Kanisa lingine lachomwa moto Vingunguti

Kanisa lingine lachomwa moto Vingunguti

Status
Not open for further replies.
Wale waprotestan na wakatoliki wanaouwana kule Ireland ya Kaskazini,na wale Lord Resistence Army kina Koseph Kony,na Wale wa Sudan ya kusini,wanaouwa watu wasio na hatia walifundishwa na nani,wacha kichwa maji.Akili ni nyele kila mtu ana zake.

Hao ulowataja wanaua kupigania dini zao? au wana matatizo yao binafsi? mbona unachanganya mambo? Lini umesikia Kony kalipua bomu nchi nyingine zaidi ya Uganda?
 
Habari za 72 virgins hizo, eti ukifa unakwenda kufanya ngono mbinguni

VIRGIN ALIYEANDALIWA FOR YESU MBINGUNI

UFUNUO 19:7


19.7 Na tufurahi, tukashangilie,
tukampe utukufu wake; kwa kuwa arusi
ya Mwana-Kondoo imekuja, na mkewe
amejiweka tayari.

19.8 Naye amepewa kuvikwa kitani
nzuri, ing'arayo, safi; kwa maana kitani
nzuri hiyo ni matendo ya haki ya
watakatifu.

19.9 Naye akaniambia, Andika, Heri
walioalikwa karamu ya arusi ya Mwana-
Kondoo. Akaniambia, Maneno haya ni
maneno ya kweli ya Mungu.
 
Kama kweli hii aya ipo na ni ya ukweli basi bora tu tubaki hapa duniani....


VIRGIN ALIYEANDALIWA FOR YESU MBINGUNI

UFUNUO 19:7


19.7 Na tufurahi, tukashangilie,
tukampe utukufu wake; kwa kuwa arusi
ya Mwana-Kondoo imekuja, na mkewe
amejiweka tayari.

19.8 Naye amepewa kuvikwa kitani
nzuri, ing'arayo, safi; kwa maana kitani
nzuri hiyo ni matendo ya haki ya
watakatifu.

19.9 Naye akaniambia, Andika, Heri
walioalikwa karamu ya arusi ya Mwana-
Kondoo. Akaniambia, Maneno haya ni
maneno ya kweli ya Mungu.
 
VIRGIN ALIYEANDALIWA FOR YESU MBINGUNI

UFUNUO 19:7


19.7 Na tufurahi, tukashangilie,
tukampe utukufu wake; kwa kuwa arusi
ya Mwana-Kondoo imekuja, na mkewe
amejiweka tayari.

19.8 Naye amepewa kuvikwa kitani
nzuri, ing'arayo, safi; kwa maana kitani
nzuri hiyo ni matendo ya haki ya
watakatifu.

19.9 Naye akaniambia, Andika, Heri
walioalikwa karamu ya arusi ya Mwana-
Kondoo. Akaniambia, Maneno haya ni
maneno ya kweli ya Mungu.

Mafumbo ya Ufunuo wewe uwezi kuyafumbua. Kwa akili yako unadhani bible inaeleweka direct. Ndiyo maana huwa manjiuliza Yesu ana damu nyingi kiasi gani hadi leo hii kanisani watu wanaendelea kuinywa
 
al Akhy naomba nikusahihishe kidogo.ile sio CHUPI ile ni NEPI .labda kondoo wa bwana watusaidie.
kama hii.
jesusdance.jpg
 
Unauhakika hilo kanisa limechomwa na waislamu???
Au unaropoka tu?

Nilikua na sikiliza BBC Swahili muda si mrefu kuja na aliejiunga na alshabaab bila kujua alikua anaeleza!! Alibadili dini na kuanza kusoma ili aujue uislamu wakampeleka Somalia amejifunza hadi ugaidi na ahadi kibao kua akifa anakwenda mbinguni Kama shahidi! Na kua family yake italipwa vzr!! Sasa Yale mafunzo Ndio yalimtisha alikua anaanmbiwa uislam ni mzuri unaraha sasa zile raha Hakuna zaidi ya mafunzo ya kuua watu dogo kwa msaada wa mzee mwingine akatoroka kurudi Kenya!! Waislam muogopeni Mungu kuua watu wasio na hatia Ndio pepo huyo Mungu wenu a nashangaa!!
 
VIRGIN ALIYEANDALIWA FOR YESU MBINGUNI

UFUNUO 19:7


19.7 Na tufurahi, tukashangilie,
tukampe utukufu wake; kwa kuwa arusi
ya Mwana-Kondoo imekuja, na mkewe
amejiweka tayari.

19.8 Naye amepewa kuvikwa kitani
nzuri, ing'arayo, safi; kwa maana kitani
nzuri hiyo ni matendo ya haki ya
watakatifu.

19.9 Naye akaniambia, Andika, Heri
walioalikwa karamu ya arusi ya Mwana-
Kondoo. Akaniambia, Maneno haya ni
maneno ya kweli ya Mungu.

