Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,541
- 1,550
BAKWATA hawanaga muda na matamko hayo kuhusu hali ya kisiasa na uelekeo wa Nchii! Wao kazi yao kutoa matamko kuhusu mwandamo wa mwezi na kula IDD.
BAKWATA hawanaga muda na matamko hayo kuhusu hali ya kisiasa na uelekeo wa Nchii! Wao kazi yao kutoa matamko kuhusu mwandamo wa mwezi na kula IDD.
Agiza soda nitalipaKama vijana ndio mnatafakari hivi sijui ni nini hatima ya maisha yenu hapo baadae. Kuna jambo nimejifunza......
Mtu yeyote huwa anakuwa kulingana na kile anachokiwaza,kusoma,kutazama na kufuatilia......
Sasa kama wewe unandoto za kuja kuwa na maisha mazuri na kipato kizuri na kuishi maisha ya kisasa yasiyokuwa na changamoto ya kukosa milo zaidi ya mitatu kwa siku, watoto watakaopata mahitaji yao yote ya msingi, na wewe ukawa na nguvu na uhuru wa kiuchumi sidhani kama utafanikiwa kufika hizo level kama huu ndio ukoko uliokuganda kichwani. Watanzania wengi mnahali mbaya kiuchumi kwasababu mnaamini kuwa ccm ndio imeshika hatima ya maisha yenu ila ukweli ni kuwa ccm wanapata nguvu ya kuwacontrol akili maana mnao muda wa kufuatilia upuuzi wao wa kwenye media baada ya kufanya mambo ya msingi kiuchumi........
sasa wewe utatumia miaka hii kumi kulalamika upumbavu kama huo na mwengineo ukifuatilia kwa makini matukio ya kubishana wanasiasa ukiamini ndio wanafanya maamuzi ya mwisho kuhusu maisha yako kumbe ni ujinga wa kujitakia.......
kuna vijana wenzako kama sisi ambao 90% ya fikra zinazozunguka vichwani mwetu ni business, new business ideas, how to change and improve life, namna za kuongeza kipato, kwenye social media kama Instagram tunafollow influential individuals kama akina mohamed enterprise, akina jeff bezos, akina billgates sio hawa akina mange kimambi sijui udaku nini sijui.......
na tunaona mabadiliko kila siku.... Kwa taarifa yako tu miezi michache kutoka sasa nitaagiza gari yangu, na ninataka kuanza ujenzi. Sasa wewe kaa unajadili sijui raisi sijui chadema sijui kanisa katoliki sijui bakwata......umri unaenda......
Huo upumbavu unaojaza kwenye kichwa chako hautakuja kukupa kiinua mgongo uzeeeni......na nyie ndio watu mnaozaa watoto wengi ili muwageuze kiinua mgongo uzeeni maana hamna akili ya kujitafutia maisha........na mpo wengi sana kwenye population ya tanzania.........kwakifupi.....umri wako wa sasa ongezea miaka kumi.......
Magufuli atamaliza wewe uko vile vile hauna mbele wala nyuma.......kalaga baho
SONY Xperia Z5 Premium
kamba umelishwa ukameza.....Ushahidi wa nini..? Wa Kihistoria..
Ok! Ni hivi Baba Mtakatifu wa Kwanza ni Petro....
Yesu alimuachia Petro Kanisa..."Wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa Langu"
Kutoka Petro mpaka Francis ni Mapapa 266..
Au nikuletee Chronological Order ya Mapapa tokea Petro..?
Wanasubiri mauwaji yatokee alfu kanisa lije kiombe radhi kama ilivyotokea ugandaIkiwa suala la amani ni moja ya majukumu yenu kuhakikisha amani inakuwepo katika nchi lakini kwa kipindi kirefu sasa tunaona kama viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vipo tena vingi sana na vinaonekana waziwazi.
Wasiwasi wangu ni kwamba huenda kuna jambo halipo sawa, hivi kule ambapo Amani ilitoweka ilikua ni tukio la ghafla au ilikuwa ni mwendelezo wa kutojari concern za watu? hivi mnavyofanya ndivyo matatizo yaliyoleteleza machafuko duniani yalivyo anza.
Mnapo ona chombo Kama bunge kinatumika kupora HAKI za wananchi kwa Spika kutumia nafsi yake atakavyo na wala si sheria inavyoelekeza hili sio jambo dogo nduguzanguni.
