Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,333
Marehemu Mushi aliyefanya mauaji ya mama wa mtangazaji wa ITV na kujeruhi kwa risasi na atimaye kujiua amezikwa bila huduma ya kikanisa.
Kanisa Katoliki parokia ya Uru imegoma kusalisha misa ya marehemu Mushi kutokana na mazingira ya kifo chake.
Familia ilitaka marehemu aombewe na kanisa ili asamehewe dhambi zake sababu atoaye hukumu ni Mungu si binadamu na ajuaye ukweli ni Mungu.
Lakin kanisa imekataa kusalisha ibada na Mushi amezikwa bila ibada.