Eeh! Kwahiyo Mungu wenu baadae ataoa? Haa haa haa wakristo mna vituko nyinyi
 
Mafumbo ya Ufunuo wewe uwezi kuyafumbua. Kwa akili yako unadhani bible inaeleweka direct. Ndiyo maana huwa manjiuliza Yesu ana damu nyingi kiasi gani hadi leo hii kanisani watu wanaendelea kuinywa

Mkuu sio damu ile ni maji ya zabibu
 
Mafumbo ya Ufunuo wewe uwezi kuyafumbua. Kwa akili yako unadhani bible inaeleweka direct. Ndiyo maana huwa manjiuliza Yesu ana damu nyingi kiasi gani hadi leo hii kanisani watu wanaendelea kuinywa

ha ha ha ha mimi siwezi kuyafumbua.haya wewe unayekunywa damu ya yesu nifumbulie nielewe.ha ha ha ha ha
 
Khaa!! hata hivyo kulikuwa na utulivu kwa muda mrefu bila ya haya mambo. wengi tulikuwa hatuna kazi ya kufanya :A S 39:
inamaana wewe makanisa yanapochomwa moto ndio unapata kazi ,au sijakuelewa tafadhali fafanua
 
Eeh! Kwahiyo Mungu wenu baadae ataoa? Haa haa haa wakristo mna vituko nyinyi

heri ya walioalikwa kwenye harusi.wenzako wamealikwa sisi wengine tutakua wapiga picha tu. ha ha ha ha ha ha ha
 
Hahah, there you're. Those things existed before Jesus, now to us it is an History. Jesus revealed the true Love of GOD who sent him. You have even forgotten that before Jesus people could get married to more than more woman. Also women were hit to death when found doing sex with a married man. Most people don't understand the series of the Bible

Hahaha. Now we are enjoying the world of true Love of our Father. We are out of the darkness

He preached and leave people to judge his logic and follow him. He did not cause even a single drop of blood, killing people forcing them to go to paradise. That is why he is known as a KING OF PEACE. Tanzania and the world today is peaceful because of his preachings, his followers do not revenge otherwise the situation could be? . hahaha

Amani ya Bwana ipitayo fahamu zote na ikurehemu, sasa na hata milele! Amen
 
VIRGIN ALIYEANDALIWA FOR YESU MBINGUNI

UFUNUO 19:7


19.7 Na tufurahi, tukashangilie,
tukampe utukufu wake; kwa kuwa arusi
ya Mwana-Kondoo imekuja, na mkewe
amejiweka tayari.

19.8 Naye amepewa kuvikwa kitani
nzuri, ing'arayo, safi; kwa maana kitani
nzuri hiyo ni matendo ya haki ya
watakatifu.

19.9 Naye akaniambia, Andika, Heri
walioalikwa karamu ya arusi ya Mwana-
Kondoo. Akaniambia, Maneno haya ni
maneno ya kweli ya Mungu.

Mkuu UFUNUO ni moja ya vitabu vigumu. Mstari huo unafahamika. Mke wa mwana kondoo hapo ni Kanisa, tena kanisa la watakatifu, ikimaanisha urafiki kati ya watakatifu na Yesu. Bahati mbaya sina bible ya Kiswahili ya online, soma hapa chini uone series. Maneno ya bible si ya kutafsiri kama vile kijiweni. Hata wanafunzi wa Yesu walishindwa kuelewa mafumbo ya Yesu. Bible haina uchafu huo

lest sudden destruction shall come upon [you]" (D&C 133:14–15). In Revelation 17John sees Babylon, the symbol of Satan's power, spread across the earth. Then, "in one hour" (Revelation 18:19), he witnesses its destruction. Those who have partaken of her sins weep and lament her fall while the righteous rejoice (see vv. 11–24). John then sees the preparation for the long-awaited "marriage of the Lamb," for "his wife [the Church] hath made herself ready" (Revelation 19:7). The Lamb appears as the "King of Kings, and Lord of Lords"
 
Dont force yourself to laugh!
Are you telling the people here that BIBLE IS FROM TWO DIFFERENT PEOPLES??
ONE LAW FOR ISRAELIS AND THE OTHER FOR CHRISTIANS? ?
If that is the case! I want you to provide evidence of your claims!
And also you mention about wifes!
Show me the evidence that jesus said! You are not allowed to mary more that one wife!!
Go on little Kakende !
I am waiting!

Christianity means followers of Christ, i.e. Wafuasi wa YESU na mitume wake.
 
Last edited by a moderator:
Dont force yourself to laugh!
Are you telling the people here that BIBLE IS FROM TWO DIFFERENT PEOPLES??
ONE LAW FOR ISRAELIS AND THE OTHER FOR CHRISTIANS? ?
If that is the case! I want you to provide evidence of your claims!
And also you mention about wifes!
Show me the evidence that jesus said! You are not allowed to mary more that one wife!!
Go on little Kakende !
I am waiting!

Christianity means followers of Christ, i.e. Wafuasi wa YESU na mitume wake. Ahsante YESU kwa kuniongoza
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom