Kanisa lingine lachomwa moto Vingunguti

Kanisa lingine lachomwa moto Vingunguti

Status
Not open for further replies.
Usiseme mwana wa maryam, twambie baba yake nani, mnamuita bin maryam, tangu lini binanadanu akatumia ubini wa mama? au ni ule mfumo wa matrimonial?

Teh teh teh teh!
We Kakende tatizo lako umezaliwa kijijini na umekuja mjini juzi tu! Na nje ya Tanzania hujatoka!
Huku ulaya watu wengi mno wanatumia majina ya mama zao!
Mfano .
Mfanyakazi mwenzangu hapa offisini anaitwa James rose! Sasa mtu km wewe unaweza kudhani huyu ni mliberali!
Kumbe aaaaaa! Jamaa fiti kabisa!
Kwa hio yesu kuitwa mwana wa maria si cha ajabu. Na biblia imemuita hivyo pia!
Au unataka andiko?
 
Last edited by a moderator:
ukristo ulienezwa kwa ukoloni.refer colonia agents.

Hamna aja ya kusumbua kichwa. Muhamed na wafuasi wake walikuwa wanazunguka na majambia. Lakini yesu nawafuasi wake hawakuwai kubeba majambia. Na iyo mentality haijaisha ndio maana kuna boko haramu wanataka kuifanya northeast nigeria wawe waisilamu kwa kutumia jambia. Al shababu na uamsho nao ajenda yao hiyo hiyo
 
vipi waarabu wasomi wa uislam? Si ndo waliongoza biashara ya utumwa? Ustaadh alhaji Tipu Tipu

hako ka premodifier ka alhaji umekaweka maksudi.xo kwanza umekubali ukristo uliletwa na mkoloni kabla sijaja kwa slaves tumwage data
 
Teh teh teh eti huna dini wakati ugalatia umekuvika vizuri tu. Nyie wagalatia si ndo mlikuwa mnahonga kanga, chakula kwa maskini, kuwalazimisha waislamu kuritadi kama sharti la kusoma? Niambie uislamu ni nchi gani yeyote Afrika ulienezwa kwa upanga au hizo mbinu za wakoloni?

Yaani unapewa nguo na chakula ili usome alafu unaona wanataka kukufanya retard. Kweli wewe kilaza. Uislamu unaenezwa kwa vita sasa hivi na boko haramu, al shababu na watu wanao uwa mapadri tz
 
Hamna aja ya kusumbua kichwa. Muhamed na wafuasi wake walikuwa wanazunguka na majambia. Lakini yesu nawafuasi wake hawakuwai kubeba majambia. Na iyo mentality haijaisha ndio maana kuna boko haramu wanataka kuifanya northeast nigeria wawe waisilamu kwa kutumia jambia. Al shababu na uamsho nao ajenda yao hiyo hiyo

ili maandiko yatimie yesu ni muslam tena alivaa kanzu na kufuga ndevu.komaeni na paulo mzungu sisi hatumtaki
 
ili maandiko yatimie yesu ni muslam tena alivaa kanzu na kufuga ndevu.komaeni na paulo mzungu sisi hatumtaki

Kwaiyo uilamu ni madevu na kanzu. Kweli wewe muislamu ubwabwa. Kanzu ni vazi la watu wanaoishi kwenye joto. Madevu hata Rastafarian na ma redneck wafuga madevu. Aisee unawazalilisha waislamu wa kweli
 
Kwaiyo uilamu ni madevu na kanzu. Kweli wewe muislamu ubwabwa. Kanzu ni vazi la watu wanaoishi kwenye joto. Madevu hata Rastafarian na ma redneck wafuga madevu. Aisee unawazalilisha waislamu wa kweli

madevu alofuga yesu yalikua ya nini ????

kanzu ni vazi takatifu subiri nikuletee andiko.kwanza jibu hilo swali juu

tafuta pa kutokea yesu humjui!!!

“Ataoga
mwili wote katika
maji, kisha atavaa
mavazi matakatifu.
Ataingia mahali
hapo akiwa amevaa
mavazi matakatifu:
joho la kitani baada
ya nguo ya ndani ya
suruali ya kitani na
akiwa amevaa kanzu
ya kitani na
kujifunga mkanda
wa kitani” (Walawi
16: 4).
 
mkuu maandiko yanasema siku za mwisho watu wataikana imani na kufuata mafundisho ya mashetani. hivyo, unabii lazima utimie. ukiona wengi wanaacha ukristo, usishangae. kwani unabii unatimia.
hizo siku za mwanzo zilikuaje na ilikua lini.
 
