Kanisa lingine lachomwa moto Vingunguti

Kanisa lingine lachomwa moto Vingunguti

Status
Not open for further replies.
Sasa wewe unafanya nini hapa? Kaendelee kuabudu unachoabudu.

Sio lazima mtu uwe unaabudu kitu chochote. Unaweza ukaishi kama mtu rational tu nakuthamini uafrika wako tu. dini zote za kikristo na kiiskamu zimetumiwa kuwanyonya nakuwabaguwa waafrika. Hata Al Qaida wenyewe walikuwa kwakiwalipa hela ndogo waru weusi wanaojilipua kuliko waarabu. Dini zote zimetika kweye utumwa wa waafrika.
 
Hiki ndio kisingizio chenu kikubwa!
Yaani yesu hata afanye kosa vipi
Mnasema ANDIKO LITIMIE!
mungu azaliwe kama mtu. Andiko litimie!
Mungu ale na aende choo ..andiko bla..bla
Mungu akimbizwe na viumbe wake....andiko bla..bla..
Mungu apigwe mpaka afe..andiko..litimie.
Mungu aseme mpende adui yako na akija chukua mke mpe na binti yako wa kike..andiko my foot!
Ndio maana vitoto vua haramu vimejaa ktk jamii ya kigalatia! Nyie kazi yenu ni kutimiza maandiko tu!
Teh teh teh teh!

Safi Kaitani. Ukristu hauko direct kama uislam, unahitaji uwe na fikra za kiroho ndiyo utaelewa, huo mwili ulikuwa ni kama hifadhi ya nafsi ya Mungu tu. Usiangaike na huo mwili ingawa mwili huo ni wa ajabu maana hauna baba. Huo mwili ulivikwa nafsi ya mungu ili aweze kuongea na wanadamu. Na tunaposema Yesu ni mwana wa Mungu hatumaanishi ubaba wa kingono bali Yesu ni mwana wa mungu kiroho. Ukitaka kujua Yesu si mwili tu nenda ukasome matendo ya mitume maana alianza kuwatokea wanafunzi wake katika hali ya kiroho, wanamuona lakini ukimgusa mwili haupo. hahaha, Wakristu tunaamini Yesu ni nafsi ya Mungu, hivyo na yeye ni Mungu. Najua si wewe tu unaeangaika kujua Yesu ni kitu gani, hata mtume wenu aliangaika pia, soma hapa chini uone watunzi wake wa Quaran wanavyoangaika na mtambo unaoitwa Yesu

"The God will say: 'Jesus, son of Mary, did you ever say to mankind 'Worship me and my mother as gods besides God?' 'Glory to You, 'he will answer, 'how could I ever say that to which I have no right?" (Surah 5:114-)

"Say: 'Praise be to God who has never begotten a son; who has no partner in His Kingdom..." (Surah 17:111)

"'How shall I bear a child,' she [Mary] answered, 'when I am a virgin...?' 'Such is the will of the Lord,' he replied. 'That is no difficult thing for Him...God forbid that He [God[ Himself should beget a son!...Those who say: 'The Lord of Mercy has begotten a son,' preach a monstrous falsehood..." (Surah 19:12-, 29-, 88)

Thanks mods kwa kuacha tuelimishe hawa watu
 
YESU wetu sisi aliyetajwa ndani ya quruani ambaye ni mtoto wa mama Maryam hakuvalishwa nepi wala kupigiliwa misumali nakubali. Ila wa kwenu kadhalilishwa sana kwa kuveshwa kinepi.

Usiseme mwana wa maryam, twambie baba yake nani, mnamuita bin maryam, tangu lini binanadanu akatumia ubini wa mama? au ni ule mfumo wa matrimonial?
 
na usishangae uislam kuwa na hukumu ya kuuwa hata serikali za kidunia tu zinahukumu za kuuwa na zimekuja juzi tu uislam upo tokea nabii adam

we kama siyo kichaa, ubongo wako umejaa funza! Adam alikuwa akisali akiangalia wapi? Alitimiza nguzo zipi tano za uislam? Lini alimkiri Muhammad kama mtume? Mjinga kweli wewe!
 
we kama siyo kichaa, ubongo wako umejaa funza! Adam alikuwa akisali akiangalia wapi? Alitimiza nguzo zipi tano za uislam? Lini alimkiri Muhammad kama mtume? Mjinga kweli wewe!

mi nashangaaa wakati mudi mwenyewe kazaliwa miaka ya juzi.
 
