Kanisa limekataa kusalisha ibada ya mazishi ya Mushi

Kufanya ibada kwa marehemu ni heshima kanisa linatoa kwamarehem na ndugu wa marehem. Ni namna ya kuwaonesha binadamu wengine kwamba ukiishi vizuri hapa duniani utapata heshima fulan. Ni sawa na kumtangaza mtu mtakatifu lengo ni kutaka watu waliobaki hapa duniani Waige matendo yake. Hayo mengine kwmba mungu anapokea sala zetu au la sio kazi yetu. Sisi wajibu wetu kusali mengine ni ya mungu. Kwa hiyo liangalieni swala la mushi km kinyimwa heshima ya maziko ya kikanisa na sio hukum. Kanisa halijamhukum bali limemnyima heshima ya maziko yaliyotukuka kwa sabab kitendo chake cha kuua na kujiua havitoi mfano mzuri klwa waumini.

I think it sounds gud kusema padre anauwezo wakutoa hukumu ya nani kaishi kwa heshima na yupi laa.... Vinginevyo kwani kunatofauti gani ya aliye ua na aliye uawa katika kuzingatia kuishi vizuri na kufa kifo chema? Je nani aweza thibitisha vinginevyo kuwa tabia mbaya ya mama mkwe ndiyo iliyopelekea Mushi kumuua yeye? Ama ninani atapinga Mushi alijitetea baada ya mama mkwe ku attempt kutaka kumuua na wote kwa pamoja ikatokea wakauana kwa wakati mmoja ama otherwise?

Mazingira mazima yanaonyesha wote ni wakosaji..... Hawajafa kifo chema so why mmoja ndiyo ahukumiwe against?

But if you say padri ndiyo benchmark according to imani ya kanisa katoliki inaondoa maswali yote na sote tunakubali kuwa huo ni ukatoliki kama wanavyotuambia fumbo la imani tukakubali bila kuuliza swali! Na hivyo mwenye kukubali hiyo imani kubali judgement za kanisa kama zinavyokuwa executed na makasisi, asiyekubali atatafuta alternative ya imani itakayo fill the void ya kuamini kwake.
 
Maccabes siyo kitabu cha biblia ya wakristo wasiyo wakatoliki....... Ni kati ya vitabu visivyotambulika na wakristo wote duniani isipokuwa wakatoliki nao wanajua walikitoa wapi na kwanini walikiingiza kwenye biblia tunayoitambua ss wakristo wengine

Nikuulize swali labda pengine unaweza pata mantiki:kwani hivyo vitabu vingine kama,mambo ya walawi,zaburi,wafalme,ezekiel,etc.ni nani aliyeamuru viwe vya biblia au chimbuko la vitabu vya biblia ni wapi?au wenzetu mnaichukulia biblia kama series kwamba lazima ifuate episodes.tambua kwamba ni wakatoliki hao hao ndio walioikusanya biblia hiyo hiyo unayoitambua wewe,kupitia mitaguso/mikutano ya kiaskofu.kila kitabu cha biblia kipo independent na hata katika injili,iliyoandikwa kwa mtiririko kamili ni injili ya luka peke yake,nyingine ziliandikwa kama note ikabidi ziunganishwe na maandishi mengine kupata kitabu kilicho kamili.jua kwamba habari za yesu ziliandikwa na watu wengi,hata thomaso aliandika,lakini vitabu vya injili vipo vinne tu!jiulize kwanini?soma biblia lakini pia soma na historia upate kuuelewa ukristo wako,vinginevyo utabaki kuburuzwa tu kama gari iliyokosa injini.
 
Huo utakuwa si ukatoliki bali dini nyingine vivyohivyo ni kama kama angezikwa kwa imani ya dini nyingine..... Tofautisheni imani za watu.... Wakatoliki wao wanaamini hukumu yoyote itolewayo na padri ni valid maana anao huo uwezo so nadhani kwa jinsi hiyo wame mhukumu Mushi against na mama mkwe in favour what's a problem?

Siku nyingine ndugu wa marehemu wakitamani kuzikwa kwa ibada basi wakihukumiwa huko waje kwetu evangelicals tunao amini kama wengi mnavyo suggest ambayo siyo imani ya kikatoliki! Otherwise mkipenda ku stick kwenye ukatoliki (boga) mpende na ua lake (taratibu zao) ambazo ziko well documented na kunasheria inazo zisimamia.

Sio vibaya na sisi tusiokuwa wakatoliki tukahoji na kujua facts za ukristo. Mfano, kamahuyo padre ni mjaa maovu waziwazi kwa hiyo hukumu atakayotoa still itakuwa valid?
wapi katika Bible imesema mtu aki-committ suicide basi asizikwe kwa taratibu za kidini?
 
