Kanisa Katoliki mko wapi kulinda amani ya nchi?

Kanisa Katoliki mko wapi kulinda amani ya nchi?

Hahahahaha....Papa maana yake ni Baba..ni mchungaji mkuu...Sasa kiongozi wa Kwanza wa Kanisa Katoliki ni Petro...wa sasa ni Francis

Daah...kweli kichwa chako kina makamasi
Hahaha wewe hujielewi baki na ujinga wako.
 
Ikiwa suala la amani ni moja ya majukumu yenu kuhakikisha amani inakuwepo katika nchi lakini kwa kipindi kirefu sasa tunaona kama viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vipo tena vingi sana na vinaonekana waziwazi.

Wasiwasi wangu ni kwamba huenda kuna jambo halipo sawa, hivi kule ambapo Amani ilitoweka ilikua ni tukio la ghafla au ilikuwa ni mwendelezo wa kutojari concern za watu? hivi mnavyofanya ndivyo matatizo yaliyoleteleza machafuko duniani yalivyo anza.

Mnapo ona chombo Kama bunge kinatumika kupora HAKI za wananchi kwa Spika kutumia nafsi yake atakavyo na wala si sheria inavyoelekeza hili sio jambo dogo nduguzanguni.

Unapoona Taasissi kama tume YA uchaguzi inatoa majina kinyume na sheria inavoelekeza ujue kwamba utawala wa sheria ndo unaondoka hivo. Ukiondoka utawala wa sheria haitabaki vaccum kuna jambo litakuja kujaza uwazi huo.

Nimalizie kwa kuasa kwamba kwa kua mlikaa kimya wakati wa viashiria kamwe msijejitokeza wakati wa kusaka ushuruhishi pindi mambo yakishafika huko maana mtaonekana wazi kwamba nyie ni wanafiki.

Mwenye masikio na asikie
escrow haitaliacha kanisa na bank ya mkombozi salama
 
Huyu wa sasa ni wakwetu.
Kanisa ni wanafiki....wa kwanza duniani....walimuandamana sana babu JK
 
Amani yetu hailindwi na Kanisa Katoliki,usiwape utukufu wasio stahili,Mungu ni chanzona ndo mlinzi wa amani ya nchii hii
 
Ikiwa suala la amani ni moja ya majukumu yenu kuhakikisha amani inakuwepo katika nchi lakini kwa kipindi kirefu sasa tunaona kama viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vipo tena vingi sana na vinaonekana waziwazi.

Wasiwasi wangu ni kwamba huenda kuna jambo halipo sawa, hivi kule ambapo Amani ilitoweka ilikua ni tukio la ghafla au ilikuwa ni mwendelezo wa kutojari concern za watu? hivi mnavyofanya ndivyo matatizo yaliyoleteleza machafuko duniani yalivyo anza.

Mnapo ona chombo Kama bunge kinatumika kupora HAKI za wananchi kwa Spika kutumia nafsi yake atakavyo na wala si sheria inavyoelekeza hili sio jambo dogo nduguzanguni.

Unapoona Taasissi kama tume YA uchaguzi inatoa majina kinyume na sheria inavoelekeza ujue kwamba utawala wa sheria ndo unaondoka hivo. Ukiondoka utawala wa sheria haitabaki vaccum kuna jambo litakuja kujaza uwazi huo.

Nimalizie kwa kuasa kwamba kwa kua mlikaa kimya wakati wa viashiria kamwe msijejitokeza wakati wa kusaka ushuruhishi pindi mambo yakishafika huko maana mtaonekana wazi kwamba nyie ni wanafiki.

Mwenye masikio na asikie
Sijui tuwaiteje nyie watu,serikali haina dini ,na nchi hailindwi na kanisa katoliki wala amani hailetwi na kanisa ,amani inaletwa na mimi,wewe,Lisu na wengineo,mkiichezea hata huko kwa kutolea pumba zenu mtalosa hata huo uraisi wa SACCOS ya TLS hautakuwepo
 
Brother sawa bado lipo ila limepungua ile nguvu ya ushawishi after fall of the Roman empire to new independent States hawa jamaa walikua wanafanya uvamizi katika mataifa mbali mbali wakasahau kulinda empire yao

Kustuka ikawa imeanguka hivyo wakaamua kuyaacha mataifa waliyovamia kwenda kulinda milki yao Ila wakawa wamechelewa ndipo ikaanguka moja kwa moja walikua worldwide

Hii ni kwa ufupi tu ila kuna mengi sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app

katika historia ya dini hasa katoliki wewe ni mweupe mnoo

Tatizo mambo ya imani ya katoliki unayadadafua kisiasa sana mkuu.

Nikuelekeze kidoooooogo pakuanzia

Kasome MITAGUSO ILE MIWILI.

Mtaguso wa kwanza kwa vatikani na
Mtaguso wa pili wa vatkani

Hapa ndipo kidooogo unaweza pata picha, japo ninawasiwaso na uelewa wako

Kulopoka tuu kwa kusoma google kwa watu kama wakatoliki hujaweza kiongozi.
 
Hata sijui hizi taasisi zipo wapi nowadays? Sisikii nyaraka zikisomwa tena
 
Back
Top Bottom