Mkuu acha kuongopea watu bibilia inaposema mwanamke ina maanisha mwanamke na wala sio kanisa, kwa uelewa wenu mdogo wa bibilia ndio maana hata Yesu mnamwita Mungu!!

hivi waislam nani kawaroga? Kazi kujadili ukristo, mtuache na YESU wetu.
 
Sasa we Kakende mbona muongo namna hii??
Hapo juu unatwambia Yesu akitaja mke (wife au wives) ana maana ya kanisa!!

Sasa hebu soma huu mstari hapa chini halafu kila penye mke weka neno KANISA uone sarakasi za ajabu!!

‘For this reason a man will leave his father and mother and be united to his wife,(CHURCH) and the two will become one flesh’[SUP][b][/SUP]? [SUP]6 [/SUP]So they are no longer two, but one flesh. Therefore what God has joined together, let no one separate.”
[SUP]7 [/SUP]“Why then,” they asked, “did Moses command that a man give his wife(CHURCH) a certificate of divorce and send her away?”
[SUP]8 [/SUP]Jesus replied, “Moses permitted you to divorce your wives(CHURCHES) because your hearts were hard. But it was not this way from the beginning. [SUP]9 [/SUP]I tell you that anyone who divorces his wife, (CHURCH) except for sexual immorality, and marries another woman commits adultery.”

teh teh teh teh!
Yaani moses aliruhusu kulipa talaka KANISA?

Aisee mtatuua kwa uongo!!

Teh teh teh teh!

una mapepo wewe. Ipo siku yatakutoka. Yakikutoka uje ukiri hapa JF. Naanza kukuombea kwa jina la YESU aliye hai
 
Last edited by a moderator:
Hapo ndipo huwa nashindwa kushangaa!
Halafu hata wao wagalatia hawaelewi! Halafu wanajipa nguvu kuwa eti biblia ni mafumbo! Na ni ngumu kuilewa!
Lbd hapo ilikuwa na maana yesu sio kiumbe bali ni kanisa!
Teh teh teh teh
mkuu maandiko yanasema siku za mwisho watu wataikana imani na kufuata mafundisho ya mashetani. hivyo, unabii lazima utimie. ukiona wengi wanaacha ukristo, usishangae. kwani unabii unatimia.
 
Usilinganishe dini na mpira hivi nyinyi mmerogwa wapi? Nimesema hivi hizo bifu zenu za kimadhehebu msisingizie waislam, sisi hatuna aja na kuchoma makanisa kwan sisi hatuwalazimishi nyinyi muwe waislam kwan mshapigwa muhuri wa motoni hamsikii wala hamuoni la haki, mtakaa na shetani motoni milele na huyo Yesu ambaye hata mayahudi hawamjui sijui itakuaje,nawahurumia sana

Basi ndugu yangu, wewe sio adui yangu, ila Yesu nnaemuamini hakika atakubadilisha maisha yako kabla hujaonja mauti!!
 
Usiseme mwana wa maryam, twambie baba yake nani, mnamuita bin maryam, tangu lini binanadanu akatumia ubini wa mama? au ni ule mfumo wa matrimonial?

Matrimonial inahusikaje hapa au ulikuwa unakusudia Matrilineal societies? Yesu wetu tunamuita Isa ibn Maryam. Cc kahtaan elungata.
 
Last edited by a moderator:
Sio lazima mtu uwe unaabudu kitu chochote. Unaweza ukaishi kama mtu rational tu nakuthamini uafrika wako tu. dini zote za kikristo na kiiskamu zimetumiwa kuwanyonya nakuwabaguwa waafrika. Hata Al Qaida wenyewe walikuwa kwakiwalipa hela ndogo waru weusi wanaojilipua kuliko waarabu. Dini zote zimetika kweye utumwa wa waafrika.