Nimependa comment yako,hauja critisize ila umeelezea unayojua that's nice!umekomaa kiimani
 
Nikuulize swali labda pengine unaweza pata mantiki:kwani hivyo vitabu vingine kama,mambo ya walawi,zaburi,wafalme,ezekiel,etc.ni nani aliyeamuru viwe vya biblia au chimbuko la vitabu vya biblia ni wapi?au wenzetu mnaichukulia biblia kama series kwamba lazima ifuate episodes.tambua kwamba ni wakatoliki hao hao ndio walioikusanya biblia hiyo hiyo unayoitambua wewe,kupitia mitaguso/mikutano ya kiaskofu.kila kitabu cha biblia kipo independent na hata katika injili,iliyoandikwa kwa mtiririko kamili ni injili ya luka peke yake,nyingine ziliandikwa kama note ikabidi ziunganishwe na maandishi mengine kupata kitabu kilicho kamili.jua kwamba habari za yesu ziliandikwa na watu wengi,hata thomaso aliandika,lakini vitabu vya injili vipo vinne tu!jiulize kwanini?soma biblia lakini pia soma na historia upate kuuelewa ukristo wako,vinginevyo utabaki kuburuzwa tu kama gari iliyokosa injini.

Nani kasema na pinga? Infact huo ndiyo ukatoliki tofauti na ukristo mwingine.....wao whether walikusanya ama walikusanyiwa its upon them na hawa nao kwa utaratibu wao wakajiamulia hivyo vitano aah kwamba wao walichukua vilivyokusanywa na wakatoliki ama waliamua kuanza kujikusanyia wenyewe na katika walivyo vikusanya 67 vikalingana na vya wakatoliki ama katika hivyo vingi wakatoa vitano hiyo ndiyo tofauti kati ya IMANI hizi mbili za wakristo.... Hizo nyingine ni mabishano yasiyo na sababu na sidhani kama ni mshiriki..., Nami katika menu tuliyoandaliwa na hao waanzilishi walio tokea middle east nilijikuta nimezaliwa na wakatoliki na mm nilivyopata ufahamu nikajiaminisha imani yangu ya wokovu na kuwa preacher!
 
Nimependa comment yako,hauja critisize ila umeelezea unayojua that's nice!umekomaa kiimani

Nakushukuru kaka kuni commend! Chamsingi ni will yako inataka nini then follow your heart; mambo ya kukaririshwa wakati wanaohubiri wanatuambi Mungu anaweza kuwa consulted naye anaishi milele tena hujibu maombi kwanini uzingatie ya wanadamu tu bila kutengeneza hypothesis na kufanya confirmatory test kutoka kwake huyo aliye hai?

Mm niliamua kuconsult akanijibu na niliporidhika nikaamua kuhubiri ule ukweli ninaoujua siyo niliyoambiwa tu bila kujithubitishia mwenyewe!

Na huu ndiyo ukweli niujuao neema ya Mungu ni kubwa mno kushinda dini ukimtafuta anapatikana naye anakupa haja ya moyo wako naye anajitambulisha kwako kwa jina lake halisi ambalo ni reference pekee katika yake na ww...

Ukielewa hilo utampenda kwakua alikupenda yy kwanza nawe utawapenda wengine unconditionally! Na hii ndiyo dini yangu sina dini nyingine zaidi ya hii! Kwamba Mungu ni pendo nakuwa nje ya upendo hakuna Mungu! Kinacho badilika ni definition ya upendo ambao ukikubali kunyenyekea atakufundusha na utakuwa unapenda kweli!
 
Niambieni tofauti ya usaliti wa yuda na petro?ni kwamba wote walitenda dhambi,yuda aliasi petro akamkana mara tatu,leo hii petro ni mtume,yuda iskariote ni mwovu,sababu kuu ni petro baada ya kuasi alitambua kosa lake akalia akatubu kwa kulia machozi,yesu akamsamehe na kumpa mamlaka ya kuongoza kanisa kwa kumpa funguo,yuda baada ya kuasi hakutaka kutubu bali alijimaliza na kuangamia pamoja na ibilisi wake.
Somo;katika maisha yetu ya kila siku tuna point of weakness ambazo husababishwa na;wivu,hasira,choyo,dharau,kiburi na tamaa.ambavyo kanisa katoliki huyafundisha kama mizizi ya dhambi,hivyo humsukuma mtu kutenda dhambi.mtu anapopata kishawishi flani kuna sauti katika dhamiri inampa katazo,sauti hiyo ndiye roho mtakatifu anayetuongoza badala ya yesu kristu.inapotokea unaanguka katika dhambi,unapewa nafasi ya kujirudi kwa kutubu na padri ndiye aliyepewa mamlaka ya kufanya maondoleo ya dhambi.unapokuwa mkaidi unakuwa umejitoa mwenyewe katika hesabu ya kristu,na ndiyo yaliyomkuta ndugu yetu mushi,hasira ilimshawishi kutenda dhambi ya kuua,kiburi kikamsukuma kuutoa uhai wake mwenyewe kukwepa mamlaka ya duniani yaani sheria.yesu alisema kila nafsi inayotubu itaokolewa,sasa nafsi ya mushi imeangamia na shetani!
 
