Polite
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 1,095
- 816
kwi kwi kwiii! We mburura kweli, huu uongo wenzako washauacha. Huwezi kukuza uislam kwa 'kupinga' ukristo. Kiazi kweli wewe, tena mbatata
"kanzu ni vazi la joto" ha ha h ha hha ha ha ha
kwi kwi kwiii! We mburura kweli, huu uongo wenzako washauacha. Huwezi kukuza uislam kwa 'kupinga' ukristo. Kiazi kweli wewe, tena mbatata
Teh teh teh eti huna dini wakati ugalatia umekuvika vizuri tu. Nyie wagalatia si ndo mlikuwa mnahonga kanga, chakula kwa maskini, kuwalazimisha waislamu kuritadi kama sharti la kusoma? Niambie uislamu ni nchi gani yeyote Afrika ulienezwa kwa upanga au hizo mbinu za wakoloni?
mkuu siku za mwisho zilianza kuhesabiwa baada tu ya yesu kwenda mbinguni.hizo siku za mwanzo zilikuaje na ilikua lini.
"kanzu ni vazi la watu wanaoishi kwenye joto" ha ha ha ha ha h ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha u made my dei kalagabao.
Ataoga
mwili wote katika
maji, kisha atavaa
mavazi matakatifu.
Ataingia mahali
hapo akiwa amevaa
mavazi matakatifu:
joho la kitani baada
ya nguo ya ndani ya
suruali ya kitani na
akiwa amevaa kanzu
ya kitani na
kujifunga mkanda
wa kitani (Walawi
1
Ukristo ulileta ukoloni. Maana walikuja wamishinari wakaleta ukristo na baadae. Ukoloni ndio ukaingia
Asee kweli wewe muislamu ubwabwa tuu. Kunavitu vingi vilikuwepo hata kabla ya uisilamu na vilikuwa ni kasumba za watu wa middle east. Kanzu, kufunga madevu hata kuzunguka lile jiwe jeusi pale mecca vilikuwepo kabla ya uislamu.
Ukristo ulileta ukoloni. Maana walikuja wamishinari wakaleta ukristo na baadae. Ukoloni ndio ukaingia
Sio retardation ni kuritadi yaani kubadili dini.
Mali kuna Tuareg,Somalia kuna Al-Shabaab,Nigeria kuna Boko haram,Tanzania kuna Ponda na wenzake wa uamsho,wewe unadhani uharamia wanaofanya lengo ni nini,nchi zote hizo zipo Afrika au Jiografia inakupiga chenga
Kunashule kibao zamakanisa waisilamu wanasoma bila kuambiwa wabadilishe dini. Inabidi utoe mfano
ndo nataka kujua kabla yesu hajafa ina maana watu walikua wanaishi vizuri sana kwa kufuata mafundisho ya mungu hatua kwa hatua?mkuu siku za mwisho zilianza kuhesabiwa baada tu ya yesu kwenda mbinguni.
pengine kwako zitakuwa miaka mingi, lakini si kwa mungu. jua tu. siku za mwisho zilianza kuhesabiwa kipindi hicho. fahamu kobe amaishi mpaka miaka mia300, kuku miaka nearly mi3 na anazeeka. binadamu anaishi miaka 80 na kuzeeka, nzi siku 7 na kuzeeka na kufa. viumbe tunatofutiana kwa muda. usione kuwa ni miaka mingi wakati pengine ni michache lakini kwako ikawa mingi. mpaka leo tunasema siku za mwisho. kama umechoka kungoja jua ya kuwa wengi watajaribu kupitia mlango mwembamba hawataweza, na wenye nguvu tu ndio watairithi nchi. hapa sigusuu nguvu za ubaunsa.
Nikitoa mifano naweza andika mpaka kesho ila mfano wa karibu ni bibi yangu na familia yake.
hao waafrika walifikaje huko marekani na america ya kusini?apart from akina tiptip ambao walifanya biashara hiyo,wengine ni wapi?hata hao si waliwauzia wazungu ambao hata katika bible utumwa ni ruxa.Waarabu walileta utumwa.. heri ukoloni kuliko utumwa babu zetu waltembezwa toka kigoma hadi bmoyo
technically yes.ndo nataka kujua kabla yesu hajafa ina maana watu walikua wanaishi vizuri sana kwa kufuata mafundisho ya mungu hatua kwa hatua?
Nikitoa mifano naweza andika mpaka kesho ila mfano wa karibu ni bibi yangu na familia yake.
Ni wale waliochiwa juzi,wanaendeleza kazi yao