Kanisa limekataa kusalisha ibada ya mazishi ya Mushi

Kanisa limekataa kusalisha ibada ya mazishi ya Mushi

mkuu kwani haujua kuwa Mushi alikuwa anazini na ufloo walikuwa hawana ndoa?

tatizo ni kuzini au kujiua/kuua? labda sielewi unipe elimu! na kama tatizo ni kuzini au kuua/kujiua, je wafu wengine wanaopata huduma ya mazishi huwa wanakuwa wamethibitika hawana dhambi yoyote!? au dhambi katika ukristo wa leo imekuwa ni kuzini tu au kuua/kujiua!!? kuna andiko lolote ndani ya biblia linalounga mkono sheria hiyo? is this law or practice divine or based on human wisdom?
 
Mkuu,
Halafu kitu cha kushangaza kanisa Hilo husika na baadhi ya hao wanaoliongoza ndio wanaongoza kwa kashfa za Kulawiti watoto wa kiume na kutafuna wake za watu kwenye parokia :noidea:....Kama sio unafiki sijui hii ni kitu gani!!

pamoja na hayo matendo yao maovu na ya dhambi huwa wanazikwa kwa ibada za heshima!! ajabu sana!
 
pengine kanisa alitaki kuonekana la ajabu kwa kusalisha misa ya muhuaji. angejiua pekeyake sawa lakin ameua mama wa watu

wanachotakiwa kufanya ni kwa mujibu wa maandiko matakatifu, BIBLIA, na si kwa kufata hisia za watu.
 
Aliyechukua sheria mkononi ni kanisa au aliyejiua ndio kajichukulia sheria mkononi?

Kanisa lina sheria zake......halijazitunga wakati wa Mushi.

Two wrongs don't make a right baby! tuhuma za mushi kuchukua sheria mkononi kwa kuua na kujeruhi haipelekei haki kwa kanisa kufanya prejudgement before investigation results! na kama kanisa liliona uchunguzi utachelewa then on what grounds does the church get the right to prejudice? na je ikija kudhihirika kuwa kuwa hakuua wala kujiua bali mtu mwingine alifanya mauaji hayo-will it not tarnish the reputation and credibility of the church?!! mimi sikubaliani na hiyo sheria/practice ya kanisa hasa Roman Catholic ya kutofanya ibada ya mazishi kwa marehemu anayetuhumiwa kuua/kujiua au hata aliyethibitika kufanya hivyo-as if hiyo ndio the only sin kuna wangapi wanakufa kwa uzinzi,ulevi,wizi n.k je marehemu hao huwa wanafanyiwa mazishi ya aina gani na kanisa? au kuua/kujiua ndio dhambi pekee iliyowekewa hiyo sheria!!?is the law/practice biblical? if not, then it is illogical,it does not make any sense to punish a dead body, for whose benefit then? it sounds crazy!! je wale mapadri waliopatikana na hatia ya kulawiti watoto na kanisa likaomba msamaha nao watazikwa/wamezikwa kwa utaratibu upi?
 
Usilolijua ni usiku wa giza, na kila kitu Kuna sheria na taratibu zake, waache wakatoliki na taratibu zao
 
Marehemu Mushi aliyefanya mauaji ya mama wa mtangazaji wa ITV na kujeruhi kwa risasi na atimaye kujiua amezikwa bila huduma ya kikanisa.

Kanisa Katoliki parokia ya Uru imegoma kusalisha misa ya marehemu Mushi kutokana na mazingira ya kifo chake.

Familia ilitaka marehemu aombewe na kanisa ili asamehewe dhambi zake sababu atoaye hukumu ni Mungu si binadamu na ajuaye ukweli ni Mungu.

Lakin kanisa imekataa kusalisha ibada na Mushi amezikwa bila ibada.