Sio vibaya na sisi tusiokuwa wakatoliki tukahoji na kujua facts za ukristo. Mfano, kamahuyo padre ni mjaa maovu waziwazi kwa hiyo hukumu atakayotoa still itakuwa valid?
wapi katika Bible imesema mtu aki-committ suicide basi asizikwe kwa taratibu za kidini?

Unapata hiyo platform ya kuwahoji wapi? Si ulishawahukumu ukaamua kuwa dini nyingine? Ama unataka kukata rufaa?

Ni kama kusema sheria za nchi ya jirani eti ww usiye mpiga kura wao uzifanyie bunge kuzi rekebisha! Naipenda Tanzania maana inatoa ruhusa kwakila raia kujichagulia imani yake.... Acha ya ngoswe yawe ya ngoswe unless unataka kuleta fujo na ss wenye nchi tutakushugulikia, lol!
 
Niambieni tofauti ya usaliti wa yuda na petro?ni kwamba wote walitenda dhambi,yuda aliasi petro akamkana mara tatu,leo hii petro ni mtume,yuda iskariote ni mwovu,sababu kuu ni petro baada ya kuasi alitambua kosa lake akalia akatubu kwa kulia machozi,yesu akamsamehe na kumpa mamlaka ya kuongoza kanisa kwa kumpa funguo,yuda baada ya kuasi hakutaka kutubu bali alijimaliza na kuangamia pamoja na ibilisi wake.
Somo;katika maisha yetu ya kila siku tuna point of weakness ambazo husababishwa na;wivu,hasira,choyo,dharau,kiburi na tamaa.ambavyo kanisa katoliki huyafundisha kama mizizi ya dhambi,hivyo humsukuma mtu kutenda dhambi.mtu anapopata kishawishi flani kuna sauti katika dhamiri inampa katazo,sauti hiyo ndiye roho mtakatifu anayetuongoza badala ya yesu kristu.inapotokea unaanguka katika dhambi,unapewa nafasi ya kujirudi kwa kutubu na padri ndiye aliyepewa mamlaka ya kufanya maondoleo ya dhambi.unapokuwa mkaidi unakuwa umejitoa mwenyewe katika hesabu ya kristu,na ndiyo yaliyomkuta ndugu yetu mushi,hasira ilimshawishi kutenda dhambi ya kuua,kiburi kikamsukuma kuutoa uhai wake mwenyewe kukwepa mamlaka ya duniani yaani sheria.yesu alisema kila nafsi inayotubu itaokolewa,sasa nafsi ya mushi imeangamia na shetani!

We unajuaje Yuda kuwa ni mwovu? Si wakatoliki wamesha mwombea msamaha naye miaka yote hiyo mambo hayajatosha kweli kumfikisha mbinguni?

Wewe! Kuwa makini ati wenye imani yao watakwambia huyo ni mtakatifu maana ameshaombewa msamaha kwani na yeye ni miongoni mwa 'maaskofu' wa kwanza tena Kardinali kama Peter alivyo papa wa kwanza.

Hukumu ni ya Mungu nadhani hii inaua mzizi wote wa fitina!
 
Unapata hiyo platform ya kuwahoji wapi? Si ulishawahukumu ukaamua kuwa dini nyingine? Ama unataka kukata rufaa?

Ni kama kusema sheria za nchi ya jirani eti ww usiye mpiga kura wao uzifanyie bunge kuzi rekebisha! Naipenda Tanzania maana inatoa ruhusa kwakila raia kujichagulia imani yake.... Acha ya ngoswe yawe ya ngoswe unless unataka kuleta fujo na ss wenye nchi tutakushugulikia, lol!

Sijaleta fujo ila siku zote I let the common sense to guide me. Critical thinking is my guidance to a lot of things in this world. Kuuliza si ujinga.
Ndio maana nimeuliza kama padre ni mjaa maovu tena bila kificho mbele za watu, then akimhukumu marehemu bado hiyo hukumu yake itakuwa valid? Ukristo ni Bible, sasa wapi kwenye Bible mfano imesema watu wapewe kipaimara au wabatize watoto?
 
Ni bad spinning kwa Ame kusema Wakatoliki "waliingiza vitabu vyao" kwenye Biblia. Ukweli ni kwamba Kanisa Katoliki lilikamilisha uamuzi wa vitabu gani viwe kwenye Biblia kwenya mwaka 400AD. Biblia hiyo ilikubalika na wakristu wote mpaka mwaka 1500.Ilipofika hapo kuna mtu aliamua kuondoa vitabu saba. Kwa mamlaka yake yeye mwenyewe.

