Kanisa limekataa kusalisha ibada ya mazishi ya Mushi

Uwezo wa kufufua haujakoma, lakini hafanyi kwa matashi ya binadamu. Soma Luka 4:12
Okay. Ulikuwa kama vile una suggest kuwa alifanya kipinde kile tu na hawezi kufanya tena! Ni mambo gani tukimuomba Mungu hawezi kutufanyia?
 
kwani kifo ni hukumu?

Aa aaa ni starehe! Kama kwenda haja kubwa!
Teh teh teh!
Hivi haya maswali yako ya mstari mmoja unauliza uelewe au unakebehi watu!?
Manake nyie watu wa mpako nuksi sana!
 
Unapenda maswali ya mistari mingi ili iweje, upange uwongo?
Mpaka hapo haujanijibu kamma kifo ni hukumu, sema ndiyo au hapana!
 
kama ibada ya marehemu inasaidia mtu kusamehewa dhambi basi Yesu asingekufa msalabani!, maana hakuna mtu ambaye angeenda motoni!
 
Okay. Ulikuwa kama vile una suggest kuwa alifanya kipinde kile tu na hawezi kufanya tena! Ni mambo gani tukimuomba Mungu hawezi kutufanyia?

Mungu anaweza kufanya chochote akitakacho, lakini nimekupa angalizo kwenye Injili ya Luka 4:12. Ukisoma hapo hutauliza tena hili swali.
 
Mtume Petro alipiga magoti akamwombea marehemu Dorcas wa Joppa na Mungu akamfufua (Acts 9:40-41). Anayesema Mungu hafufui kwa maombi ya binadamu amekosea. Sisi, kama Petro, tunawaombea marehemu wetu Mungu awafufue siku ya mwisho na awape uzima wa milele.

Wote wanaosema hatupashwi kuwaombea marehemu wameshindwa kabisa kujibu swali la msingi nililowauliza:

Mbona Biblia inasema ni jambo jema kuwaombea marehemu? Nimewapa sehemu Biblia inaposema hivyo: ni 2Maccabees 12:40.
 
kama ibada ya marehemu inasaidia mtu kusamehewa dhambi basi Yesu asingekufa msalabani!, maana hakuna mtu ambaye angeenda motoni!

Kama Yesu asingetufia Msalabani wote kabisa tungeangamia.

Ni kutokana na kifo chake ndiyo tuna laini ya kumfikia Mungu kwa sala, ikiwa ni pamoja na sala za kuwaombea marehemu.

Yesu alisema chochote mtakachoomba kwa jina langu mtapewa. Sasa mtu asimwekee mipaka. Ni chochote, yaani hata kusamehe waliotangulia.
 
Ndugu, kila nafsi itaonja mauti, na kila mtu atatoa hesabu za matendo yake, Mbingu sio rahisi kama unavyoamini!! mbinguni hawaingii watu legelege, usipopambana kuikataa dhambi na kuishi maisha ya kumpendeza Mungu basi mbingu isahau! Hyo mbingu ya kwenda kwa sala za kuombea aliekufa haipo! na kama ingekua hivyo hata freemason na waabudu shetani wengine ambao kwenye jamii wanaishi vizuri na watu, wakisaidia kujenga makanisa, wakitoa michango mikubwa kanisani na kujenga urafiki wa karibu na watumishi wa Mungu woote wangeenda mbinguni! naomba Mungu akusaidie unielewe!!
 
Mtume Petro alipiga magoti akamwombea marehemu Dorcas wa Joppa na Mungu akamfufua (Acts 9:40-41). Anayesema Mungu hafufui kwa maombi ya binadamu amekosea. Sisi, kama Petro, tunawaombea marehemu wetu Mungu awafufue siku ya mwisho na awape uzima wa milele.