Katika maandiko mwenyezi mungu ametoa mamlaka kwa wachungaji ndo maana wanatuongoza kiroho, sasa taratibu ziko wazi kama umeua na hukutubu then ukajiua kama wewe ni mkatoliki unajua mwenyewe kinachokufaa
 
Kama kanisa liligoma kuendesha ibada hapo litakuwa limesimama kwenye tendo la yeye mushi kujiua. wanaojiua huwa hawasaliwi
 
Two wrongs don't make a right baby! tuhuma za mushi kuchukua sheria mkononi kwa kuua na kujeruhi haipelekei haki kwa kanisa kufanya prejudgement before investigation results! na kama kanisa liliona uchunguzi utachelewa then on what grounds does the church get the right to prejudice? na je ikija kudhihirika kuwa kuwa hakuua wala kujiua bali mtu mwingine alifanya mauaji hayo-will it not tarnish the reputation and credibility of the church?!! mimi sikubaliani na hiyo sheria/practice ya kanisa hasa Roman Catholic ya kutofanya ibada ya mazishi kwa marehemu anayetuhumiwa kuua/kujiua au hata aliyethibitika kufanya hivyo-as if hiyo ndio the only sin kuna wangapi wanakufa kwa uzinzi,ulevi,wizi n.k je marehemu hao huwa wanafanyiwa mazishi ya aina gani na kanisa? au kuua/kujiua ndio dhambi pekee iliyowekewa hiyo sheria!!?is the law/practice biblical? if not, then it is illogical,it does not make any sense to punish a dead body, for whose benefit then? it sounds crazy!! je wale mapadri waliopatikana na hatia ya kulawiti watoto na kanisa likaomba msamaha nao watazikwa/wamezikwa kwa utaratibu upi?

Naona unatoka povu bure, wewe dhehebu gani? Njoo kwangu nikupe joho uvae ukaongoze ibada ya mazishi ya mushi mbinguni, hata home kwako una sheria na taratibu zako, ndio maana Kuna kutubu dhambi hao walawiti kama wametubu na kusamehewa kabla ya kufa watazikwa tu na kanisa, lkn mushi wako kabla ya kufa alitubu wapi, haya mambo ni ya kiimani zaidi ndio maana nimekuuliza imani yako, kama huamini ktk hilo waachie waamini
 
Muhimu ibada ingefanyika sio kwa ajili ya dead body bali kuelezea umma injili ambayo italeta mgeuko kwa wengineo hiyo ndio njia ya kuleta neno la Mungu maana aliyekufa hata akiombewa na maaskofu wote still haibadilishi chochote tunakumbusha tulio safari I
 
Maghambo619,

Jibu swali: Biblia inaposema kwamba ni jambo bora kuombea marehemu (2Maccabees 12:40) inakosea? Nifuate kinachosemwa na Biblia au unachosema wewe?

Maccabes siyo kitabu cha biblia ya wakristo wasiyo wakatoliki....... Ni kati ya vitabu visivyotambulika na wakristo wote duniani isipokuwa wakatoliki nao wanajua walikitoa wapi na kwanini walikiingiza kwenye biblia tunayoitambua ss wakristo wengine
 
Two wrongs don't make a right baby! tuhuma za mushi kuchukua sheria mkononi kwa kuua na kujeruhi haipelekei haki kwa kanisa kufanya prejudgement before investigation results! na kama kanisa liliona uchunguzi utachelewa then on what grounds does the church get the right to prejudice? na je ikija kudhihirika kuwa kuwa hakuua wala kujiua bali mtu mwingine alifanya mauaji hayo-will it not tarnish the reputation and credibility of the church?!! mimi sikubaliani na hiyo sheria/practice ya kanisa hasa Roman Catholic ya kutofanya ibada ya mazishi kwa marehemu anayetuhumiwa kuua/kujiua au hata aliyethibitika kufanya hivyo-as if hiyo ndio the only sin kuna wangapi wanakufa kwa uzinzi,ulevi,wizi n.k je marehemu hao huwa wanafanyiwa mazishi ya aina gani na kanisa? au kuua/kujiua ndio dhambi pekee iliyowekewa hiyo sheria!!?is the law/practice biblical? if not, then it is illogical,it does not make any sense to punish a dead body, for whose benefit then? it sounds crazy!! je wale mapadri waliopatikana na hatia ya kulawiti watoto na kanisa likaomba msamaha nao watazikwa/wamezikwa kwa utaratibu upi?

Imani ya dini inafuatwa na watu kwa hiari na kila dini inautaratibu wake. Huwezi kuipangia katoliki kuamua nini maana wao ndiyo wapo responsible na imani yao. Anayeona hapo hapamfit anajiondokea.
 
