Kanisa Katoliki mko wapi kulinda amani ya nchi?

Kanisa Katoliki mko wapi kulinda amani ya nchi?

Nilikuwa sijui kama nchi hii ina mhimili wa nne mrefu kuliko mingine ila ni virtual
 
Kama vijana ndio mnatafakari hivi sijui ni nini hatima ya maisha yenu hapo baadae. Kuna jambo nimejifunza......

Mtu yeyote huwa anakuwa kulingana na kile anachokiwaza,kusoma,kutazama na kufuatilia......

Sasa kama wewe unandoto za kuja kuwa na maisha mazuri na kipato kizuri na kuishi maisha ya kisasa yasiyokuwa na changamoto ya kukosa milo zaidi ya mitatu kwa siku, watoto watakaopata mahitaji yao yote ya msingi, na wewe ukawa na nguvu na uhuru wa kiuchumi sidhani kama utafanikiwa kufika hizo level kama huu ndio ukoko uliokuganda kichwani. Watanzania wengi mnahali mbaya kiuchumi kwasababu mnaamini kuwa ccm ndio imeshika hatima ya maisha yenu ila ukweli ni kuwa ccm wanapata nguvu ya kuwacontrol akili maana mnao muda wa kufuatilia upuuzi wao wa kwenye media baada ya kufanya mambo ya msingi kiuchumi........

sasa wewe utatumia miaka hii kumi kulalamika upumbavu kama huo na mwengineo ukifuatilia kwa makini matukio ya kubishana wanasiasa ukiamini ndio wanafanya maamuzi ya mwisho kuhusu maisha yako kumbe ni ujinga wa kujitakia.......

kuna vijana wenzako kama sisi ambao 90% ya fikra zinazozunguka vichwani mwetu ni business, new business ideas, how to change and improve life, namna za kuongeza kipato, kwenye social media kama Instagram tunafollow influential individuals kama akina mohamed enterprise, akina jeff bezos, akina billgates sio hawa akina mange kimambi sijui udaku nini sijui.......

na tunaona mabadiliko kila siku.... Kwa taarifa yako tu miezi michache kutoka sasa nitaagiza gari yangu, na ninataka kuanza ujenzi. Sasa wewe kaa unajadili sijui raisi sijui chadema sijui kanisa katoliki sijui bakwata......umri unaenda......

Huo upumbavu unaojaza kwenye kichwa chako hautakuja kukupa kiinua mgongo uzeeeni......na nyie ndio watu mnaozaa watoto wengi ili muwageuze kiinua mgongo uzeeni maana hamna akili ya kujitafutia maisha........na mpo wengi sana kwenye population ya tanzania.........kwakifupi.....umri wako wa sasa ongezea miaka kumi.......

Magufuli atamaliza wewe uko vile vile hauna mbele wala nyuma.......kalaga baho

SONY Xperia Z5 Premium
 
Kama wewe unaona Kanisa katoliki linazembea kupinga mambo mabaya yaliyopo kwanini wewe na Kanisa lako usitumie fulsa hii kusimama na kupinga hayo uyasemayo mn kufanikiwa watanzania wataona matunda yk na wengi tutalifuata .matendo mema hatendwi kwa mkumbo ndugu Mtoa Mada. Binsfsi nimekudharau nimekuona mchochezi mwingine mpenda magomvi mzushi huna upendo mpenda mabishano yasiyo na tija

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaandika huku unajazba...

Kanisa Katoliki halijawahi kuvunjwa vunjwa wala haitokaa itokee...

Yalivunjika ni hayo ukiyoyataja ..maana walikuwa KKKT na Mwanzilishi wao...ila nini kilitokea baada ya hapo...leo tuna makanisa zaidi ya laki moja..

Ila Moja Takatifu Katoliki lipo tangu Yesu alipolianzisha mwenyewe
Acha kumsingizia Yesu mambo ya kijinga.
 
Huwa linasubiri rais akiwa muislamu ndipo linaanza kumsakama,angalia mwinyi NA kikwete walivyosumbuliwa NA kanisa hili,


Ni kama idara ndogo ya ccm hili kanisa,hata lenyewe lina historia chafu ya mauaji huko ulaya dhidi ya watu waliolikataa,

Kwa ujumla kanisa katoliki limeua sana binadamu NA limeenezwa kwa mkono wa damu,ni kanisa lisilotaka mabadiliko


Dunia ilianza kupata maendeleo ya kifikra,kisayansi,kisiasa NA kiuchumi baada ya kulivunja vunja kanisa katoliki NA kuzaliwa KKKT,wasabato,Anglican, na mengine


Hili kanisa lina historia chafu sana NA mpaka leo mapadri wana kesi za kubaka NA kushawishi NA kudhalilisha WATOTO kingono
Umeshanena mkuu huu ndo ukweli
 
Mbona awamu ya kikwete ilikuwa ni mwendo Wa matamko tu!?

from Katesh using Siemens C55
Dini zikiingilia serikali sidhani kama ni sahihi. Kanisa libaki kurekebisha waumini wake kiimani
 
Haikuwa sahihi. Kwa hiyo unaniambia serikali ni dini gani?
Ukiondoa mambo mengine, mfumo umejengwa kikristo na ndio maana ikitokea katika taasisi yenye watumishi 100, head akiwa muislmu na kukawa na watumishi 40 tu waislamu waliobaki wakristu basi taasisi hiyo itachukuliwa ina udini...good example refer NSSF au baraza la mawaziri kipindi cha kikwete.

from Katesh using Siemens C55
 
Ukiondoa mambo mengine, mfumo umejengwa kikristo na ndio maana ikitokea katika taasisi yenye watumishi 100, head akiwa muislmu na kukawa na watumishi 40 tu waislamu waliobaki wakristu basi taasisi hiyo itachukuliwa ina udini...good example refer NSSF au baraza la mawaziri kipindi cha kikwete.

from Katesh using Siemens C55
Ni wananchi wenyewe ndio wanaudini, boss akiwa mkristu ataleta ndugu zake wakristu na akiwa muislamu ataleta wenzake waislam. Pia kumbuka kuwa zamani wasomi wengi walikuwa ni wakristu na ndo wengi waliajiriwa nafasi za juu ila sasa hivi kila mtu amesoma.
 
Back
Top Bottom