Executivesister
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 514
- 595
Kosa ni kumtongoza mtu kupitia picha.Wapare wameachaga kula ugali na picha ya samaki mda mref.Wewe unakuja kitongoza picha Jf aiseee.Kiruuu.
haaa basi pole mkuuPicha niyaukweli mkuu!
Picha inavutia sana.Umezidii khaaa kisa picha? Wee kibokoooo
Kizazaa tena hasa!Kizaa zaa
mkuu mrudie ten mwambie akupe contacts za mwenye hio picha alioweka basiJamani hakuna mahari maalumu pakumuona umpendae. Pia hakuna mahali maalumu palipo ainishwa pakuanzishia mausiano, bali sehemu na namna yoyote inaweza faa kuanzisha mausiano ilimradi tu umemuona umpendae.
Hivi karibuni niliona picha (profile picture) ya msichana mrembo katika akaunti ya mmoja kati ya watu waliomo humu JF. Kiukweli ile picha ilinivutia sana, hivyo nikaona ni vyema nimtafute uyo dada ili nimueleze yangu ya moyoni.
Cha kustajabisha niliambulia matusi makubwa makubwa huku akiniuliza kwa lugha ya ukali "We bwege nani kakuambia mimi ni mwanamke? au umetumwa kunifatilia?", "unikom.. mimi ni mwanaume.. sio mwanamke kama unavyofikiria"
Baada ya majibu hayo nilielewa kuwa kumbe ni mwanaume ila ameweka picha ya msichana. Nilimjibu kwa kumuambia picha ulioweka ndio iliosababisha nijue wewe ni mwanamke. Lakini sikuishia hapo nilimuomba samahani!
Jamani katika hilo mimi ninakosa gani mpaka nitukanwe kiasi hicho?
Mmh! Mkuu Jamaa nilinamatusi balaaa, naogopa!!!!mkuu mrudie ten mwambie akupe contacts za mwenye hio picha alioweka basi
hahahaaaMmh! Mkuu Jamaa nilinamatusi balaaa, naogopa!!!!
Yaani sirudii tena!Hahaha...na ukome
Unafikiri hata nilikuwa na nguvu za kutaka maongezi tena! Nilichoka kabisa nilivyojua ni mwanaume.Ungemwambia game hili halitaki hasira.
Picha ni kielelezo cha mtu mwenyewe ila kwa huyo Jamaa mambo yalikuwa ni tofauti.Kosa ni kumtongoza mtu kupitia picha.Wapare wameachaga kula ugali na picha ya samaki mda mref.Wewe unakuja kitongoza picha Jf aiseee.Kiruuu.
Humu kuna vituko kila mtu akiamua ampe mwenzie asome Kassim majaaliwa(pm)za mwenzake itakuwa kasheshe jinsi watu wanavyojifungua.Unafikiri hata nilikuwa na nguvu za kutaka maongezi tena! Nilichoka kabisa nilivyojua ni mwanaume.
Teh teh teh tehHumu kuna vituko kila mtu akiamua ampe mwenzie asome Kassim majaaliwa(pm)za mwenzake itakuwa kasheshe jinsi watu wanavyojifungua.
Mmh!Hapa mbuzi pia wapo.
Never take JF seriously.
Ni majanga!hizi picha hizi....
We na wewe acha mambo ya ajabu unatuaibisha wanaume. Yaani ukiona picha tu akili zimekuruka? Mbona huku kitaa warembo wamejaa na hawaijui hata JF? Kwenye mtandao wa kijamii kuna drama nyingi sio sehem sahihi ya kutafuta wanawake.