Yaani unapewa nguo na chakula ili usome alafu unaona wanataka kukufanya retard. Kweli wewe kilaza. Uislamu unaenezwa kwa vita sasa hivi na boko haramu, al shababu na watu wanao uwa mapadri tz

Sio retardation ni kuritadi yaani kubadili dini.
 
ili maandiko yatimie yesu ni muslam tena alivaa kanzu na kufuga ndevu.komaeni na paulo mzungu sisi hatumtaki

kwi kwi kwiii! We mburura kweli, huu uongo wenzako washauacha. Huwezi kukuza uislam kwa 'kupinga' ukristo. Kiazi kweli wewe, tena mbatata
 
hakuna jina lingine chini ya jua zaidi ya Yesu

msaidie mwenzako hajui maana ya kanzu .anajua kanzu ni joto ha ha h ha ha

“Ataoga
mwili wote katika
maji, kisha atavaa
mavazi matakatifu.
Ataingia mahali
hapo akiwa amevaa
mavazi matakatifu:
joho la kitani baada
ya nguo ya ndani ya
suruali ya kitani na
akiwa amevaa kanzu
ya kitani na
kujifunga mkanda
wa kitani” (Walawi
16: 4).
 
Hamna aja ya kusumbua kichwa. Muhamed na wafuasi wake walikuwa wanazunguka na majambia. Lakini yesu nawafuasi wake hawakuwai kubeba majambia. Na iyo mentality haijaisha ndio maana kuna boko haramu wanataka kuifanya northeast nigeria wawe waisilamu kwa kutumia jambia. Al shababu na uamsho nao ajenda yao hiyo hiyo
hiyo vita ya crusade ilikupita kushoto hiyo story?.

Afterall yesu sie alieleta ukristo,ukristo walianzisha kina paul na kisha watu wa roman empire wakauteka,wakauchakachua na kisha kuanzisha crusade.
 
madevu alofuga yesu yalikua ya nini ????

kanzu ni vazi takatifu subiri nikuletee andiko.kwanza jibu hilo swali juu

Bado we ni kilaza tu. kaangalie pastors wa Coptic church Egypt wanavaaga nini. Hata balaghashia wanavaa.
 
Jaman mbona mnabishana bila ushaidi wowote kama kweli nyiny ni wasomi bishaneni kwa hoja na sio matusi na kashfa hii sio sifa ya watu wastaarabu na wasomi nimemaliza
 
Bado we ni kilaza tu. kaangalie pastors wa Coptic church Egypt wanavaaga nini. Hata balaghashia wanavaa.

"kanzu ni vazi la watu wanaoishi kwenye joto" ha ha ha ha ha h ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha u made my dei kalagabao.

“Ataoga
mwili wote katika
maji, kisha atavaa
mavazi matakatifu.
Ataingia mahali
hapo akiwa amevaa
mavazi matakatifu:
joho la kitani baada
ya nguo ya ndani ya
suruali ya kitani na
akiwa amevaa kanzu
ya kitani na
kujifunga mkanda
wa kitani” (Walawi
1
 
hiyo vita ya crusade ilikupita kushoto hiyo story?.

Afterall yesu sie alieleta ukristo,ukristo walianzisha kina paul na kisha watu wa roman empire wakauteka,wakauchakachua na kisha kuanzisha crusade.

Mimi natetea uafrika tu. hakuna history ya ukristo kuletwa kwa mapanga. Na sikwamwa natetea uletwaji wa ukristo afrika kwani ilikuwa ni njia tu yakuja kututawala. Japo dini zetu za kiafrika zinazarauliwa. Sizani zimesababisha mauji kama ukristo na uislam.
 
hako ka premodifier ka alhaji umekaweka maksudi.xo kwanza umekubali ukristo uliletwa na mkoloni kabla sijaja kwa slaves tumwage data

Ukristo ulileta ukoloni. Maana walikuja wamishinari wakaleta ukristo na baadae. Ukoloni ndio ukaingia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom