Kanisa Katoliki mko wapi kulinda amani ya nchi?

Kanisa Katoliki mko wapi kulinda amani ya nchi?

Kujiridhisha kwamba Yesu hakulianzisha Takatifu Katoliki angalia na sikiliza kwa makini kinachosemwa ndani ya hii video. Unaweza kujifunza kitu muhimu sana.

Sitegemei asiye mkatoliki aseme tofauti na huyo
 
Ikiwa suala la amani ni moja ya majukumu yenu kuhakikisha amani inakuwepo katika nchi lakini kwa kipindi kirefu sasa tunaona kama viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vipo tena vingi sana na vinaonekana waziwazi.

Wasiwasi wangu ni kwamba huenda kuna jambo halipo sawa, hivi kule ambapo Amani ilitoweka ilikua ni tukio la ghafla au ilikuwa ni mwendelezo wa kutojari concern za watu? hivi mnavyofanya ndivyo matatizo yaliyoleteleza machafuko duniani yalivyo anza.

Mnapo ona chombo Kama bunge kinatumika kupora HAKI za wananchi kwa Spika kutumia nafsi yake atakavyo na wala si sheria inavyoelekeza hili sio jambo dogo nduguzanguni.

Unapoona Taasissi kama tume YA uchaguzi inatoa majina kinyume na sheria inavoelekeza ujue kwamba utawala wa sheria ndo unaondoka hivo. Ukiondoka utawala wa sheria haitabaki vaccum kuna jambo litakuja kujaza uwazi huo.

Nimalizie kwa kuasa kwamba kwa kua mlikaa kimya wakati wa viashiria kamwe msijejitokeza wakati wa kusaka ushuruhishi pindi mambo yakishafika huko maana mtaonekana wazi kwamba nyie ni wanafiki.

Mwenye masikio na asikie
Tatizo ni sadaka, siku hizi Atari zimenuna , tabasamu za zamani hazipo na kama ujuavyo bosi yule tuliyemuona na jk dubai, alivuta kitu kidogo kwa singasinga hivyo ukiliamsha na mkuu ataliamsha dude, mie simo mwenzenu.
 
Hao wana siasa wanafik sana ndoo wana haribu dini : wnajifanya to be a good Christians and reading your Bible in public while steadily stabbing others in the back....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brother sawa bado lipo ila limepungua ile nguvu ya ushawishi after fall of the Roman empire to new independent States hawa jamaa walikua wanafanya uvamizi katika mataifa mbali mbali wakasahau kulinda empire yao

Kustuka ikawa imeanguka hivyo wakaamua kuyaacha mataifa waliyovamia kwenda kulinda milki yao Ila wakawa wamechelewa ndipo ikaanguka moja kwa moja walikua worldwide

Hii ni kwa ufupi tu ila kuna mengi sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unachanganya mambo!! Umeshatolewa ushauri mkasome vizuri historia ndipo mje kukosoa. Unachanganya dola ya kirumi na Kanisa takatifu katoliki la mitume. Pia kuna tofauti kati ya "Kanisa Katoliki la Urumi(roma)" na KANISA KATOLIKI. Kwa hivyo kuna vitu vitatu tofauti hapo (1) Roman Empire {Dola la Kirumi}, (2) The Holy Catholic Church {Kanisa Takatifu la Katoliki}, na (3) Roman Catholic Church {Kanisa Katoliki la Roma}. Maelezo ni marefu lakini (3) ni sehemu ( subset) ya (2). Na hiyo namba (1) ni kitu tofauti kabisa. Sasa kilicho anguka ni hiyo namba (1) dola la kirumi.
 
Kama vijana ndio mnatafakari hivi sijui ni nini hatima ya maisha yenu hapo baadae. Kuna jambo nimejifunza......

Mtu yeyote huwa anakuwa kulingana na kile anachokiwaza,kusoma,kutazama na kufuatilia......

Sasa kama wewe unandoto za kuja kuwa na maisha mazuri na kipato kizuri na kuishi maisha ya kisasa yasiyokuwa na changamoto ya kukosa milo zaidi ya mitatu kwa siku, watoto watakaopata mahitaji yao yote ya msingi, na wewe ukawa na nguvu na uhuru wa kiuchumi sidhani kama utafanikiwa kufika hizo level kama huu ndio ukoko uliokuganda kichwani. Watanzania wengi mnahali mbaya kiuchumi kwasababu mnaamini kuwa ccm ndio imeshika hatima ya maisha yenu ila ukweli ni kuwa ccm wanapata nguvu ya kuwacontrol akili maana mnao muda wa kufuatilia upuuzi wao wa kwenye media baada ya kufanya mambo ya msingi kiuchumi........

sasa wewe utatumia miaka hii kumi kulalamika upumbavu kama huo na mwengineo ukifuatilia kwa makini matukio ya kubishana wanasiasa ukiamini ndio wanafanya maamuzi ya mwisho kuhusu maisha yako kumbe ni ujinga wa kujitakia.......

kuna vijana wenzako kama sisi ambao 90% ya fikra zinazozunguka vichwani mwetu ni business, new business ideas, how to change and improve life, namna za kuongeza kipato, kwenye social media kama Instagram tunafollow influential individuals kama akina mohamed enterprise, akina jeff bezos, akina billgates sio hawa akina mange kimambi sijui udaku nini sijui.......

na tunaona mabadiliko kila siku.... Kwa taarifa yako tu miezi michache kutoka sasa nitaagiza gari yangu, na ninataka kuanza ujenzi. Sasa wewe kaa unajadili sijui raisi sijui chadema sijui kanisa katoliki sijui bakwata......umri unaenda......

Huo upumbavu unaojaza kwenye kichwa chako hautakuja kukupa kiinua mgongo uzeeeni......na nyie ndio watu mnaozaa watoto wengi ili muwageuze kiinua mgongo uzeeni maana hamna akili ya kujitafutia maisha........na mpo wengi sana kwenye population ya tanzania.........kwakifupi.....umri wako wa sasa ongezea miaka kumi.......

Magufuli atamaliza wewe uko vile vile hauna mbele wala nyuma.......kalaga baho

SONY Xperia Z5 Premium
Kama huna gari wala nyumba afu unashauri watu humu jitafakari sana.

sent from my BBC using JamiiForums mobile app
 
Ni waongo,upapa uliibuka nyakati za Mfalme Constantine,miaka ya 400AD.Kabla ya hapo maaskofu wote wa diosis tano walikuwa sawa.Constantnopole,Athens,Roma,Alexandria na Jerusalem.Yule wa Roma baada ya kupata sapoti ya Watawala wa kirumi akaanza kujiita papa yaan baba,wakampinga wale wengne ndo upatanisho wa Nikea(Niece) baadaye aliposisitiza ukuu wake kanisa likameguka mara mbili ndo ,Ikazaliwa Roman Catholic hii na Eastern Othordox.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha....

Nikuletee chronological Order ya Popes..?? Naona umegusia Mtaguso wa Nicea..Unafahamu uliitishwa na nani. ?? Unafahamu huo ni Mtaguso wa ngapi..??
 
Ikiwa suala la amani ni moja ya majukumu yenu kuhakikisha amani inakuwepo katika nchi lakini kwa kipindi kirefu sasa tunaona kama viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vipo tena vingi sana na vinaonekana waziwazi.

Wasiwasi wangu ni kwamba huenda kuna jambo halipo sawa, hivi kule ambapo Amani ilitoweka ilikua ni tukio la ghafla au ilikuwa ni mwendelezo wa kutojari concern za watu? hivi mnavyofanya ndivyo matatizo yaliyoleteleza machafuko duniani yalivyo anza.

Mnapo ona chombo Kama bunge kinatumika kupora HAKI za wananchi kwa Spika kutumia nafsi yake atakavyo na wala si sheria inavyoelekeza hili sio jambo dogo nduguzanguni.