Wote wanaosema hatupashwi kuwaombea marehemu wameshindwa kabisa kujibu swali la msingi nililowauliza:

Mbona Biblia inasema ni jambo jema kuwaombea marehemu? Nimewapa sehemu Biblia inaposema hivyo: ni 2Maccabees 12:40.

asante mkuu kwa kuzidi kutufungua macho
 
Maghambo619,

Jibu swali: Biblia inaposema kwamba ni jambo bora kuombea marehemu (2Maccabees 12:40) inakosea? Nifuate kinachosemwa na Biblia au unachosema wewe?
 
Hio familia ya mushi ingekata hela ya mboga!
Sasa hivi ungeona wachungwaji wana changamkia tenda!
Jamaa laana kwa pesa wale!!
Teh teh teh teh

Kwani umesikia ni Masheikh ubwabwa wale
 
nduu/mamaya;

ni kawaida mtu aliyejitoa uhai huwa hafanyiwi ibada kanisani,ukijinyonga,unywe sumu au ujiue kwa namna yoyote ile sahau uwepo wa kasisi au kupelekwa kanisani.

Kwa nini wanawahukumu watu waliokufa vifo vya aina hiyo wakati kwa mujibu wa imani yao anayehukumu ni Mungu mwenyewe? Halafu wanajiita wafuasi wa Kristo, shame.
 
Ibada inasaidia nini? Hivi hili neno RIP mnafahamu chanzo na mantiki yake? Samtaimz vichwa viwe vinafanya kazi jmn!

Kwangu haileti tofauti
 
Augustine Moshi;

Mtume Petro alipiga magoti akamwombea marehemu Dorcas wa Joppa na Mungu akamfufua (Acts 9:40-41). Anayesema Mungu hafufui kwa maombi ya binadamu amekosea. Sisi, kama Petro, tunawaombea marehemu wetu Mungu awafufue siku ya mwisho na awape uzima wa milele.

Wote wanaosema hatupashwi kuwaombea marehemu wameshindwa kabisa kujibu swali la msingi nililowauliza:

Mbona Biblia inasema ni jambo jema kuwaombea marehemu? Nimewapa sehemu Biblia inaposema hivyo: ni 2Maccabees 12:40.

Interesting... Kwa hiyo marehemu asipoombewa hatafufuliwa siku ya mwisho? Asipofufuliwa atahukumiwa vipi maana kwa mujibu wa imani ya Kikristo siku ya hukumu watu woote watafufuliwa ili wahukumiwe kwa matendo yao hapa duniani.
 
Augustine Moshi;

Mtume Petro alipiga magoti akamwombea marehemu Dorcas wa Joppa na Mungu akamfufua (Acts 9:40-41). Anayesema Mungu hafufui kwa maombi ya binadamu amekosea. Sisi, kama Petro, tunawaombea marehemu wetu Mungu awafufue siku ya mwisho na awape uzima wa milele.

Wote wanaosema hatupashwi kuwaombea marehemu wameshindwa kabisa kujibu swali la msingi nililowauliza:

Mbona Biblia inasema ni jambo jema kuwaombea marehemu? Nimewapa sehemu Biblia inaposema hivyo: ni 2Maccabees 12:40.

Intresting... Kwa hiyo marehemu asipoombewa hatafufuliwa siku ya mwisho? Asipofufuliwa atahukumiwa vipi maana kwa mujibu wa imani ya Kikristo siku ya hukumu watu woote watafufuliwa ili wahukumiwe kwa matendo yao hapa duniani.

Mkuu 2 Maccabees ni kitu gani? Biblia mpya ama?
 
Ibada ya mazishi huwa haibadilishi lolote ikifanyika kama taratibu, ila hubadilisha pale waombaji, waombolezaji wanapomsihi Mungu kuhusu jambo limuhusulo marehemu sio kusamehewa dhambi bali kama mna nia arudi na mkiwa na IMANI: sasa utaratibu wa kanisa ni huo kuwa ukijiua? Hawana sababu ya kukufanyia ibada, hawaoni sababu ya kukuonea huruma wakati wewe mwenyewe hukuitaka. Zaidi ibada ya mazishi huwa ni mwaliko wa kwetu sisi tunaobaki kujikumbusha tuwe tayari kuna kufa mbele.
 
Back
Top Bottom