Sisi tunatumia Biblia ya tangu mwanzo ambayo ina kitabu kinachosema ni jambo jema kuwaombea marehemu. Unaposema tunakosea unatumia Biblia yako au yetu?

Biblia unayotumia Ame sio kamili. Imeondolewa vitabu saba.
 
Biblia ya wakatoliki ni majibu yote hayo ila ile nyingine ya wakristo wasiowakatoliki haina hayo majibu unayoyatafuta! Kama ni critical thinking ni vizuri ukaisoma Jerusalem bible pamoja na dogma za wakatoliki nadhani zitKusaidia kufikia a proper conclusion na pengine waweza kuamini ukawa mkatoliki!

Its your choice!
 
I think huyo mtu alikuwa na right kama ambavyo wakatoliki walikuwa na right ya kujikusanyia vitabu vyao na huo ndiyo utofauti wa imani hizi mbili..... Kwamba yupi yuko right yupi yuko wrong its not within me to decide wala sija question imani ya wakatoliki bali nineonyesha where the difference is between the two believes!
 
Biblia ya wakatoliki ni majibu yote hayo ila ile nyingine ya wakristo wasiowakatoliki haina hayo majibu unayoyatafuta! Kama ni critical thinking ni vizuri ukaisoma Jerusalem bible pamoja na dogma za wakatoliki nadhani zitKusaidia kufikia a proper conclusion na pengine waweza kuamini ukawa mkatoliki!

Its your choice!

JERUSALEM BIBLE ndio ipi tena hiyo? Ni nani aliandika hizo DOGMA?
Labda ninaishi sayari nyingine manake sijawahi kusikia hivyo vitabu hapo juu. Kindly advise
 
Sasa kanisa lina uthibitisho gani kama alijiua au aliuwawa wakati uchunguzi bado kukamilika!!? Huku ni kuchukua sheria mkononi!

sasa likishafanya ibada akazikwa af ikaja gundulika alijiua wata-undo ibada??? sababu kubwa ya kutofanya ibada ni kutokana na kifo chake kua cha "UTATA" na si kwamba wamesema kajiua.
 
JERUSALEM BIBLE ndio ipi tena hiyo? Ni nani aliandika hizo DOGMA?
Labda ninaishi sayari nyingine manake sijawahi kusikia hivyo vitabu hapo juu. Kindly advise

Kwa hapa kuhusu hili naona Agustine Moshi anafaa zaidi kuwa consulted otherwise nenda kanisani kwa wakatoliki wa Roma umconsult padre atakuwa wamsaada sana. Au la pale bookshop ya st. Joseph Dar ina vitabu vyote hivyo ukifika watakupatia.

Kila la heri ndugu yangu na Mungu akutangulie ufikie uamuzi ulio sahihi kuhusu maisha yako ya kiroho usiwe na lolote la kujuta siku ile ya mwisho!
 
ni vipi alikuwa akitimiza sheria za kanisa
kuhudhuria misa za dominika
kuungama
kupokea ekarist
kusaidia kanisa kwa zaka
kushika sheria za ndoa

kama ndio alistahili kupewa huduma
 
hivo vigezo vyote apo akuwa navyo
 
tatizo ni kuzini au kujiua/kuua? labda sielewi unipe elimu! na kama tatizo ni kuzini au kuua/kujiua, je wafu wengine wanaopata huduma ya mazishi huwa wanakuwa wamethibitika hawana dhambi yoyote!? au dhambi katika ukristo wa leo imekuwa ni kuzini tu au kuua/kujiua!!? kuna andiko lolote ndani ya biblia linalounga mkono sheria hiyo? is this law or practice divine or based on human wisdom?
mkuu kanisa linatutaka tufuate maagizo ya kristu huwezi kuwa mkristu bila kufuata kanisa iyatakayo, kanisa linasema unatakiwa ufunge ndoa wewe HUTAKI, unatakiwa ufuate Masacrament HUTAKI, unatakiwa ushiriki jumuia ndogondogo HUTAKI, unataka wakuzike wewe kama nani? unaweza kuwa ulislim sasa ndo mda wakuzikwa na waislam wenzako! unataka upate heshima za kikristu basi FUATA MASHARTI YAKE, kama walikuwa wanapendana kweli tatizo lilikuwa wapi kufunga NDOA!?
 
ni vipi alikuwa akitimiza sheria za kanisa
kuhudhuria misa za dominika
kuungama
kupokea ekarist
kusaidia kanisa kwa zaka
kushika sheria za ndoa

kama ndio alistahili kupewa huduma
atakuwa navyo wapi wakati hata ndoa hakuwa nayo!
 
Back
Top Bottom