Unapoona Taasissi kama tume YA uchaguzi inatoa majina kinyume na sheria inavoelekeza ujue kwamba utawala wa sheria ndo unaondoka hivo. Ukiondoka utawala wa sheria haitabaki vaccum kuna jambo litakuja kujaza uwazi huo.

Nimalizie kwa kuasa kwamba kwa kua mlikaa kimya wakati wa viashiria kamwe msijejitokeza wakati wa kusaka ushuruhishi pindi mambo yakishafika huko maana mtaonekana wazi kwamba nyie ni wanafiki.

Mwenye masikio na asikie
Hivi ni Kanisa Katoliki linaloleta amani au Mungu.Nadhani ingekuwa busara kama ungesema Kanisa la Mungu Tanzania,meaning Watakatifu kwa ujumla wao walioko Tanzania.That would be understandable.Denomination kama wewe ulivyomaanisha, haina uhusiano wowote na Mungu wa kweli na kwa hiyo hawezi kusikiliza maombi from such an entity, because it does not represent Him.

Sijui kama utanielewa anyway.
 
Tundu kasema wanapeta sana kwa kupewa kipaumbele sana hivyo watapiga kimya hata liwe tetemeko
 
Hahahahaha....

Nikuletee chronological Order ya Popes..?? Naona umegusia Mtaguso wa Nicea..Unafahamu uliitishwa na nani. ?? Unafahamu huo ni Mtaguso wa ngapi..??
Mfalme Constantino na sihitaji kujua ulikuwa wangapi.hiyo chronological order we lete tu.Kumbuka ukristo unaanza na Yesu na suala la upapa linakuja baada ya kanisa kugawanyika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaandika huku unajazba...

Kanisa Katoliki halijawahi kuvunjwa vunjwa wala haitokaa itokee...

Yalivunjika ni hayo ukiyoyataja ..maana walikuwa KKKT na Mwanzilishi wao...ila nini kilitokea baada ya hapo...leo tuna makanisa zaidi ya laki moja..

Ila Moja Takatifu Katoliki lipo tangu Yesu alipolianzisha mwenyewe
Heee Yesu kaanzisha Rc sasa Hq mbona haiko Israel?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakatoliki zamani ila sasa malahi.kwa kwenda mbele tu kama jambo halina maslahi siku hizi hakuna waraka wala tangazo
Ikiwa suala la amani ni moja ya majukumu yenu kuhakikisha amani inakuwepo katika nchi lakini kwa kipindi kirefu sasa tunaona kama viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vipo tena vingi sana na vinaonekana waziwazi.

Wasiwasi wangu ni kwamba huenda kuna jambo halipo sawa, hivi kule ambapo Amani ilitoweka ilikua ni tukio la ghafla au ilikuwa ni mwendelezo wa kutojari concern za watu? hivi mnavyofanya ndivyo matatizo yaliyoleteleza machafuko duniani yalivyo anza.

Mnapo ona chombo Kama bunge kinatumika kupora HAKI za wananchi kwa Spika kutumia nafsi yake atakavyo na wala si sheria inavyoelekeza hili sio jambo dogo nduguzanguni.

Unapoona Taasissi kama tume YA uchaguzi inatoa majina kinyume na sheria inavoelekeza ujue kwamba utawala wa sheria ndo unaondoka hivo. Ukiondoka utawala wa sheria haitabaki vaccum kuna jambo litakuja kujaza uwazi huo.

Nimalizie kwa kuasa kwamba kwa kua mlikaa kimya wakati wa viashiria kamwe msijejitokeza wakati wa kusaka ushuruhishi pindi mambo yakishafika huko maana mtaonekana wazi kwamba nyie ni wanafiki.

Mwenye masikio na asikie
 
Kwenye biblia Kuna "Mtume Petro"sijaona mahali pameandikwa "Papa Petro"
Hahahahaha....Papa maana yake ni Baba..ni mchungaji mkuu...Sasa kiongozi wa Kwanza wa Kanisa Katoliki ni Petro...wa sasa ni Francis

Daah...kweli kichwa chako kina makamasi
 
Back
Top Bottom