Achilia mbali kifo cha Mushi chenye utata lakini pale Parokia ya uru kumebadilika sana sasa hivi! Wanajali zaidi hela, mtu anafia nje ya mkoa ukipeleka taarifa unaambiwa uchangie hela ya mafuta ya gari ya padre, then siku ya maziko ikifka unaambiwa ooh mara mapadre hawana nafas nenda na katekista. Ilifika wakati kuna msiba mmoja ulitokea maeneo ya ongoma ikabidi kiongozi wa ibada asimamiwe na askari kufanya ibada ya mazishi! Kwa hiyo haimshangazi mtu kusikia ndgu Mushi kazikwa bila ibda ya misa.
 
Bora ukristo kwa hili, kuna dini moja mtu akifa uume umesimama maiti lazima ifanye ngono! Mpaka dushelele lilale. Majanga haya. kahtaan, FaizaFoxy, Ritz na 'waua' wakristo wengine
 
Last edited by a moderator:
Mtume Petro alipiga magoti akamwombea marehemu Dorcas wa Joppa na Mungu akamfufua (Acts 9:40-41). Anayesema Mungu hafufui kwa maombi ya binadamu amekosea. Sisi, kama Petro, tunawaombea marehemu wetu Mungu awafufue siku ya mwisho na awape uzima wa milele.

Wote wanaosema hatupashwi kuwaombea marehemu wameshindwa kabisa kujibu swali la msingi nililowauliza:

Mbona Biblia inasema ni jambo jema kuwaombea marehemu? Nimewapa sehemu Biblia inaposema hivyo: ni 2Maccabees 12:40.

Hakuna sehemu biblia imekataza kufufua wafue......bali imekataza kujihusisha na ibaada za wafu....the two are not the same think again!


Kila nafsi itaonja mauti lakini wapo ambao hawatakufa na kuzikwa kwani kwa sekunde watabadilishwa na kuuvaa kutoharibika....pia wote walio kufa watafufuliwa wengine katika ufufuo wa uzima na wengine katika mauti na hii ndiyo mauti ya pili......tafuta hizo verse za scripture na uzitafakari!
 
Maccabes siyo kitabu cha biblia ya wakristo wasiyo wakatoliki....... Ni kati ya vitabu visivyotambulika na wakristo wote duniani isipokuwa wakatoliki nao wanajua walikitoa wapi na kwanini walikiingiza kwenye biblia tunayoitambua ss wakristo wengine

Maccabes ndio kitu gani?
 
Muhimu ibada ingefanyika sio kwa ajili ya dead body bali kuelezea umma injili ambayo italeta mgeuko kwa wengineo hiyo ndio njia ya kuleta neno la Mungu maana aliyekufa hata akiombewa na maaskofu wote still haibadilishi chochote tunakumbusha tulio safari I

Huo utakuwa si ukatoliki bali dini nyingine vivyohivyo ni kama kama angezikwa kwa imani ya dini nyingine..... Tofautisheni imani za watu.... Wakatoliki wao wanaamini hukumu yoyote itolewayo na padri ni valid maana anao huo uwezo so nadhani kwa jinsi hiyo wame mhukumu Mushi against na mama mkwe in favour what's a problem?

Siku nyingine ndugu wa marehemu wakitamani kuzikwa kwa ibada basi wakihukumiwa huko waje kwetu evangelicals tunao amini kama wengi mnavyo suggest ambayo siyo imani ya kikatoliki! Otherwise mkipenda ku stick kwenye ukatoliki (boga) mpende na ua lake (taratibu zao) ambazo ziko well documented na kunasheria inazo zisimamia.
 
Maccabes ndio kitu gani?

Anakijua Agustine Moshi....Mm nilikikuta kwenye biblia ya wakatoliki inayotambulika kama Jerusalem Bible! Inavitabu 72 vitano vikiwa viada ya vitabu 67 vinavyokubalika na madhebu mengine yote kasoro wakatoliki peke yao.
 
Muhimu ibada ingefanyika sio kwa ajili ya dead body bali kuelezea umma injili ambayo italeta mgeuko kwa wengineo hiyo ndio njia ya kuleta neno la Mungu maana aliyekufa hata akiombewa na maaskofu wote still haibadilishi chochote tunakumbusha tulio safari I

Hata sasa hawajachelewa kama ni kueneza injili tu ya umma. Bado injili inahubiriwa na kuna makongamano mengi yanaendelea daily. So ni vzr, ndugu wa marehemu, wewe , Mimi na yule kusikiliza ili tugeuke. Siyo mpaka mtu afe ndiyo tupate KIU ya kusikia mahubiri
 
Back
Top Bottom