Ule ukosoaji wa viongozi wa dini hasa awamu iliyopita haupo tena. Ni kama yale waliyokuwa wakiyakosoa sasa yote 100% ni PERFECT.
Siku wakiguswa na wao kuhusu kufutwa misamaha wa kodi katika taasisi hizi sijui itakuwaje!!!!????? maana naona hawa yanayolalamikiwa kama hayawahusu vile!
Nimewaza kwa sauti tu kwa sababu nakumbuka kile kivumbi kwa JK mpaka akagwaya!
wataweka limit ya sadaka!!!??wewe mtoa sadaka ndiye itakubidi ukaze mkanda uvute soksi na kujikaza kisabuni.
Mkuu weka records zako sawa, ni kwamba account ya mtuhumiwa wa Escrow ilikuwa pale na ndiko alikoingiza na kugawa ile pesaIngekuwa haina dini hela za Escrow ziliwafikaije na bank yao ile!
Mkuu usiwe mvivu wa kusoma. Look up yourself. Yaani umesoma biblia miaka yote hujawahi kujua kanisa lilianza lini? Of course when we say "Kanisa" we mean Katoliki. Au hujui ndilo pekee lililokuwepo kwa zaidi ya miaka 1600 kabla ya yao mengine???Unasema Yesu alianzisha kanisa katoliki siyo? Unaushahidi unisaidie
You are totally confusing or confused. Yaani maasikofu wakichotewa fedha Kanisa linapoteza hadhi??? hayo siyo mafundisho yetu Wakatoliki.Mwandishi upeo wako una walakini.Kanisa hili limepoteza hadhi yake ya kulinda amani baada ya baadhi ya maaskofu wake kuchotewa fedha na Rugemalila Huwezi kusimamia amani wakati huohuo unapokea rushwa.
Ikiwa suala la amani ni moja ya majukumu yenu kuhakikisha amani inakuwepo katika nchi lakini kwa kipindi kirefu sasa tunaona kama viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vipo tena vingi sana na vinaonekana waziwazi.
Wasiwasi wangu ni kwamba huenda kuna jambo halipo sawa, hivi kule ambapo Amani ilitoweka ilikua ni tukio la ghafla au ilikuwa ni mwendelezo wa kutojari concern za watu? hivi mnavyofanya ndivyo matatizo yaliyoleteleza machafuko duniani yalivyo anza.
Mnapo ona chombo Kama bunge kinatumika kupora HAKI za wananchi kwa Spika kutumia nafsi yake atakavyo na wala si sheria inavyoelekeza hili sio jambo dogo nduguzanguni.
Unapoona Taasissi kama tume YA uchaguzi inatoa majina kinyume na sheria inavoelekeza ujue kwamba utawala wa sheria ndo unaondoka hivo. Ukiondoka utawala wa sheria haitabaki vaccum kuna jambo litakuja kujaza uwazi huo.
Nimalizie kwa kuasa kwamba kwa kua mlikaa kimya wakati wa viashiria kamwe msijejitokeza wakati wa kusaka ushuruhishi pindi mambo yakishafika huko maana mtaonekana wazi kwamba nyie ni wanafiki.
Mwenye masikio na asikie
Soma Lateral ACCORD YA 1929 utaelewa kwanini sio shida kusupport aina hii ya UONGOZIMkuu usiwe mvivu wa kusoma. Look up yourself. Yaani umesoma biblia miaka yote hujawahi kujua kanisa lilianza lini? Of course when we say "Kanisa" we mean Katoliki. Au hujui ndilo pekee lililokuwepo kwa zaidi ya miaka 1600 kabla ya yao mengine???
Yamkini Bwana Gwajima hahusiki hapa mkuu.Kapambana sana hivi yuko wapi GwajimaUzi wako umebeba ujumbe mzito na muhimu kwa Taifa hivi sasa,lakini umekosea kusema dhehebu moja tu. Ingekuwa vema zaidi ujumbe huu ungeuelekeza kwa viongozi wa dini zote hii ingekaa poa sana.
Ha ha ha, yaani wewe unataka "nielewe" kile unachojua na kuelewa wewe. I don't share your sentiments against Catholic church. Sorry.Soma Lateral ACCORD YA 1929 utaelewa kwanini sio shida kusupport aina hii ya UONGOZI
Hahaha jipe moyo.Ni chuki dhidi ya Manisa katoliki,sipendi wanavyonyama wakati mkulu anaharibu nchi,ila ww umeandika ukiwa na chuki dhidi ya Kanisa Katoliki Takatifu la Mitume,limejengwa chini ya misingi ya Mitume na Manabii,na hakuna mizimu ya kuzimu ya kulitengua. Maneno aya ni amini na kweli!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahidi wa nini..? Wa Kihistoria..Unasema Yesu alianzisha kanisa katoliki siyo? Unaushahidi unisaidie
Sentiment au FACTS tupu hzo!uwe unasomaga somaga japo kiduchuHa ha ha, yaani wewe unataka "nielewe" kile unachojua na kuelewa wewe. I don't share your sentiments against Catholic church. Sorry.
Hahahahaha! Mkuu umenifanya nicheke hatariiiKama kila siku anapiga magoti kubusu pete ya kadinali pengo unategemea kanisa litathubutu kumsema mwana wao mpendwa?
Tulia ni zam yao na wa kwao huyo.
Angekuwa ustadh yupo hapo magogon mbona kelele zake ungechoka?
Hizo ni "FACT" kwako. You can believe what you believe. Dunia hii ina maarifa mengi tu. Sometimes what you call "FACT" is just rubbish or fallacies to some of us.Sentiment au FACTS tupu hzo!uwe unasomaga somaga japo kiduchu