Una vichekesho wewe! Historia ya uislamu kuenea na ukristo kuna tofauti sana. Mmoja kwa kutumia nguvu na nyingine kwa hoja za kweli.
 
Una vichekesho wewe! Historia ya uislamu kuenea na ukristo kuna tofauti sana. Mmoja kwa kutumia nguvu na nyingine kwa hoja za kweli.

Kweli,
Ukristo ulieneza kwa kutumia hoja na uislamu ulienezwa kukutumia jambia. Lakini dinizote zilitumiwa kuwafanya waafrika watumwa. Na sasa hivi zinatumika kuwabagua waafrika
 
Matrimonial inahusikaje hapa au ulikuwa unakusudia Matrilineal societies? Yesu wetu tunamuita Isa ibn Maryam. Cc kahtaan elungata.

we ndo zuzu kweli, uislam ni tofauti na ukristo. There is no JESUS in islam, only tabular rassas like you claim this
 
Last edited by a moderator:
Hawa kina Kakende na Nyakageni na 2013 wanakwambi lzm andiko likamilike!
Hata kama atapitia kwenye makalio!
Teh teh teh teh!
Wana laana hawa watu!! Wee acha tu! Akhiy.!

al Akhy hawa watu wamepandikizwa imani potofu.wanapojiona wameingua kanisani kwa wingi hudhani wingi wao unadhibitisha imani yao.

Allah hana mda na wingi wao.

me nawashauri wamuombe mungu sio yesu awaonyeshe njia ya kweli.

Hawajui kuwa ukiwa muislam umependelewa.
 
Last edited by a moderator:
Una vichekesho wewe! Historia ya uislamu kuenea na ukristo kuna tofauti sana. Mmoja kwa kutumia nguvu na nyingine kwa hoja za kweli.

umeanza kuokolewa. Ukristo ni HOJA na uislam umeenea kwa ubabe huku mtume na maswahaba wakibaka na kuua
 
Kweli,
Ukristo ulieneza kwa kutumia hoja na uislamu ulienezwa kukutumia jambia. Lakini dinizote zilitumiwa kuwafanya waafrika watumwa. Na sasa hivi zinatumika kuwabagua waafrika

ukristo ulienezwa kwa ukoloni.refer colonia agents.
 
we ndo zuzu kweli, uislam ni tofauti na ukristo. There is no JESUS in islam, only tabular rassas like you claim this

Upo sawa Yesu wenu na wawaislamu ni tofauti kabisa. Yesu wa waislamu hajapigiwa misumali, hakuvalishwa chupi au Nepi msalabani, halpigwa nangumi na Goliati mpaka asubuh inaingia akaomba game iahirishwe kwa aibu. Sasa nani tabularrassa kati yangu na wewe?.
 
we ndo zuzu kweli, uislam ni tofauti na ukristo. There is no JESUS in islam, only tabular rassas like you claim this

wewe uislam bila yesu sio dini.sisi ndo tunamjua yesu toka akiwa na siku moja duniani alifanya nini.

yesu ni mtu wa sunna ndo maana ana mzuzu mashallah mrefu xana.na mwislam lazima uwe na mzuzu kama wa yesu

yule yesu wenu mlimfananisha na yesu mwenyewe mkamsulubu kidamba flani na kumuita yesu.aliyekamatwa sio yesu hayo kwenye video hayaonekani
 
Kweli,
Ukristo ulieneza kwa kutumia hoja na uislamu ulienezwa kukutumia jambia. Lakini dinizote zilitumiwa kuwafanya waafrika watumwa. Na sasa hivi zinatumika kuwabagua waafrika

Teh teh teh eti huna dini wakati ugalatia umekuvika vizuri tu. Nyie wagalatia si ndo mlikuwa mnahonga kanga, chakula kwa maskini, kuwalazimisha waislamu kuritadi kama sharti la kusoma? Niambie uislamu ni nchi gani yeyote Afrika ulienezwa kwa upanga au hizo mbinu za wakoloni?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom