence of the assault. Do not shower(manii)/bathe, douche, eat, drink, wash your hands, or brush your teeth until after you have had a medical examination. 3. ushahidi wa ulichokunywa wine/glass ...chochote

Kubalianeni Wewe, Mpepelezi na huyo mtuhumiwa

Pata washauri wa Kisaikolojia Maisha yaendelee...

MUHIMU; KAPIME HIV-AIDS
 
Pole sana kwa yaliyokusibu , swala la kumsehehe ni moja katika maamuzi yako , we cant influence yur decision japokuwa umekuja kuomba msaada , pia huwa wanasema wa dada wengi hata umfanyie kosa gani ataenda kukaa chumbani na kulia ili kumaliza hasira sababu wana mioyo ya kusamehe , naomba kama mwana dada umsamehe jamaa nahsi naye pia alijiwekea kilevi ili ajitoe ufahamu na kukuingilia , hembu msililize tuone anasemaje si unajua nyege zikizidi unaweza fanya maamuzi sio sahihi


pia wanaume wengine bila mapenzi ya fujo,karaha ,kukimbizana huwa hawajisikii yaani mpaka wakurupushane ndio anapata hamu

am doneeee
 
Na jamaa ili kujua hilo lazima atakuwa ameandaa exit plan ambayo ukimwaga ugali anamwaga mboga, so ni matumaini yangu alichukua video na kupiga picha kabisaa. Ili ukizingua akulipue tuu potelea mbali.

Ila jamaa alikosa kujieleza tuu ukampa kuroho safi mpaka akutilie dawa. immaculata rose naona kama kuna chembechembe za wewe kumuhitaji huyo mbakaji, hebu tuliza akili kwanza utafanya maamuzi sahihi tuu
 
Last edited:
Siku zote anakuonesha hisia we umenunda tu, matokeo yake ndio hayo naamini ata wewe ulishajua kama kama anakutaka ungeongea nae mapema na kumuambia kua una mchumba asingeweza fanya hicho kitu,sema ndio hivo ulijirahisisha anyway nenda kacheki afya kwanza ukikuta salama potezea.
 
Mh!!! Pole dada yangu.....ukimshtaki mchumba wako hatasepa???

Ukimkubali utamwambia nini mchumba wako???

Je ni kweli anakupenda? au anakupoteza usije mfunga?

Je una moyo wa kumsamehe?

Au mwachie Mungu akulipie, usonge mbele na mchumba wako.

Mkuu hiyo ya kuwa anampitia kila siku Bamaga na kwenda nae kazini ni dhahiri huyu bwana alikuwa anampenda huyu binti...

Kuna wanaume kadhaa ambao wakimpenda mwanamke kiukweli wanashindwa hata kuwaambia kuhofia jibu ambalo anaweza kupokea.. Utakuta jamaa alikuwa ana'enjoy ile ride ya asubuhi na jioni akiwa nae sasa anaona akimwambia mambo yakaharibika hata hiyo lift itakuwa very awkward tena kupeana...

Cha msingi huyu dada akapime tu magonjwa za zinaa na kama hajaambukizwa amsamehe, na pia anaweza kumfikiria huyu jamaa ambaye yuko tayari kwa ndoa kuliko huyo wa miaka mitatu ambaye anaishia kusema anajipanga..
 
Nafikiri kikubwa hapo ni afya yako. Kama walivyoshauri wenzangu. Lazima mkacheck HIV, UTI, GONO, SYPHILIS na HEPATITIS.

Baada ya hapo tafakari kwa umaakini. Ila story ya kuoa itupe huko. Ni mbinafsi sana kuwa mume wako.
 
POLE DADA YANGU....NAOMBA MAJIBU KATIKA MASWALI YANGU ILI NIWEZE KUKUPA USHAURI SAHIHI...
1- KWANINI UNAJUA UNA MCHUMBA NA BADO UNATOKA OUT ZA USIKU MKUBWA NA WANAUME WENGINE?
2- UNADHANI MCHUMBA WAKO ALIYEKO NJE AKIJUA ULIBAKWA ATAENDELEA KUWA NAWE?
3- UNADHANI UKIMSHTAKI NA AKAFUNGWA JELA MAISHA UTAPATA AMANI ROHONI MWAKO NA UTAKUWA HURU?
4- HAUONI KAMA NI KWELI JAMAA ALIYEKUBAKA ANAHISIA ZA MAPENZI KWAKO?...MAANA KILA SIKU ANAKUPITIA NA KUKUPELEKA KAZINI NA OBVIOUS ANAKURUDISHA NYUMBANI MUKITOKA KAZINI.
5- JE HUONI KUWA NI KWELI ALISHINDWA KUKUAMBIA KUWA ANAKUPENDA JAPO MATENDO YAKE YOTE ANAYOKUFANYIA YANAONYESHA KUWA ANA-HISIA ZA MAPENZI KWAKO.
6- JE UPO TAYARI KUOLEWA NA HUYU ALIYEKUBAKA?.....UPO TAYARI KUMSAMEHE NA KUANZA NAYE MAISHA YA KIMAPENZI NA AWE MUMEO WA MAISHA?
NIJIBU NIKUPE USHAURI.
Yes, haya ni maswali ya msingi sana...
 
Sitaki kuongea kwa kirefu sana ila naomba niseme hivi .....

(Ceteris Peribas)

Labda iwe ni sinema, lakini otherwise jamaa amejiondolea sifa zote za kuwa MUME ... MUME hawi na sifa kama zake hata siku moja, mume anatakiwa awe na sifa zisizonunulika kama heshima, ukweli, uwazi, upole na uvumilivu; tayari huyo jamaa ameshapata 0% kwenye vigezo hivyo vyote ... anachostahili kwa sasa ni either msamaha aende zake ama kulipa gharama za aliyoyafanya

In short, amekuchukulia poa sana na amekudanganya, kwanza wanaume wengi huwa hatutaki kuoa wafanyakazi wenzetu so kama itatokea then ninyi mtakuwa kwenye kundi la watu wachache sana.

Kwangu unavitu viwili tu vya kufanya, umsamehe uachane naye na uendee na maisha yako(MUNGU atamlipa) ama umfundishe adabu ili iwe kundisho kwa wengine.

(Ni mtazamo binafsi)
 
Huyo mchumba wa miaka mitatu hapo hakuna ndoa, lift imekuponza, wanawake wakiona gari basi wanapagawa akili zote huwaruka..
.. Umeshaliwa.. Hapo mimi sitaki kusema kuwa ulibakwa.. Hapo ulitoa papuchi kwa kupenda...
Mtihani uko hapa sasa:-
- kwanza uchumba wa miaka mitatu jua hakuna ndoa hapo.. Mwenza wako anaohopa majukumu.. Hakupendi.. Mimi mwananke nikimpenda siwezi kukaa naye miaka mitatu bila kuoa...
--- ukienda mahakamani na kuendesha kesi ujue mchumba wako atajua na akishajua atapata sababu ya kukuacha.. Miaka mitatu bila ndoa ujue unatafutiwa sababu utaishia kuitwa malaya..
-- hapo jiangalie kama huyo manager wako unampenda olewa naye na sahau mambo ya lubaka chukulia kuwa ni domo zege..
Kama roho yako haimtaki basi msamehe na endelea na kaZi yako kama kawaida.. Kwa sababu wewe ndio ulimtamanisha mwenyewe.. Kila siku kuoanda gari yake tena na vimini vyenu mnavyovaaa .. Hapo kosa ni la kwako hata mimi siwezi kukupa lift miaka kibao afu usinipe papuchi wakati mimi. Niko single..
-kingine kwa kukusaidia kama unataka kuolewa hapa mjini nitafute na mimi niko single.. Sina mtoto sina mchumba.. Ni pm. Hutajutia.. Ndoa ndani ya miezi mitatu. Sio miaka mitatu..
 
Yaani anibake halafu awe mume!!!!

Anaogopa jela ndio maana anahitaji ndoa

Na akisha kuoa tegemea mengi ni zaidi ya kubakwa
Atleast he showed that he care... Alienda kumbakia kwake na asubuhi akakuta bwashee kaingia jikoni kumwandalia supu..

Labda ndio ingekuwa chapter mpya ya mapenzi yao... Angetaka kumfanyia mbaya angeweza hata kumpeleka Hotel alafu asubuhi akamkimbia... Kumbuka tu, sio kila mwanaume ana ujasiri wa kutamka neno nakupenda kwa mwanamke anayempenda kweli.. Wengine huwa wanaogopa sana lile jibu hasi...
 
Akuoe? Mtu aliekubaka akuoe? Iyo hapana hata kama utamsamehe hastahili kuwa mmeo kama alikupenda kwa dhati kiasi cha kuoa angekwambia, kwanza upendo hushinda ubaya, mwanamke unaempenda kumpa madawa tu achilia mbali kubaka huwezi.

Pili kuhusu kesi angalia mazingira pande zote faida na athari zake hasa kwakuwa wewe unajua zaidi ya tuliopo hapa.

Lakin lazima pia kisaikolojia haupo na hautakuwa poa, na vile mlivo ofisi moja lazima usiwe sawa kabisa, ufanisi kazini utashuka sana kama sio kupotea kabisa. Hapa kuna mambo kadhaa ya kushauriwa lkn kwa kuangalia athari pia na matokeo.

Scene yako hii inahtaji mtu ajue background yako ya kazi, mahusiano kazini na kadhalika ili ushauriwe vema zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom