Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,517
Hilo jina lako nilikuwa nna mpango wa kukutongoza lakini nimekata tamaahizi picha hizi....
..

Jamani hakuna mahari maalumu pakumuona umpendae. Pia hakuna mahali maalumu palipo ainishwa pakuanzishia mausiano, bali sehemu na namna yoyote inaweza faa kuanzisha mausiano ilimradi tu umemuona umpendae.
Hivi karibuni niliona picha (profile picture) ya msichana mrembo katika akaunti ya mmoja kati ya watu waliomo humu JF. Kiukweli ile picha ilinivutia sana, hivyo nikaona ni vyema nimtafute uyo dada ili nimueleze yangu ya moyoni.
Cha kustajabisha niliambulia matusi makubwa makubwa huku akiniuliza kwa lugha ya ukali "We bwege nani kakuambia mimi ni mwanamke? au umetumwa kunifatilia?", "unikom.. mimi ni mwanaume.. sio mwanamke kama unavyofikiria"
Baada ya majibu hayo nilielewa kuwa kumbe ni mwanaume ila ameweka picha ya msichana. Nilimjibu kwa kumuambia picha ulioweka ndio iliosababisha nijue wewe ni mwanamke. Lakini sikuishia hapo nilimuomba samahani!
Jamani katika hilo mimi ninakosa gani mpaka nitukanwe kiasi hicho?
Weee tupo bhanayaani siamini kama kuna ke hata mmoja humu.. yote ni madume humu yanajifanya majike!... narudia tena.. Hakuna jike humu..
Jamani hakuna mahari maalumu pakumuona umpendae. Pia hakuna mahali maalumu palipo ainishwa pakuanzishia mausiano, bali sehemu na namna yoyote inaweza faa kuanzisha mausiano ilimradi tu umemuona umpendae.
Hivi karibuni niliona picha (profile picture) ya msichana mrembo katika akaunti ya mmoja kati ya watu waliomo humu JF. Kiukweli ile picha ilinivutia sana, hivyo nikaona ni vyema nimtafute uyo dada ili nimueleze yangu ya moyoni.
Cha kustajabisha niliambulia matusi makubwa makubwa huku akiniuliza kwa lugha ya ukali "We bwege nani kakuambia mimi ni mwanamke? au umetumwa kunifatilia?", "unikom.. mimi ni mwanaume.. sio mwanamke kama unavyofikiria"
Baada ya majibu hayo nilielewa kuwa kumbe ni mwanaume ila ameweka picha ya msichana. Nilimjibu kwa kumuambia picha ulioweka ndio iliosababisha nijue wewe ni mwanamke. Lakini sikuishia hapo nilimuomba samahani!
Jamani katika hilo mimi ninakosa gani mpaka nitukanwe kiasi hicho?
Safi wewe ni malaya hujatulia siku ingine utaliwa tigo haya tulia wanawake wazuri kwanza hawatapoteza muda na watu wa humu wanavifaru vyao haya ila poa.Jamani hakuna mahari maalumu pakumuona umpendae. Pia hakuna mahali maalumu palipo ainishwa pakuanzishia mausiano, bali sehemu na namna yoyote inaweza faa kuanzisha mausiano ilimradi tu umemuona umpendae.
Hivi karibuni niliona picha (profile picture) ya msichana mrembo katika akaunti ya mmoja kati ya watu waliomo humu JF. Kiukweli ile picha ilinivutia sana, hivyo nikaona ni vyema nimtafute uyo dada ili nimueleze yangu ya moyoni.
Cha kustajabisha niliambulia matusi makubwa makubwa huku akiniuliza kwa lugha ya ukali "We bwege nani kakuambia mimi ni mwanamke? au umetumwa kunifatilia?", "unikom.. mimi ni mwanaume.. sio mwanamke kama unavyofikiria"
Baada ya majibu hayo nilielewa kuwa kumbe ni mwanaume ila ameweka picha ya msichana. Nilimjibu kwa kumuambia picha ulioweka ndio iliosababisha nijue wewe ni mwanamke. Lakini sikuishia hapo nilimuomba samahani!
Jamani katika hilo mimi ninakosa gani mpaka nitukanwe kiasi hicho?
oooh we ni ke sasa ntaamini vipi??..Weee tupo bhana
Shikamoo babuHilo jina lako nilikuwa nna mpango wa kukutongoza lakini nimekata tamaa
..
Marahaba mjukuu, kwemaShikamoo babu
Babu salama, sahizi upo humu nyani vipi hawamalizi ndizi huko shamba?Marahaba mjukuu, kwema
Hapana, nimeendelea kidogo.... kuna mmasai namlipa mshahara...Babu salama, sahizi upo humu nyani vipi hawamalizi ndizi huko shamba?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzee unakuelemea tayariHapana, nimeendelea kidogo.... kuna mmasai namlipa mshahara...