Varbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,124
- 895
Nilikua na sikiliza BBC Swahili muda si mrefu kuja na aliejiunga na alshabaab bila kujua alikua anaeleza!! Alibadili dini na kuanza kusoma ili aujue uislamu wakampeleka Somalia amejifunza hadi ugaidi na ahadi kibao kua akifa anakwenda mbinguni Kama shahidi! Na kua family yake italipwa vzr!! Sasa Yale mafunzo Ndio yalimtisha alikua anaanmbiwa uislam ni mzuri unaraha sasa zile raha Hakuna zaidi ya mafunzo ya kuua watu dogo kwa msaada wa mzee mwingine akatoroka kurudi Kenya!! Waislam muogopeni Mungu kuua watu wasio na hatia Ndio pepo huyo Mungu wenu a nashangaa!!