Unapoona Taasissi kama tume YA uchaguzi inatoa majina kinyume na sheria inavoelekeza ujue kwamba utawala wa sheria ndo unaondoka hivo. Ukiondoka utawala wa sheria haitabaki vaccum kuna jambo litakuja kujaza uwazi huo.
Nimalizie kwa kuasa kwamba kwa kua mlikaa kimya wakati wa viashiria kamwe msijejitokeza wakati wa kusaka ushuruhishi pindi mambo yakishafika huko maana mtaonekana wazi kwamba nyie ni wanafiki.
Mwenye masikio na asikie
Petro aliyesulubiwa miguu juu kichwa chini Na waromUshahidi wa nini..? Wa Kihistoria..
Ok! Ni hivi Baba Mtakatifu wa Kwanza ni Petro....
Yesu alimuachia Petro Kanisa..."Wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa Langu"
Kutoka Petro mpaka Francis ni Mapapa 266..
Au nikuletee Chronological Order ya Mapapa tokea Petro..?
Yes! Kwani Shida ipo wapi..?Petro aliyesulubiwa miguu juu kichwa chini Na warom
It's very SImple...kama una hoja jadidi kupinga nilichoandika leta hapa..kamba umelishwa ukameza.....
Siku Ukiwa na hoja mujarab nitajibu post zako...ila kwasasa siwezi waste my energy kujibu crap zako..umeoteshwa?😉🙂😉
Swali ni wapi kwenye bible Yesu ameanzisha Roman Catholic church na siyo Christianity Church?Yes! Kwani Shida ipo wapi..?
The Roman Empire chini Kaisari Nero ililitesa Kanisa Katoliki mpaka pale Kaisari Konstantino alipofanya Ukristo kuwa dini Rasmi ya Dola
(There's big difference btn Roman Empire and Roman Catholic Church or Catholic Church)
Hata Tanzania kanisa hili lilimbana nyerere asiruhusu dini za walokole,na mashirika ya kidini zaidi ya BAKWATA,hata shida za wazanzibari nyingi chanzo ni hawa,wanahofia eti Zanzibar itaongeza nguvu ya kusambaa kwa uislamu tanzania bara
Msitishe watu mnadhani ikitokea hali mbaya ya kiusalama nyie mtapona kama ni noma itakua noma hata kwa hao mnaowaamin tena kwa taarifa ako ninyi ndo mtaanza kunyanyasika pamoja na familia zenu...yaana mnawaza tu siasa mtadhan ndo kila mtu anategemea kuendesha maisha.Huyu wa sasa ni wakwetu.
Kanisa ni wanafiki
Swali la kipumbavu kabisa...Swali ni wapi kwenye bible Yesu ameanzisha Roman Catholic church na siyo Christianity Church?
We haujui au?Kwani kanisa katoliki ndio linahusika kulinda amani ya nchi?
Sijaona mahali pameandikwa Roman Catholic.Mwamba ngozi huvutia kwake.Swali la kipumbavu kabisa...
Baba Mtakatifu wa Kwanza ni Petro...Huyo Petro aliachiwa Kanisa na Yesu
Mathayo 16:18
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
subir mkatoliki amalize muda wake aje asiekuwa wao utawaona mishipa ya shingo inavyowatoka....sasa hv kila kitu kiko poa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakupa mtihani wa Geography unajibu BiologySijaona mahali pameandikwa Roman Catholic.Mwamba ngozi huvutia kwake.
Swali: "Kanisa ni nini?"
Jibu: Watu wengi siku hizi wanaelewa kanisa kumaanisha jengo. Neno “kanisa” maana ya asili yatoka kwa neno la Kiyunani ekklesia lili lo na maana ya “kusanyiko” au “walioitwa.” Maana ya asili ya “kanisa” sio ile ya jengo, bali ni watu.
hahahajhaa..kwa hiyo na leo jumapili ameshawasili kanisani kuibusu pete ya Pengo?Kama kila siku anapiga magoti kubusu pete ya kadinali pengo unategemea kanisa litathubutu kumsema mwana wao mpendwa?
Tulia ni zam yao na wa kwao huyo.
Angekuwa ustadh yupo hapo magogon mbona kelele zake ungechoka?